Wazazi na ndugu zangu wataka nimuache mke wangu. Ndoa ina miezi 6, nipo njia panda

pole sana mkuu.......uko mji gani na huko vijijini ni wapi......???? mkuu wewe na akili zako mmedat 2 month....hujamdonoa then unaoa...kosa umelifanya wewe......muwe mnahudhuria vikao vya wanaume brooo......ushauri wangu kuwa makini na maneno ya watu....tena kuwa makini sana....usikurupuke ukafanya maamuzi yatakayogharimu maisha yako yote......ongeza ibada...hudhuria kliniki.....kwa wataalamu...litakwisha....
 
Mkuu usi give up! Kama hospitalini vipimo havioneshi tatizo lolote basi ni wazi karogwa. Waganga hawatatui matatizo! wanachofanya ni kupulizia manukato kwenye kinyesi, tatizo linabaki palepale ila hutoliona mpaka baadaye manukato yakiishiwa harufu. Wapo Masheikh wanatibu maradhi hayo sio kazi kuwapata, Allah atamtibu mkeo na mtaishi vizuri tu kwa furaha na upendo, hadi watoto atawapa.
 
Wanaokwambia ukae upande wa mkeo hawakutakij mema kama unataka kujenga familia ya mazindiko owa iyo familia kuvunja saivi iyo ndoa ni Jambo jepesi Ila ukilemaa mbeleni hutaweza tena kuivunja mkuuu weka roho ya huruma uje kuona utakayoyapata
 
Pole sana, kuoa/kuolewa na mtu unayemfahamu na kumjua vilivyo inaepusha mengi. Ni vyema kuchunguzana hadi huko kwenye familia zetu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
pole sana mkuu.......uko mji gani na huko vijijini ni wapi......???? mkuu wewe na akili zako mmedat 2 month....hujamdonoa then unaoa...kosa umelifanya wewe......muwe mnahudhuria vikao vya wanaume brooo......ushauri wangu kuwa makini na maneno ya watu....tena kuwa makini sana....usikurupuke ukafanya maamuzi yatakayogharimu maisha yako yote......ongeza ibada...hudhuria kliniki.....kwa wataalamu...litakwisha....
Asante kwa ushaur
 
Naomba ushauri wenu juu ya hili

Japo stori ni ndefu lakini kiufupi ni hivi
Ni miezi sita ya ndoa sasa mke wangu amekumbwa na maradhi makubwa ya kuingia bleed siku tano mfululizo na kutoka damu nyingi na tumbo likimuuma mfululizo jambo ambalo limepelekea kila akiingia anapungua damu kwa 15%.

Tumekwenda mahospitalini lakini vimo vikubwa vyote vinaonesha hakuna tatizo katika mfumo wa uzazi wala maradhi ya mwilini.

Tumejaribu miti shamba lakini pia imegoma

Sasa juzi tulijaribu kwa matabibu au waganga asilia. Mganga akutueleza tatizo zima la mke wangu ambapo alitendewa akiwa mdogo mpaka kupelekea kuacha shule ndugu zake ambao inasemekana hawakutaka aolewe wala apate mtoto

Kulidhibitisha hilo kwa wazazi wake baba anakiri kuwa inawezekana maana hata binti yake mkubwa alifanywa hvyo wakaenda kwa waganga na kutegua lakini mama mtu anakata kataa.

Mganga ameomba kwenda kuondoa hili tatizo kwao binti lakini mama mtu kagoma na kudai akienda aende na mwanae na talaka kabisa. Na wala hayuko tayari familia yao ichunguzwe.

Nimekuwa nikiteseka sana juu ya mke wangu huyu na hata kupelekea kuhatarisha kibarua changu kwa utoro.

Yaliyoko nyuma ya pazia juu ya familia ya binti.
Mimi na wazazi wangu hatukuifahamu sana hii familia hata kabla hatujuoa kwao maana ni huko kijiji na wazazi wangu wapo vijiji vya mbali. Hvyo kwakuwa mimi nilifanyiwa connection na nikaridhika na tabia na dini ya binti mambo ya familia yaani nasaba sikuyafatilia sana.

Nilianza kuwa na wasiwasi hapa japo nlikuwa nshapenda sikufikilia kuachana nae maana hatukukaa kwenye mahusiano yaani nlimpata baada ya miezi miwili nikaoa na nlikuwa nakaa mjini yeye kijijini kipindi chote cha uchumba.

Lakini cha kushangaza wazazi wake hawakutaka baadhi ya ndugu na hata majirani kujua kuwa binti yao kachumbiwa na waliamua kumuamisha na kumpeleka ujombani ili mambo yote yafanyike huko

Na hata ndoa ilifanyika kimya kimya huko ujombani kwani sisi tulijua tunapunguziwa gharama za uendeshaji wa shughuli.

Cha kushangaza zaidi
Ndugu wa binti walipogundua kuwa mtoto wao anaumwa sana amepungukiwa damu yupo hospitalini walikuja na kuanza kuwalaumu wazazi wa binti kwamba kwanini walimuozesha ingali wanajua tatizo la mtoto wao.
Walitoa mambo mengi ya kifamilia ambayo hata wazazi wangu walistuka.

