Uko sahihi na ndomaana wanawakimbiza huko boarding schools ili kupunguza majukumu ya kulea.Watoto wengi wanazaliwa 'ki bahati mbaya'..
Sasa zoezi la kuwalea linakuwa mshikemshike..
Hata mda Tu wa kuwa nao shida.
Likizo ya Corona Tu wazazi walijuta kukaa na watoto wao...
Hizi shule za watoto Zina majanga Sana, Kuna shule flani mkoa..(. ....)nilipo mtoto wa miaka 7 kakutwa na SUMU anataka kutia kwenye chakula Cha watoto wa darasa la nne na akakamatwa na hiyo SUMU, imagine angefanikiwa kingetokea Nini? Aliulizwa na akataja mtu aliyemtuma..
Daah mbona hatari sana hio..Hizi shule za watoto Zina majanga Sana, Kuna shule flani mkoa..(. ....)nilipo mtoto wa miaka 7 kakutwa na SUMU anataka kutia kwenye chakula Cha watoto wa darasa la nne na akakamatwa na hiyo SUMU, imagine angefanikiwa kingetokea Nini? Aliulizwa na akataja mtu aliyemtuma..
Very true ππWatoto wengi wanazaliwa 'ki bahati mbaya'..
Sasa zoezi la kuwalea linakuwa mshikemshike..
Hata mda Tu wa kuwa nao shida.
Likizo ya Corona Tu wazazi walijuta kukaa na watoto wao...
Ubize wa wazazi unasababisha yote haya, ilipaswa atleast mtoto awe na miaka kuanzia 12 japo majanga yanapotokea huwa hayaangalii umri
Ni kweli kabisa mtoto mdogo kupelekwa boarding ni kama unyanyasaji tu, hata kama shule iwe nzuri kiasi gani au iwe ina jali kiasi gani lakini haiwezi fikia hata nusu malezi ya wazazi/walezi nyumbani
Thought kipindi nasoma primary nilikua nikiona wenzangu wapo boarding nilikua naona kama wanaenjoy sana na wanaishi vizur mno na nilitamani na mimi nipelekwe boarding kama wao, mawazo ya utoto bana[emoji1][emoji1][emoji1]
Utoto rahaNi kweli kabisa mtoto mdogo kupelekwa boarding ni kama unyanyasaji tu, hata kama shule iwe nzuri kiasi gani au iwe ina jali kiasi gani lakini haiwezi fikia hata nusu malezi ya wazazi/walezi nyumbani
Thought kipindi nasoma primary nilikua nikiona wenzangu wapo boarding nilikua naona kama wanaenjoy sana na wanaishi vizur mno na nilitamani na mimi nipelekwe boarding kama wao, mawazo ya utoto bana[emoji1][emoji1][emoji1]
Hakuna hata cha maana ulichomiss[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Laiti ungejua ......[emoji38][emoji38][emoji38]
Ratiba ya kuamka yenyewe utadhani watoto wako jeshini maskini [emoji17]
Ila kusema ukweli sidhani kama kuna kitu kikubwa tumemiss ambao hatukuwahi kwenda board [emoji57][emoji57]