Wazee wa bodaboda wanapata papuchi kwa kuhonga "lift"

Kichwa panzi wewe,umejiajiri kuendesha bodaboda na kulala na wanawake kwenye geto lako uswahili chumba kimoja choo cha nje cha kulenga?afu unaleta ubana pua wa eti umejiajiri,.....hizo boda boda ninazo kama nne nimeajiri paka kama nyie wanyoa viduku,huna unachokijua wewe zaidi ya ushabiki wa Diamond na Alikiba,so am not ur level bro,narudia tena endelea mashindano ya ngono utauona mwisho wako..bogus!
Bora kuendesha bodaboda yangu naishi kwa amani kuliko wewe ikifika asubuhi unawaza kwenda kazini kwa muhindi ukalipwe laki na nusu. Ukinunua simu mpya unaogopa kuitoa mbele ya boss wako atahisi umeiba pesa ya ofisi. Nafurahia maisha yangu ya kujiajiri **** wewe
 
Labda wanafunzi na wake za watu sio madem hamuwezi kuwashawishi kwa kwa lift ya buku mbili akati mahitaji yake ni elfu kumi kwa siku
 
Bodaboda siwalaumu hao wanawake ndio wapumbavu kabisa, yani unapewa free ride sehemu ulikua ulipie buku tu unaona bonge la deal unaamua kutanua paja?

Yani upo tayari kujidhalilisha utu wako, ndoa yako au mahusiano yako kisa lift ya buku?

Kweli asee Mungu kawaumba hawa viumbe kwa mfano wa ajabu sana. Ndio maana alituambia tuishi nao kwa makini, alishayajua haya.
Wanawake wa uswahilini wao vitu vidogo vidogo wanaona big deal sana sababu ya umaskini wao...
 
Back
Top Bottom