Wazee tujikumbushe

Wazee tujikumbushe

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1436284166.418878.jpg
 
Kitambooo,wakati ambao kulikuwa na wanamuziki na sio wabana pua,bahati mbaya usimamizi wa kazi zao ulikuwa mbovu wengi wao wamekufa masikini..
 
Safi sana hii kuna zile zilikua zina picha za wanamuziki nilikua nakata magazeti nabandika kwenye jitabu wenyewe tulikua tunaita " buku la mapicha".
 
Hapo kumbi za starehe zilikuwa, DDC Kariakoo, DDC Keko na DDC Kondoa, DDC Mlimani, wapiwapi's, Ruvuma mpaka Maputo, CCM Kata14, white house, Safari Resort, Langata nk
 
Hapo kumbi za starehe zilikuwa, DDC Kariakoo, DDC Keko na DDC Kondoa, DDC Mlimani, wapiwapi's, Ruvuma mpaka Maputo, CCM Kata14, white house, Safari Resort, Langata nk

DDC kirefu chake nini,?
 
DDC = Dar es salaam District Council. (Sina hakika sana nimejaribu tu kuoanisha herufi)

Inawezekana district council zilikuwa zinaweka sehemu za starehe kama chanzo cha mapato
 
Back
Top Bottom