the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 837
Mi nahisi nina ushauri mzito sana wa kukupa...........lakini sijakuelewa ulivyoandika..........ni kiswahili........?
Ndo kiswahili cha vijana wa siku hizi mwayego
Mi nahisi nina ushauri mzito sana wa kukupa...........lakini sijakuelewa ulivyoandika..........ni kiswahili........?
Hakuna ndoa hapo maana waafrika tuna oa/kuolewa kwaajili ya familia zetu!
Hivyo kama huna baraza za wazazi huwezi kuoa au kuolewa! Tafuta mwanamke mwingine! Asikudanganye mtu kuwa unaweza kuo/kuolewa bila baraza za familia au wazazi wako!
Ndo kiswahili cha vijana wa siku hizi mwayego
wabembelezeni wazazi zaidi
huenda wakalegeza msimamo wao
kama watashikiliahuo msimsmo basi
achaneni tu huenda ni mtu na kaka ake hamjijui!!
hakuna undugu wowote hata makabila ni tofauti ksbisa
ukiskia gundu ya maisha ndo iyo pole sana ,wandugu mshaurini huyu mtu vzuri la sivyo
wazazi wengine bana
MO11 ivi kuna time ambayo unakua serious kweli?
MO11 ivi kuna time ambayo unakua serious kweli?
Afadhaki umeuliza mi sijawahi kumuona
hivi ndio kawaida yangu nikiwa serious jua ninaigiza
Hakuna kitu kama hicho MO11!
But siwezi kukufosi huenda uko sahihi.
Mimi nimejisomea sana psychology. hapa nahisi moja kati ya matatu vinakuhusu:
1
Unaroo mbaya kinyama.
2
Unasumbuliwa sana na ATD = Attention seeking disorder.
3
Wewe ni mbili kasoro.
submit your self where you are.
OR
Niambie kwanini hauko serious muda wote?
For real MO11 you are not normal.

Aisee! huyu mjamaa ni masikhara tu. nimeshudia hilo hapa MMU, kule habari na hoja changanyikeni na hata jamii intelligence!
sometimes ananivutia sana (kiurafiki) but sometimes ananishangaza sana. maana nahisi masikhara yana mipaka.
kwa uelewa wangu, wanaopenda masikhara na wanakua intelligent sana but huyu mdau namuhisi ana roo mbaya sana! kwa maana angeweza kutoa wenzie shimoni kwa intelligent yake, lakini wapi!
poa khantwe uzuri ni kwamba huyu mdau ameshawasili hapa. huenda akajibu (kimasikhara ivyo ivyo but believe me namuelewaga sana).