Wazee Nafanyeje?

Hongera mkuu jipange kuhudumia ujauzito na mwanao. Kutoa mimba hakukubaliki kwa kila hali TZ kuanzia sheria za nchi na za dini pia kama ni muumini wa dini yoyote ile inayotambuliwa na jamhuri.
 
Hapo kuna mawili.

1. Uleee(anaweza kuja kumiliki Acacia yake)

2. Mtoe mimba(usiniulize kama naafiki ila wengi wanafanya hivi.

Halafu wewe jamaa unanyota za watoto hongera kuna watu miaka 4 wanahangaika kutafuta katoto hata ka kusingiziwa.

Sema huyu mdada anavonipenda nahisi alitegesha asee... maana kaona watu wa Dar tukiwa Dodoma akajua maisha tayari dah. Asa namwambia atoe hataki anadai atalea. Sema nimemwambia faida za kutoa mimba yenyew changa ya mwezi hiyo
 
Mkuu inaonesha ni namna gani unaandaa EXTENDED FAMILY ya kujitakia.Inakuaje unazaa hovyo hovyo nje kama jogoo???!!!
 
Mzee baba wajibika na matendo yako.
Wenzako wote hua tunawajibika na matendo yetu, hua hatuji kuanzisha nyuzi humu.

Pampers za Sleepy zinakaa 80 ni 27,000 wipes 4,500. Mahindi, ulezi, karanga nusu, nusu, robo 4,200.
Lactogen kopo 17,000, Nido 11,000.
Nguo za watoto za hadhi ya kawaida haizidi 5000 moja.
Unga wa Lishe 2,500.

Hizi ni gharama za kuja kuanzisha uzi?
 
Computer-Guy-Facepalm.jpg

Muoe kabla hajazaa ....problem solved, utakuwa na mtoto ndani ya ndoa:rolleyes:
 
Shukuru Mungu kwa kupata mtoto, haijalishi amepatikana katika mazingira gani, ni mwanao mjiandae kumpokea
 
Mzee baba wajibika na matendo yako.
Wenzako wote hua tunawajibika na matendo yetu, hua hatuji kuanzisha nyuzi humu.

Pampers za Sleepy zinakaa 80 ni 27,000 wipes 4,500. Mahindi, ulezi, karanga nusu, nusu, robo 4,200.
Lactogen kopo 17,000, Nido 11,000.
Nguo za watoto za hadhi ya kawaida haizidi 5000 moja.
Unga wa Lishe 2,500.

Hizi ni gharama za kuja kuanzisha uzi?
Daah!!!umemchanganulia vizuri tu
 
Dah
Mzee baba umetisha
 
Umeshawah kuwaza wazaz wako wangetoa ya kwako ungekuwa na guts za kufanya hvyo
 
Back
Top Bottom