Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,142
- 5,288
Ahaa sawaHiyo hela yake ina Thamani ya Dollar za Marekani 5.46, ambapo Kwa tarehe ya leo, dollar 1 ya Marekani ni sawa na shilingi za Kibongo 2,720.
Ambapo ukizibadirisha unapata shilingi za Kibongo 13,600