aiseeBaada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 [emoji853][emoji853] (May their little souls Rest in Heaven [emoji72][emoji72])
Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding school."?
Ina maana tunakosa kabisa namna ya kuendelea kuishi na watoto wetu majumbani, chini ya uangalizi wetu wakaenda shule asubuhi na kurudi jioni kiasi cha kuwakimbiza boarding school wakiwa bado wadogo sana? Tukishawakimbiza boarding school katika umri huo mdogo, ni lini utapatikana muda wa kukaa nao na kuwajenga kihisia, kitabia na kiakili kama wazazi? Hatuoni kama tunawapunja sana hawa watoto? Ama hata sisi wenyewe kwa kutoshiriki kikamilifu katika ukuaji wao?
[emoji2308][emoji2308][emoji2308][emoji2308]
Ni Hatari kwakweli.Daah mbona hatari sana hio..
Nikuwa makini Sana na watoto.Uwiiii[emoji2304][emoji2304][emoji2304]
saaanaNikuwa makini Sana na watoto.
Mkuu ubize gani huo wa kushindwa kulea mtoto mdogo? Kweli inasikitisha mtoto wa miaka 3-10 yupo boarding na wazazi wapo wanakula bata. Baadae akikosa upendo kwa wazazi tutamlaumu nani.Maisha yanaenda Kasi..majukumu yanazidi kuwa mengi..mahousegal hawaaminiki mzazi anaona Bora ampeleke mtoto boarding walau anahisi kutakuwa na usalama..ingawa kwa sasa usalama ni% chache Sana..kuzaa kwa mpango ni muhimu na suala la shule za boarding sidhani Kama linakwepeka kwa Life la sasa
Hao walaji Bata na wazimu wao..nimezungumzia wale wazazi waliotingwa Katika utafutaji ambao inawawia vigumu kubalance na malezi na kupeleka watoto shule za boarding..ingawa kwa mtoto wa miaka 3 Hadi 10 kumpeleka boarding si sawa .Mkuu ubize gani huo wa kushindwa kulea mtoto mdogo? Kweli inasikitisha mtoto wa miaka 3-10 yupo boarding na wazazi wapo wanakula bata. Baadae akikosa upendo kwa wazazi tutamlaumu nani.
Tambua wazazi wengine wanaishi sehemu ambazo hakuna shule kwa nn ajali ikishatokea tunalaumu Sana kwa nini usije keta hii mada kabla .kaa kimya tena utulie kabisaBaada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 [emoji853][emoji853] (May their little souls Rest in Heaven [emoji72][emoji72])
Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding school."?
Ina maana tunakosa kabisa namna ya kuendelea kuishi na watoto wetu majumbani, chini ya uangalizi wetu wakaenda shule asubuhi na kurudi jioni kiasi cha kuwakimbiza boarding school wakiwa bado wadogo sana? Tukishawakimbiza boarding school katika umri huo mdogo, ni lini utapatikana muda wa kukaa nao na kuwajenga kihisia, kitabia na kiakili kama wazazi? Hatuoni kama tunawapunja sana hawa watoto? Ama hata sisi wenyewe kwa kutoshiriki kikamilifu katika ukuaji wao?
[emoji2308][emoji2308][emoji2308][emoji2308]
Mtu anawezaje kumuamini Mwalimu/Matron ambae yuko miles away kuliko dada wa kazi ambao yupo ndani ya nyumba?? Ina maana boarding ni salama zaidi kuliko nyumbani ambapo unaweza ukafuatilia mambo kwa ukaribu zaidi???Maisha yanaenda Kasi..majukumu yanazidi kuwa mengi..mahousegal hawaaminiki mzazi anaona Bora ampeleke mtoto boarding walau anahisi kutakuwa na usalama..ingawa kwa sasa usalama ni% chache Sana..kuzaa kwa mpango ni muhimu na suala la shule za boarding sidhani Kama linakwepeka kwa Life la sasa
Mkuu ubize gani huo wa kushindwa kulea mtoto mdogo? Kweli inasikitisha mtoto wa miaka 3-10 yupo boarding na wazazi wapo wanakula bata. Baadae akikosa upendo kwa wazazi tutamlaumu nani.
Kiukweli vifo vya hao watoto viliniumiza sana, nilijikuta nina maswali mengi sana kichwaniBaada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 [emoji853][emoji853] (May their little souls Rest in Heaven [emoji72][emoji72])
Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding school."?
Ina maana tunakosa kabisa namna ya kuendelea kuishi na watoto wetu majumbani, chini ya uangalizi wetu wakaenda shule asubuhi na kurudi jioni kiasi cha kuwakimbiza boarding school wakiwa bado wadogo sana? Tukishawakimbiza boarding school katika umri huo mdogo, ni lini utapatikana muda wa kukaa nao na kuwajenga kihisia, kitabia na kiakili kama wazazi?
Hatuoni kama tunawapunja sana hawa watoto? Ama hata sisi wenyewe kwa kutoshiriki kikamilifu katika ukuaji wao?
[emoji2308][emoji2308][emoji2308][emoji2308]
Uzazi wa mpango kwa nchi yetu ni ngumu sana kwa sababu serikali haiungi mkono suala zima la uzazi wa mpango, mkuu wa nchi amekua busy akiwasisitiza watu kuzaa na kuwadescourage wale wanaoutumia njia za uzazi wa mpango kwa kigezo kwamba ni wanatumiwa na mabeberuVery true [emoji53][emoji53]
Kuna umuhimu wa kuiga kuzaa kwa mipango kutoka kwa wenzetu wa Magharibi. Watu wawe wanaamua kuzaa wanapokuwa tayari kuwa responsible [emoji817][emoji817] badala ya watu kuzaa ili kuendeleza trend ama kufurahisha jamii na mwishowe kufelisha vizazi vijavyo.
Tukishawakimbiza boarding school katika umri huo mdogo, ni lini utapatikana muda wa kukaa nao na kuwajenga kihisia, kitabia na kiakili kama wazazi?
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Kwani mzazi akiwa busy anaondoka na nyumba??? Yani kazi za saa 8 - 17 ndo zisababishe watoto waondoke nyumbani up to 3 months at a time???
Mwingine unakuta mtoto kambwaga boarding school na yeye kajiwekea maid nyumbani. Like seriously.....?π€π€π€π€
Hapo ndio unamkuta mtoto ana tabia tofaut na za wanafamilia unaanza kulalamikaInasikitisha sana, wazazi wa kileo tunafeli sana. Haiwezekani mtoto mdogo anayehitaji upendo wa wazazi anapelekwa kulelewa na watu baki. Utamfundisha lini tabia, upendo nk.