mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,178
- 3,437
Kwani ukimwi wa CHADEMA na wa vyama vingine?NI tofauti..?auchadema wanaweza kupinga na wakakupa na sababu mi siwaelewagi kabisa
Kwani ukimwi wa CHADEMA na wa vyama vingine?NI tofauti..?auchadema wanaweza kupinga na wakakupa na sababu mi siwaelewagi kabisa
Stimu ya nn baharia ?nikisoma izi mada za HIV, stim inakata kabisa,
Asante mkuu,lazima tukumbushane kama wazazi ni jukumu letu kuwalinda watoto wetuSina Cha kuongeza...BARIKIWA MKUU...MUNGU AKUPE BUSARA ZAIDI NA HEKIMA..BARIKIWA
Mkuu acha tu ni majonziBaadhi ya watu ni kama wanyama hawashauriki. Kama watu ni waelewa kusingekuwepo na tatizo hilo. Just imagine mtoto anazaliwa hajui hili wala lile na mwisho wa siku anajua ana ukimwi. Atakuwa anawaona wazazi wake kama wauaji tu ni si wazazi na atalaani kwa nini alizaliwa.
Aliyesema michepuko sio dili abarikiweHongera sana kwa uono huo,
Masaa mengi kwa siku wanadamu tunaongozwa kwa akili ya ikishirikiana na utashi ila yale masaa machache unayotembelewa na hisia nadhani akili hujitoa na kukaa kwa mbaalii na kukuonya kwa mbaalii kwa kasauti ka mbaaliii ambapo hako kasauti ka onyo huwa hakafutikii Ila Ukipatwa na janga, huwa kale ka maudhui kake kanakujia. Hapo ndio utakaona kale kasauti kalipaswa kakuonye kwa nguvu zaidi lakini ndio hivyo tena. Utashi.
UTASHI tunao, tuusikilize Sana.
Utashi hauendagi Bar na maeneo mengine kama hayo. Ukifika huko jichunge mwenyewe.
Na hakuna kitu kinauma kama kumuumiza mtu asiye na hatiaWengi tunashindwa kukubali uhalisia na tunaiogopa jamii itatuchukuliaje ikijua tumeathirika. Unakuta mama Ni +lakin anaogopa kuacha kumnyonyesha mtoto kisa tu jamii itajua kuwa ye ni muathirika,,hajui kwa kufanya hvo anamuathiri mtoto asiekua na hatia hata kidogo. Jamii ipewe elimu ya kutosha ya kimwili na kiroho
Kabisa mkuu,ila hapa ndipo tubadilike na ndio umuhimu wa kupanga uzazi pamoja na kucheki afya kabla ya kujazana mimba unapoonekana.Tatizo ni kwamba tayari mtaani Kuna mama na Mama watarajiwa ambao walishaathirika toka kwa mama zao wengi Sana.
HIV imeshika kasi Sana miaka ya 90.
Kuna mabinti na vijana wa kiume wengi waliozaliwa miaka hiyo wanatumia dozi na ndio wazazi watarajiwa.
Kuna mambo ni magumu Sana.
Ukipima ukakutwa salama jitunze.