Wazazi na walezi pitieni hapa tafadhali

Wazazi na walezi pitieni hapa tafadhali

Itaje hyo shule tukawatoe watoto wetu

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Hapana siitaji,ila ni kweli imetokea na kabla ya hapo,walimu walihisi kutokana na tabia ya kupenda kwenda chooni kikundi,wanaaga kama kumi hivi, ndo wakawateaga na wamewakamata.Mwambie mwanao akiwa shule akisikia haja,aende peke yake chooni.
 
Hapa tunaweza ni kiasi gani watu wa siku hizi tunathamini pesa kulikoa Afya na Mustaqabali mzima wa kizazi chetu...Mkuu wa shule Mtu aliepewa Dhamana ya Idadi kubwa ya watoto....yeye anatetea maslahi ya shule yake na sio hali za watoto.....Hata kama wakiadhibiwa....watoto darasa na 5 tayari wameshakua ni Mabaradhuli...na wataendelea kufanya hivi vitendo maishani mwao daima...ni Lazima watu waijue hii shule....Vinginevyo mtoa mada utakua huna nia ya kuisaidia Jamii...zaidi ya Kuilinda shule ya dada yako......
 
Eee Mwenyezi Mungu tusaidie wanao peke yetu hatuwezi kulea watoto wetu pasipo msaada wako na ulinzi wako ,Eee Mwenyezi Mungu nawakabidhi watoto wangu mikononi mwako kwakuwa kilicho mikononi mwako kiko salama,Amina.

Umenena sana ndugu,mungu ndo wa kunusuru manawewe huwezi bila yeye mwenye utukufu.
 
Mmh mungu tunusuru na hili jamani tutawapeleka wapi watoto? Mwalimu Mkuu ndio Kama ivyo hataki kupoteza sifa za shule
 
Hapa tunaweza ni kiasi gani watu wa siku hizi tunathamini pesa kulikoa Afya na Mustaqabali mzima wa kizazi chetu...Mkuu wa shule Mtu aliepewa Dhamana ya Idadi kubwa ya watoto....yeye anatetea maslahi ya shule yake na sio hali za watoto.....Hata kama wakiadhibiwa....watoto darasa na 5 tayari wameshakua ni Mabaradhuli...na wataendelea kufanya hivi vitendo maishani mwao daima...ni Lazima watu waijue hii shule....Vinginevyo mtoa mada utakua huna nia ya kuisaidia Jamii...zaidi ya Kuilinda shule ya dada yako......

Mimi mwenyewe sijapendezewa na hili,ndiyo maana nimetahadharisha hadhira iliyokuwa karibu yangu ambao ni nyinyi.Cha msingi tujitahidi kuwaweka karibu watotoi wetu.
 
dahh nazidi kuumia sana aiseee,inauma kuliko isikie tu kwingine yasikukute laivu.
Kweli kaka mana kuna mmoja wa kiume anapenda sana kujichanganya na vibinti walimu wakaazimia akae na watoto wa kiume,wanafunzi waa kiume wakalalamika sana.akaitwa mlezi wake ambae ni bibi,akasema inawezekana kweli wanamfanyia hvyo mana nyumbani kila siku wanakuja vijana kumchukua na kumrudisha usiku.
 
Habari wana mmu.Ni mara ya kwanza kuposti hapa. Dada yangu anafundisha shule moja ya msingi ya hapa DAR.Jana shuleni kwao, wamewafuma wanafunzi kumi wa darasa la tano chooni wakilawitiana.Walipowahoji wameanza lini wakadai toka darasa la tatu.Na miongoni mwao kuna mwanafunzi ni muathrika na shule inafahamu. Walimu wakaafikiana waadhibiwe na waitwe wazazi wao,mkuu wa shule akaamrisha waadhibiwe tu wazazi na walezi wasiitwe,ana hofu habari zitawafikia vyombo vya habari,shule itapata kashfa. Nimeumia kama mzazi. Ombi langu kwa wazazi hasa wenye watoto wa kiume,tujitahidini kuchunguza watoto wetu hata kama tuko busy vipi.Tukumbuke kizazi cha sasa kimeharibika mno na tumuombe sana mungu alinde vizazi vyetu.
Inaogopesha, inasikitisha! Hebu niombe kama kuna mtaalamu hapa anieleze:ni viashiria gani vitakuonesha kwamba mtoto wako wa kiume anashiriki uchafu huo?
 
Mungu atunusuru na vizazi vyetu.
Huyo mwalimu mkuu ni katili na mbinafsi.
Wazazi wanapaswa kupewa taarifa.
Tupunguze u busy jamani,walimu tunaowaachia ulezi ndio hawa wanajali hadhi ya shule kuliko watoto!!
 
