Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari,

Baadhi ya watu ni kama wanyama hawashauriki. Kama watu ni waelewa kusingekuwepo na tatizo hilo. Just imagine mtoto anazaliwa hajui hili wala lile na mwisho wa siku anajua ana ukimwi. Atakuwa anawaona wazazi wake kama wauaji tu ni si wazazi na atalaani kwa nini alizaliwa.
 
Hongera sana kwa uono huo,
Masaa mengi kwa siku wanadamu tunaongozwa kwa akili ya ikishirikiana na utashi ila yale masaa machache unayotembelewa na hisia nadhani akili hujitoa na kukaa kwa mbaalii na kukuonya kwa mbaalii kwa kasauti ka mbaaliii ambapo hako kasauti ka onyo huwa hakafutikii Ila Ukipatwa na janga, huwa kale ka maudhui kake kanakujia. Hapo ndio utakaona kale kasauti kalipaswa kakuonye kwa nguvu zaidi lakini ndio hivyo tena. Utashi.

UTASHI tunao, tuusikilize Sana.
Utashi hauendagi Bar na maeneo mengine kama hayo. Ukifika huko jichunge mwenyewe.
 
Mkuu acha tu ni majonzi
matupu,
 
Aliyesema michepuko sio dili abarikiwe
 
Wengi tunashindwa kukubali uhalisia na tunaiogopa jamii itatuchukuliaje ikijua tumeathirika. Unakuta mama Ni +lakin anaogopa kuacha kumnyonyesha mtoto kisa tu jamii itajua kuwa ye ni muathirika,,hajui kwa kufanya hvo anamuathiri mtoto asiekua na hatia hata kidogo. Jamii ipewe elimu ya kutosha ya kimwili na kiroho
 
Kuna kamwanafunzi ni HIV positive, kanawapelekea moto wenzie daah halafu kanachagua walionona, wenye mikia.....
Huwa nipo dilema tu hata sijuagi cha kufanya! Nikiwaambia inakua stigma na nadhani atajisikia vibaya, ila roho huniuma kwakweli kuona watoto wadogo wanaliwa vile na mtu ambae nnajua kabisa hali yake.
Mungu awanusuru.
 
Wengi tunashindwa kukubali uhalisia na tunaiogopa jamii itatuchukuliaje ikijua tumeathirika. Unakuta mama Ni +lakin anaogopa kuacha kumnyonyesha mtoto kisa tu jamii itajua kuwa ye ni muathirika,,hajui kwa kufanya hvo anamuathiri mtoto asiekua na hatia hata kidogo. Jamii ipewe elimu ya kutosha ya kimwili na kiroho
Na hakuna kitu kinauma kama kumuumiza mtu asiye na hatia
 
Tatizo ni kwamba tayari mtaani Kuna mama na Mama watarajiwa ambao walishaathirika toka kwa mama zao wengi Sana.
HIV imeshika kasi Sana miaka ya 90.
Kuna mabinti na vijana wa kiume wengi waliozaliwa miaka hiyo wanatumia dozi na ndio wazazi watarajiwa.
Kuna mambo ni magumu Sana.
Ukipima ukakutwa salama jitunze.
 
Kabisa mkuu,ila hapa ndipo tubadilike na ndio umuhimu wa kupanga uzazi pamoja na kucheki afya kabla ya kujazana mimba unapoonekana.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom