Wazazi wetu hawataki tuwe pamoja

Wazazi wetu hawataki tuwe pamoja

Xaxa wewe na majnga yako yote hayo lkn hjui kndka xixi tukxhuri nn? nyambafuuu.

mbona hata wewe hujui kuandika?ulichoandika ni kiswahili au kirumi?hahahaaa Nyani haoni.............................
 
mbona hata wewe hujui kuandika?ulichoandika ni kiswahili au kirumi?hahahaaa Nyani haoni.............................

Nimeandika
hivyo ili kuelewana na mleta uzi kwa sababu ndiyo lugha yake,,! sema wewe kwa kuwa haujui ndiyo maana imekuchanganya.
 
Nimeandika
hivyo ili kuelewana na mleta uzi kwa sababu ndiyo lugha yake,,! sema wewe kwa kuwa haujui ndiyo maana imekuchanganya.

kwa hiyo akitukana nawe utatukana ili muelewane?kubali makosa acha kujitetea hakuna mkamilifu,japo natambua kuna watu maarufu kutoa vibanzi machoni kwa wenzao wakati vyao hawavioni.
 
kama wazazi wanapiga mahusiano yenu bora uache tu.. mimi mama yangu aliwahi kunionya kuhusu suala kama hili huko nyuma nikakaidi, yaliyonipata ni siri yangu.

Mkuu tushirikishe ili tujifunze
 
Usioe hapo!
Acha kulazimisha mambo....tafuta mkristo mwenzio....wazazi wa pande zote wanakataa!!?usikurupuke!
 
Watu hujifunza kupenda na kuacha kupenda.

Hitahidi kustop hayo mahusiano kabisa.

Unaweza kaidi ukaendelea, effect zake utakuja ziona baada ya miaka mitano au kumi.

Pole sana....
 
Mimi wakikataa pande zote mbili mimi naachia ngazi mapema
 
I wish ungeweza kutuelezea kilichokufika mkuu kwani huenda ikawa funzo kwa wengine

kama wazazi wanapiga mahusiano yenu bora uache tu.. mimi mama yangu aliwahi kunionya kuhusu suala kama hili huko nyuma nikakaidi, yaliyonipata ni siri yangu.
 
Ndoa za dini tofauti ni majangaz huko mbelezz! Wewe kama mwanaume usingetakiwa kuendekeza huo uhusiano usio na nguzo zinazostahili! Imani za wanandoa kuwa sambamba ni nguzo kuu kabla ya yote! Fanya uanze upya mtu wangu!
 
Mkuu tushirikishe ili tujifunze

I wish ungeweza kutuelezea kilichokufika mkuu kwani huenda ikawa funzo kwa wengine

nilikua.na.mahusiano.na jamaa fulani.. tukafikia hatua jamaa akaniambia tuanze kuishi pamoja, but the thing came kuwa nitaishije na mtu bila ndugu zangu kujua??? mama alipoambiwa alisita akaniambia mwanangu, ebu vuta subira kwanza kila mtu aendelee kuishi kwake. nilimeambia mama mimi ndo nimeamua kua nae so namuomba aniombee tu tufikie lengo ila asiniambie tutengane. my mama ni mpole sana na mcha mungu.. several times aliniambia ameota vibaya kuhusu mimi hivyo niachane na huyo mkwe.. bado nikawa mgumu..

to cut the story hatukuishi muda mrefu migogoro ikaanza ndani ya nyumba.. from no where mama mkwe akawa hanipendiii wakati kipindi cha nyuma alikua shosti wangu na akiwa.na shida ananipigia niende akanielezee. migogoro ikawa daily na mwanaume akabadilika.. last thing he did was alitembea na my best friend kwenye kitanda chetu..

nikikumbuka hii siku huwa namshukuru tu Mungu kuwa niko hai maana kilichotokea ni siri yangu... wazqzi wana nafasi sana katika maisha yetu.. siku zote ukweli unauma ila ni vyema kuukabili kabla hayajatokea maafa
 
Back
Top Bottom