Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mwanahabari Huru
Viboko 12 ni vichache,kuanzia darasa la kwanza hadi form 2 au 3 mwanafunzi anakuwa amekula zaidi ya mboko 800 hawezi kutishwa na tuviboko 12.
Wafanye 12 kwa siku 40.
As if sina dada.
7x70 ya adhabu tajwa.Na wazee wanaowapa mimba je nao wafanywe nini?!
HahaaEti hao nao ni wazee!
Hawa wazee sijui ni kama wale waliopo kwenye ule uzi wa kubet.Hahaa