True nadhani the best people wa kuweza kumaliza matatizo ya wapenzi wawili ni wapenzi wenyewe, sababu they know all the facts.., and am not a great believer wa kupeleka matatizo yetu kwa watu wengine kuna msemo (Never tell your problems to people, some wont care, others will be glad you have them, and most have got more problems than you).
Kuhusu issue ya wazazi mimi naona nikipata mwenza wangu, wazazi wake ni wazazi wangu na wazazi wangu ni wazazi wake..., kwahiyo nitawachukulia kama wazazi, mfano mzazi wa mwenzangu akiwa anampendelea mwanae i will know kwamba thats normal na anampenda mwanae, therefore ushauri atakaotoa, sitakuwa nao chuki na sitaonyesha kwamba ninaukataa ingawa sio lazima niufuate..
You have said it all..., na hawa Couples inabidi wajue kwamba sometimes it takes a bigger person to admit mistakes, unajua wote mkiwa wajuaji ndani ya nyumba nayo haifai....Kwenye nyekundu you and me both!!I hate it....sema kuna wengine ni kitu cha kawaida sana kwao so the least they can do is take it to someone who won't feel obligated to choose sides.
You have said it all..., na hawa Couples inabidi wajue kwamba sometimes it takes a bigger person to admit mistakes, unajua wote mkiwa wajuaji ndani ya nyumba nayo haifai....
Kama kuna uwezekano wa wanandoa kutokuishi na wazazi wa upande wowote, nafasi hiyo itumike. Ni vema zaidi kuwasupport wazazi wakiwa wanaishi separately.
Yeah!Inabidi ndugu nao wajifunze..msaada sio mpaka ukae kwa mtu!Kwa kiasi flani hua wanasababisha migongano isiyo ya lazima!
Ni kwa sababu hayajakukuta ndg, yakikukuta uta regret what you are saying.True nadhani the best people wa kuweza kumaliza matatizo ya wapenzi wawili ni wapenzi wenyewe, sababu they know all the facts.., and am not a great believer wa kupeleka matatizo yetu kwa watu wengine kuna msemo (Never tell your problems to people, some wont care, others will be glad you have them, and most have got more problems than you).
Kuhusu issue ya wazazi mimi naona nikipata mwenza wangu, wazazi wake ni wazazi wangu na wazazi wangu ni wazazi wake..., kwahiyo nitawachukulia kama wazazi, mfano mzazi wa mwenzangu akiwa anampendelea mwanae i will know kwamba thats normal na anampenda mwanae, therefore ushauri atakaotoa, sitakuwa nao chuki na sitaonyesha kwamba ninaukataa ingawa sio lazima niufuate..
Ni kwa sababu hayajakukuta ndg, yakikukuta uta regret what you are saying.
Nimewahi kusuluhisha ndoa ambayo kwa uwazi kabisa wazazi wanampendelea binti yao, na kiukweli kijana ana makosa madogo sana ambayo kama mbinti angekuwa hasemi uongo kwa wazazi wake yangeisha mara moja, lakini kwa masikitiko makubwa kabisa hadi naandika ujumbe huu, hakuna ndoa tena, ila wazazi wangemsaidia binti yao na kumwambia makosa yake wangeishi kabisa hadi leo.
kwa mtazamo wangu, wazazi hatakiwi kupendelea upande mmoja, kama unapenda ndoa za vijana wako idumu na iwe na amani, wasaidie kwa kuwaambia makosa yao kila mmoja bila kujali huyu ni mtoto wako, mkiwa na msimamo huo na wenyewe watajua wazazi wetu hawapendelei mtu yoyote.

Mkuu sijasema kwamba Wazazi hawapendelei au ni vema wanavyopendelea...(lakini what I said ni kwamba wazazi hao tawachukulia kama wazazi ingawa watakuwa wanapendelea lakini sitawakosea adabu wala kubishana nao, mafahari wawili hawakai zizi moja..., kwahiyo kuliko kubishana na wazazi takachofanya ni kuongea na mwenza wangu na kuhakikisha kwamba hizi issue hazifiki kwa wazazi) in other words takuwa mpole lakini tahakikisha ninamwambia mwenza wangu kwamba huoni kule ninaonewa...., if we cant solve this problem mimi na mwenzangu na mwenzangu anaona kabisa kwamba ninaonewa then there is a major issue btn the two of us.
shida inakuja pale ambapo - MWANAUME KATIKA NDOA NI "GROWN-UP BABY" - yaani amekuwa mwili tu lakini - akili, ufahamu, uwezo wa kuamua mambo hana - hivyo yeye kila jambo - anamwuliza MAMA yake or BABA or RAFIKI - whatever - hata kama hawakai pamoja - siku hizi jamani simu zipo - basi itabidi apige simu au atume email etc. - na mwanamke pia - akisha kuwa MMBEYA - MUONGO - ASIYEWEZA KUWEKA SIRI - lazima akiwa saloon ataongea matatizo yake au issue za nyumbani kwake - na hapo ndipo atapewa ushauri - ambao mwishowe ataharibu kuliko kutengeneza.
NDOA NI YA WATU WAWILI - BIBLIA INASEMA "MWANAMUME ATAMWACHA BABAYE NA MAMAYE NAYE ATAAMBATANA NA MKEWE" so hata Mungu mwenyewe anasema NI MUME + MKE - tatizo watatue wenyewe, wapange wenyewe - wakimshirikisha Mungu..............
Ukishaolewaukishaoa - ujue kuna upendo wa Wazazi; upendo wa ndoa; upendo wa Mungu - lazima uwe mwangalifu na ujue ku-balance mambo yako. NAWASILISHA
Lizzy, Ndugu/wazazi wakiwa home Hata privacy inakosekana, Kunakitu niliambiwa kama darasa kwamba nikioa niwe makini na ndugu wa pande zote, ukikubali kukaa na ndugu wa upande wa kike wawili, jiandae kupokea wawili wa upande wa kiume ukikataa utaambiwa umeshikwa masikio na chanzo cha migogoro isiyo na kichwa wala miguu.. its better kuwasaidia hukohuko waliko.. waje kukusalimia wiki moja mbili waondoke unless otherwise
Picture this...., lets say kwamba mwenza wangu ni mtukutu, mvivu, anachelewa kurudi usiku n.k., lets say mimi baada ya kumwambia akasema ninamuonea na akapeleka mashitaka kwa wazazi wake.., Now lets say mimi nikaitwa pale sasa I have got two options, either kumdhalilisha kwa wazazi wake kwa mambo mabaya anayofanya (while ninajua fika kuwa wazazi wake watamtetea)...,Watu wengi wanaopeleka matatizo yao kwa wengine ni wale wanaoamini kwamba wao ndio wamekosewa kwahiyo wanategemea wewe ukandamizwe huko mtakapopelekana!!Mpaka hapo swala la kusema utamuelewesha kwamba unaonewa litakua gumu sana.......!!Mtu anaejua na kulikubali kosa lake atajaribu kutatua tatizo alilosababisha vile anavyoona yeye inafaa badala ya kusuggest twende kwa fulani akatupatanishe.Anaehisi au kudhani anaonewa mara nyingi ndo wa kwanza kusema TWENDE!!!:coffee: