Kwanini mwanafunzi wa kike nae asihukumiwe hata mwezi 1 jela/ viboko hata 50 baada ya kupata mimba?

big dreamer

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
398
1,059
Wakuu poleni na tozo,poleni na majukumu mbalimbali,

HAPA TUZUNGUMZIE MABINTI AMBAO HAWAJABAKWA KWA KUTUMIA NGUVU (yaani ametongozwa nae akakubali) na wapo katika umri wa kuelewa sheria hasa umri wa 13 na kuendelea hasahasa hawa mabinti wa sekondari.

Katika kesi ya mwanaume kumpa mimba mwanafunzi wa shule, mwanaume anahukumiwa miaka 30 jela

Na hii ni kesi ya ubakaji hata kama milifanya kwa makubaliano au lah, mtuhumiwa atashtakiwa kwa ubakaji (ingawa baadhi ya wanaharakati,wanataka hii hukumu iangaliwe upya) lakini mimi nasema sawa ili watu wawaogope hawa wanafunzi kama ukoma

Ila kuna baadhi ya scenario unakuta huyu binti anaanamshawishi kijana/kumtaka kimapenzi alafu kijana,na sisi wanaume wa kiafrika hatuna utaratibu wa kwenda kuripot sehem et binti flani ananitaka ila mimi simtaki (kwanza utaonekana mdhaifu) sasa huyu kijana akijichanganya tu ameshawishika na huyo binti basi inakuwa imekula kwake mazima

Au unakutana na binti ambae ni kicheche ya vigodoro kila jumamosi, clubs kila jumapili sometimes wapo wanaojiuza kabisa ili wapate kwa tamaa ya kununua simu flani za gharama au nguo za gharama,,ila huyu binti akipata minba basi hilo ni jumba bovu litakalo muangukia aliempa minba na kwenda jela kabisa miaka 30

Sasa leo hatuzungumzii hukumu ya mwanaume lakini tumuangalie mabinti kama hawa kwanini wasiadhibiwe kabla ya kwenda tena kurudi shule basi apewe adhabu fulani hata jela mwezi mmoja au miwili au kwa viboko 100 kituoni cha polisi yani iwe kabla/baada ya kujifungua (kama ambavyo wataalamu wataona inafaa) yani kila siku anakula stiki 10 kwa siku 10 ILI IWE FUNDISHO KWA MABINTI WENGNE WALIOPO SHULENI WAOGOPE na Hata wakitongozwa basi watatoa taarifa sehemu fulani

Au hata adhabu kama vile kufanya usafi kwenye taasisi za kijamii kama hospital hata kwa miezi 3/6

Au adhabu nyingine yoyote ambayo hata yeye akitongozwa na mtu anaogopa KWAMBA LICHA YA UJAUZITO ILA ATAOGOPA KUWA ATAPEWA NA ADHABU FULANI PIA BAADA YA KUPATA UJAUZITO

Na mabinti wengne wanaenda night clubs sasa mtu kakutana nae huko atajuaje kwamba huyu ni mwanafunzi ,,,, kwahyo binti nae AKITANGAZIWA ADHABU FULANI BASI ATAOGOPA kufanya vitu kama hivyo na itasaidia kupunguza mimba za mashuleni

Na hii itasaidia kwasababu kwasasa yeye binti aogopi chochote kile/ haofii chochote kile kwasababu HATA KAMA YEYE AMEKUTONGOZA WEWE COZ ANATAKA HELA ZAKO YEYE AHOFIHI CHOCHOTE COZ MSALA WOTE UNAKUANGUKIA WEWE YEYE HATA AKIPATA MIMBA ATAZAA THEN ATAENDELEA NA MASOMO KAMA KAWAIDA ILA WEWE UPO JELA

KWAHIYO HUYU BINTI NAE AKITANGAZIWA ADHABU FULANI BASI ATAOGOPA KUKUBALI AKITONGOZWA AU KUJIINGIZA KWA NAMNA FULANI KWENYE MASUALA YA MAPENZI PINDI AKIWA MWANAFUNZI...

NAWASILISHA WADAU
 
Vibinti vya sikuhizi vimekaa "kimalaya-malaya".

Ambavyo vinapata mimba bado nivya huko namtumbo na ludewa!.Lakini hutu twa hapa mjini Daslam ni tujanja hakuna mfano,vyenyewe vinaweka tuvijiti na vinakunywa P2,hivyo vinagegedwa mpaka basi yaani!.