Yote haya ni kwa ajili ya utandawazi. Sasa hao watoto wamejuaje hako kamchezo bila shaka kuna mmoja ambae ni kinara. Maana kipindi nasoma mm nilikuwa nawakimbia wanawake maana tuliaminishwa ukitembea na mwanamke unangua. Mungu epusha hili balaa la sodoma na gomola.
 
Mwenyezi Mungu atulindie watoto jamani!!! Hi si salama kabisaa...Alafu wazizi tuwe makini sana na vipindi wanavyoangalia watoto wetu kwa runinga.
 
Lazima wazazi waitwe hapo mkuu wa shule nae vipi, vyombo vya habari vitaharibu nini kwani habari ya kutunga!

Miaka miwili watoto wanafumuana mirinda, aisee
 
Mwenyezi Mungu atulindie watoto jamani!!! Hi si salama kabisaa...Alafu wazizi tuwe makini sana na vipindi wanavyoangalia watoto wetu kwa runinga.

Kweil kabisa vipindi vingine sio vizuri hata kidogo.
 
Lo!!!!! Mungu tunusuru.mkuu ni shule gani hiyo? Je ya serikali ama binafsi? Tujuze tafadhali sisi wengine tuna watoto walio darasa hilo.
 
Inaogopesha, inasikitisha! Hebu niombe kama kuna mtaalamu hapa anieleze:ni viashiria gani vitakuonesha kwamba mtoto wako wa kiume anashiriki uchafu huo?

Pendelea kumchunguza nyendo zake,maongezi na anavyobehave kwa watoto wenzie wa kiume,maongezi,michezo n.k.
 
muhimu wazazi mjitahidi kukaa na watoto pigeni nao stori muwaulize kirafiki kuhusu maisha yao ya shule inaweza kusaidia kung'amua tatizo mapema kabla haijawa too late
 
Kwanini na wewe umeleta habari na hautaki kutaja jina la shule? Fungua ID ingine utaje au mtumie mtu msg humu.

Mie sijaona why umeleta topic halafu unasema unaumia wakati watoto wa wengine wapo pabaya, sasa tofauti yako na mwalimu mkuu ni ipi?

Wengi wanajua haya mambo yanatokea, ila wewe unajina la shule liseme ili watoto wapate misaada. Ziitwe taaluma ziwakalishe chini ziwaulize maswali wajue nini haswa kinachochangia haya mambo. Na wazazi pia wajue waanze kuwapima watoto wao.

Sidhani kama mtoto akiumwa kuna mzazi atafukiria ukimwi labda kama wao pia wanao au alipewa damu ya mtu mwingine etc.

Na wewe uombe Mungu unavyoficha isije ikampata wa damu yako. utajutia as hutaki saidia watoto wa wengine.
 
muhimu wazazi mjitahidi kukaa na watoto pigeni nao stori muwaulize kirafiki kuhusu maisha yao ya shule inaweza kusaidia kung'amua tatizo mapema kabla haijawa too late

Kweli kabisa,tatizo walimu wito umepungua pia wazazi baadhi ubusy umezidi na kingine wazazi wengine wakali mno kwa watoto.
 
Mkuu anaogopa vyombo vya habar ina kuwajibishwa,japo walimu wa kawaida wamepinga.
Mkuu anaogopa vyombo vya habari? ana wenda wazimu kwani vyombo vya habari kazi yake nini kama si kufichua uovu,wazazi wanatakiwa kuitwa na kuelezwa hayo na huyo mtoto ambaye ndo muanzilishi ahojiwe ili aeleze alikojifunza huo mchezo ila hatua za kisheria zifuatwe au huyo mkuu anahusika anogopa atatajwa?

Wito kwa wazazi jamani huo ubize wetu basi hata watoto wetu wawe sehemu ya huo ubize tufuatilie maendeleo ya watoto wetu si kimasomo tu hata kimaadili maana shuleni yote hayo yanapatikana lasivyo tutajikuta ubize hauna maana na kuishia kujilaumu
 
Huyo mwl mkuu naye vipi! Kosa kubwa kama hilo na kimsingi limekuwa kero katika jamii awaadhibu kimya kimya bila kuwashirikisha wazazi kisa kashfa? Siungi mkono hoja! Issue kama hii lazima wazazi washirikishwe wote! Malezi ya mwanafunzi ni ya jamii yote lkn walio karibu zaidi na kwa ajili ya matokeo mazuri ushirikiano kati ya mwalimu na mzazi ni mhimu sana! Asipowaita wazazi atakuwa amefanya kosa sana aisee kwa mtazamo wangu!

Back
Top Bottom