Wazazi Tujihadhari na Hawa Watu

Wazazi Tujihadhari na Hawa Watu

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
Gonga Lodge.jpg
 
Kuna mmoja wa aina hiyo jirani yangu nataka nimkodishie watu wampige hata wakimwua sawa tu.Ni kero sana kwa visichana vya mtaani kwetu halafu anapenda sana 0713!
 
Wasimpige ila waharibu heshima ya makalio yake, halafu picha hizo zibandikwe mtaani ....
 
Kuna mmoja wa aina hiyo jirani yangu nataka nimkodishie watu wampige hata wakimwua sawa tu.Ni kero sana kwa visichana vya mtaani kwetu halafu anapenda sana 0713!

Mkuu umejuaje kama anapenda Tigo au ameshakula na wewe?
 
Utetezi mwingine aisee unaweza kukutia hatiani, eti amejuaje kama anapenda tigo!
 
Ni safi sana na somo zuri hilo kwa wanafunzi wa shule
 
Wanafunzi nao waache vihere here vyao....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Haya ni matusi na uchokonozi usio na tija

Bado sijaona haja ya yeye kuuliza swali kama hilo la kipuuzi katika mada siriaz kama hii otherwise awe mgumba....
Sometimes kama huna cha kupost kwanini usibaki kuwa msomaji tu mpaka utakapo pata wazo zuri...??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu umejuaje kama anapenda Tigo au ameshakula na wewe?

Mkuu ungetumia japo tu ulimi kufikiria usingeuliza swali la kipuuzi kama hili....
Think twice

Back
Top Bottom