bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
- Thread starter
- #21
Nishakuwa baba kitambo bro. Nilitaka kumsaidia huyu dada maana hatujafahamiana muda mrefu ndio kwanza nimemkuta chuo katika harakati za kuhamia Dodoma. Nilitaka amalize diploma yake salama na ndio kwanza ni mimba chnga anaweza akaichomoa hiyoHongera kuitwa baba.