Asante sana Mtende kwa mchango wako. Umegusia vitu vya msingi sana.Kiukweli vifo vya hao watoto viliniumiza sana, nilijikuta nina maswali mengi sana kichwani
Sijawahi kuwaza kuwapeleka wanangu boarding hata siku moja, pamoja na changamoto za wasaidizi wa kazi, wakati mwingine inafika wakati unakata tamaa kabisa lakini ni bora kusacrifice kazi yangu for the sake of the kids na sio kuwapeleka boarding
Kwa umri huo ni muda ambao watoto bado wanahitaji foundation kubwa sana kutoka kwa wazazi wote wawili, wanahitaji pia upendo na ukaribu na mzazi na pia inasaidia hata kujenga bond kati ya mzazi na mtoto
Ni umri ambao mtoto yupo katika stage ya kujifunza, kwa hiyo mengi anayojifunza anaangalia kutoka kwa walezi na hapa ndio mantiki ya wazazi inapokuja...naamini kila mzazi kuna namna ambayo anatamani amlee mtoto/watoto wake na kuna makuzi ambayo hatamani kumuona mtoto wake ameyapata especially baqdhi ya tabia ambazo baadae zinaweza kusababisha mtoto kuwa kiumbe wa hovyo, kwa hiyo umri huu ni wa kumtengeneza sana mtoto
Nawaza tu hao wanaokua boarding, wanajifunza mengi sana mazuri na mabaya, wanajifunza kutoka kwenye backgroubd za kila aina maaana kuna mchanganyiko wa watu wengi, sijui hata kama kuna ile upendo ambao angetakiwa kuupata kwa mzazi, wakati mwingine mtoto hata anapokua na jambo, sijui huwa anamweleza nani, either mwalimu au wanafunzi wengine?
Mimi nadhani serikali ingebadilisha tu huu utaratibu wa watoto wa shule za msingi kukaa boarding na sheria iwekwe ili wazazi waweze kuwajibika katika malezi ya watoto la sivyo tutatengeneza taifa lenye watu wa hovyo, irresponsible citizens kwa sababu wamekua katika mazingira ambayo wazazi wao hawakua respinsible kwenye malezi yao na hakujifunza kutoka kwao
Mzazi anapata kabisa usingizi mtoto wake wa miaka 4 yupo boarding, hujui amekula, ameoga, anajisikiaje, tena mama ameingia leba kabisaa
Ni kweli Lizzy, wazazi wanatakiwa kuwa namba moja kuwajibika, ila sioni kama ni rahisi sana kwa nchi yetu kwa sababu vipaumbele vimewekwa kwenye mambo mengine bila kuangalia msingi wa taifa ambao ni watotoAsante sana Mtende kwa mchango wako. Umegusia vitu vya msingi sana.
Ukweli ni kwamba our society is more dysfunctional than we would like to admit. Kuna umuhimu wa serikali pamoja na taasisi nyinginezo kutoa elimu kuhusu hasara za muda mrefu zinazoweza kusababishwa na "sifa" tunazokimbilia sasa hivi, pia kushinikiza uwajibikaji wa wazazi kwa watoto. Haya ndo maswala wataalam wa maswala ya kijamii wanatakiwa kuzungumzia but hola[emoji57]
I hope baadhi ya wazazi watafunguka macho ama kupunguza ubinafsi kadri kutokana na taarifa kama hizi.
Inasikitika sana.Watoto wengi wanazaliwa 'ki bahati mbaya'..
Sasa zoezi la kuwalea linakuwa mshikemshike..
Hata mda Tu wa kuwa nao shida.
Likizo ya Corona Tu wazazi walijuta kukaa na watoto wao...
Wengi tunadhani kutafutia maisha watoto ni solely pesa, hatujui kuwa maisha ya baadae kwa watoto wetu ni package ya vitu vingi.Cha kuchekesha huyu huyu mzazi ukimkuta anakuambia "niko busy nawatafutia wanangu maisha" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kwanza sahihisha kauli yako hapo uliposema wenzetu wa Magharibi. Please futa hiyo kauli maana wale sio wenzetu.Very true ππ
Kuna umuhimu wa kuiga kuzaa kwa mipango kutoka kwa wenzetu wa Magharibi. Watu wawe wanaamua kuzaa wanapokuwa tayari kuwa responsible π―π― badala ya watu kuzaa ili kuendeleza trend ama kufurahisha jamii na mwishowe kufelisha vizazi vijavyo.
Nianze na wew je umezaliwa kwa kufuata hizo pillars?Uzazi wa mpango kwa nchi yetu ni ngumu sana kwa sababu serikali haiungi mkono suala zima la uzazi wa mpango, mkuu wa nchi amekua busy akiwasisitiza watu kuzaa na kuwadescourage wale wanaoutumia njia za uzazi wa mpango kwa kigezo kwamba ni wanatumiwa na mabeberu
Wameshaambiwa matiti ya kunyonyesha wanayo, wanaume wapo, elimu bure, zaeni tu
Kwa msingi huu ni ngumu sana, wizara ya afya ilitakiwa kutoa elimu ya uzazi wa mpango nchi nzima ili kuwezesha kukabiliana na baadhi ya changamoto kama hizi
Kubwa zaidi, mzazi ambae an uwezo wa kumpeleka mtoto mtoto mdogo boarding that means anajiweza na ana elimu ya kutosha kuhusu uzazi wa mpango, ni kwamba tu hawataki kuwajibika kwa sababu ya huu utandawazi
Cha msingi ni kuweka sheria inayowabana wazazi kuwa responsible na malezi ya watoto wao, hizo ndio kazi za social workers hapa nchini, kufatilia mambo ya kijamii ila cha ajabu social workers wetu leo hii wanatembeza vyombo
Trying my best kwa kweli, lobing everything aside jut to make sure my kids gets all the attention from mommy than from anyone elseNianze na wew je umezaliwa kwa kufuata hizo pillars?
It should be "from mommy and daddy than anyone else"! Unless dad doesn't exist in your kids' life!Trying my best kwa kweli, lobing everything aside jut to make sure my kids gets all the attention from mommy than from anyone else
That is how it is, lakini kwa maisha yetu ya kitanzania ni ngumu to have equal time to spend with kids, yani mimi nitoke ofisini saa kumi na mr nae atoke saa kumi , atlist when am not there daddy will be there and when he is late i am there for the kids, on weekends mostly wanapata time from the two of us but weekdays ni ngumu kwa sababu ya mazingira ya kazi and soIt should be "from mommy and daddy than anyone else"! Unless dad doesn't exist in your kids' life!
Ujue ulinichanganyia mambo uliposema watu hawafuati mpango uzazi ukachanganya na watu kupeleka kids boarding kwanza hakuna mzaz mwenye watoto saba mwenye watoto boarding kama wapo ni wachache mno mkuu usome utandawazi na uuache hivyo hivyo tu maana jamii inapotoka kwa kusoma na kutazama 90% ya wasomi Duniani ni malimbukeni wa lifestyle wasizozijua asili na makusudio yake jamii inapotoka kwa kiasi kikubwa kupitia Elimu makapi na mazingira ya pale wanapoenda kuattain hiyo elimuTrying my best kwa kweli, lobing everything aside jut to make sure my kids gets all the attention from mommy than from anyone else