Anyway, hiyo sheria ilipaswa itumike kwa wote,yaani mtoa mimba na mpokea mimba,kama ilivyo kwa rushwa,aliyetoa na aliyopokea wote ni "Amanzi gha nyanza".

Sheria haiwezi kuwa ya upande mmoja,huu ni uonevu!

Feminist mnakaribishwa kwa povu,yanahitajika yakadekie vyoo hapo manzese.
 
Kumbe mkuu huko mjini hakuna kesi za mimba
 
This is very logical.. sheria ya hizi makesi imekua biased. Haipo katika kumlinda mwanaume bali ipo kumkandamiza.
Sometime.unakuta kijana anaehukumiwa yeye alipiga miti tu lakn mimba wala sio yake. Tena after mjuba kupigwa mvua 30, mimba inaenda kutolewa na maisha yanaendelea huku mwamba akinyea debe.
Mimi kwa kuongezea nashauri hai watoto walioko tumboni wapimwe dna kwanza kabla ya mtu kuhukumiwa ili kuwe na ukweli kua alishiriki.
Na pia nasapoti wazo lako kua mabinti pia wapewe adhabu, maana smtymz unakuta n roho mbaya tu za wazazi
 
Sijasoma uzi.. ila kupitia title yako nawauliza nyie wanaume,, kwanini mnatongoza watoto wanaosoma bado??

Mnawadanganya kwa chips na tuvitu ambavyo kwao havipo,, hiyo inawachanganya na kukosa kwao akili na wao wanaangukia pabaya.

Ila sio kosa lao kukubali.. kosa ni lako mtongozaji

Makurumbembe ya first year yamejaa huko vyuoni, hamuwaoni??

Au mnataka kusema wanawake tumekengeuka kiasi mnakosa minato huku above 25? Mpk mfatilizie watoto wa shule??
Ama wallet hazikidhi mahitaji ya kuruka na wazee wenzenu ndio mnakimbilia kwa watoto?

Msinipopoe tu, maana sitajibu 🤣
 
Nasema hiviii na mfungwe tu mafurushi nyie. Si mnawatongoza wenyewe!!
 
Sijasoma uzi.. ila kupitia title yako nawauliza nyie wanaume,, kwanini mnatongoza watoto wanaosoma bado??

Mnawadanganya kwa chips na tuvitu ambavyo kwao havipo,, hiyo inawachanganya na kukosa kwao akili na wao wanaangukia pabaya.

Ila sio kosa lao kukubali.. kosa ni lako mtongozaji

Makurumbembe ya first year yamejaa huko vyuoni, hamuwaoni??

Au mnataka kusema wanawake tumekengeuka kiasi mnakosa minato huku above 25? Mpk mfatilizie watoto wa shule??
Ama wallet hazikidhi mahitaji ya kuruka na wazee wenzenu ndio mnakimbilia kwa watoto?

Msinipopoe tu, maana sitajibu
Tatizo umechangangia bila kusoma uzi,,,soma uzi kwanza alafu coment tena
 
Tatizo umechangangia bila kusoma uzi,,,soma uzi kwanza alafu coment tena
It doesn’t matter mkuu, hao watoto watapataje mimba kama sio nyie mafataki kuwataka??

Mnawarubuni watoto, wanaume mkiacha hizo tabia na mimba za utotoni zitapungua.. labda zibaki kwa wale wanaobakwa! Na hapo sasa inakuwa case nyingine
 
Ungesoma uzi naamini ungenielewa,,tatizo haujasoma uzi
 
It doesn’t matter mkuu, hao watoto watapataje mimba kama sio nyie mafataki kuwataka??

Mnawarubuni watoto, wanaume mkiacha hizo tabia na mimba za utotoni zitapungua.. labda zibaki kwa wale wanaobakwa! Na hapo sasa inakuwa case nyingine
Wewe tuambie tutoto twa shule tuache umalaya,unakuta katoto keshatembea na wanaume zaidi ya 10 sasa unakuta hata aliyekapa mimba hakajui kanabaki kusema ni fulani!.

Ishu ya ubakaji kwa watoto au mabinti haikubariki na hapo sitetei,ila ishu ya binti anajua anasoma halafu anafuatwa na kijana na yeye anakubali na anajua kabisa ukifanya uasherati au ngono matokeo yake ni mimba!,hilo napinga kwa kweli,wote wabebe adhabu!
 
Back
Top Bottom