Kwani hata sisi familia tulielezwa mwanzo kuwa alikuwaga anaumwa zamani lakini alipona

Za chini chini ni kuwa kumbe binti alishatafutiwa wanaume zaidi ya watatu wote baada ya kudokezewa historia ya binti wanaingia mitini

Sasa kimbembe kipo hapa mimi mganga anadai binti hawezi kupata hata ujauzito na hili tatizo litamsababishia madhara makubwa.

Wazazi wangu na ndugu wameniweka kikaangoni na wapo na mke wang huko kijijini wanasema nimrudishe binti kwao akatibiwe na wazazi. Na wazazi wa binti wanasema nikimrudisha nimpe na talaka.

Naombeni ushauri wenu hapa hadi kazini nashindwa kuwa na furaha.
Wewe unapenda kubeba matatizo,umeambiwa familia ya mkeo inajua matatizo ya binti yao...wape binti yao bila hivyo utakua kapuku maisha yako yote kwa kuzunguka kwa waganga nae
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkuu mimi binafsi nadhani wewe kama kichwa cha familia unaweza ukasimama katika imani na kumuomba Mungu unayemuabudu na kumtumaini ili amuokoe na kumkomboa mkeo ila pia na yeye awe tayari kutoka katika hizo kamba za kuzimu.
Haya mambo ya sijui kutafuta Mtumishi unaweza ukaukwaa then ukawa umemtajirisha mtumishi . Simama kwa maombi tafuta madhabahu ile unayosali toa sadaka Amini then its over.
Yesu alitufia msalabani ili na huyo aliyepotea aokolewe basi unao uwezo wa kuomba na hilo tatizo likaisha kumbuka nyinyi tayari ni mwili mmoja hivyo unao uwezo. Amini kwamba....
 
Asante kwa ushauri
 
Naomba ushauri wenu juu ya hili

Japo stori ni ndefu lakini kiufupi ni hivi
Ni miezi sita ya ndoa sasa mke wangu amekumbwa na maradhi makubwa ya kuingia bleed siku tano mfululizo na kutoka damu nyingi na tumbo likimuuma mfululizo jambo ambalo limepelekea kila akiingia anapungua damu kwa 15%.

Tumekwenda mahospitalini lakini vimo vikubwa vyote vinaonesha hakuna tatizo katika mfumo wa uzazi wala maradhi ya mwilini.

Tumejaribu miti shamba lakini pia imegoma

Sasa juzi tulijaribu kwa matabibu au waganga asilia. Mganga akutueleza tatizo zima la mke wangu ambapo alitendewa akiwa mdogo mpaka kupelekea kuacha shule ndugu zake ambao inasemekana hawakutaka aolewe wala apate mtoto

Kulidhibitisha hilo kwa wazazi wake baba anakiri kuwa inawezekana maana hata binti yake mkubwa alifanywa hvyo wakaenda kwa waganga na kutegua lakini mama mtu anakata kataa.

Mganga ameomba kwenda kuondoa hili tatizo kwao binti lakini mama mtu kagoma na kudai akienda aende na mwanae na talaka kabisa. Na wala hayuko tayari familia yao ichunguzwe.

Nimekuwa nikiteseka sana juu ya mke wangu huyu na hata kupelekea kuhatarisha kibarua changu kwa utoro.

Yaliyoko nyuma ya pazia juu ya familia ya binti.
Mimi na wazazi wangu hatukuifahamu sana hii familia hata kabla hatujuoa kwao maana ni huko kijiji na wazazi wangu wapo vijiji vya mbali. Hvyo kwakuwa mimi nilifanyiwa connection na nikaridhika na tabia na dini ya binti mambo ya familia yaani nasaba sikuyafatilia sana.

Nilianza kuwa na wasiwasi hapa japo nlikuwa nshapenda sikufikilia kuachana nae maana hatukukaa kwenye mahusiano yaani nlimpata baada ya miezi miwili nikaoa na nlikuwa nakaa mjini yeye kijijini kipindi chote cha uchumba.

Lakini cha kushangaza wazazi wake hawakutaka baadhi ya ndugu na hata majirani kujua kuwa binti yao kachumbiwa na waliamua kumuamisha na kumpeleka ujombani ili mambo yote yafanyike huko

Na hata ndoa ilifanyika kimya kimya huko ujombani kwani sisi tulijua tunapunguziwa gharama za uendeshaji wa shughuli.

Cha kushangaza zaidi
Ndugu wa binti walipogundua kuwa mtoto wao anaumwa sana amepungukiwa damu yupo hospitalini walikuja na kuanza kuwalaumu wazazi wa binti kwamba kwanini walimuozesha ingali wanajua tatizo la mtoto wao.
Walitoa mambo mengi ya kifamilia ambayo hata wazazi wangu walistuka.

Kwani hata sisi familia tulielezwa mwanzo kuwa alikuwaga anaumwa zamani lakini alipona

Za chini chini ni kuwa kumbe binti alishatafutiwa wanaume zaidi ya watatu wote baada ya kudokezewa historia ya binti wanaingia mitini

Sasa kimbembe kipo hapa mimi mganga anadai binti hawezi kupata hata ujauzito na hili tatizo litamsababishia madhara makubwa.

Wazazi wangu na ndugu wameniweka kikaangoni na wapo na mke wang huko kijijini wanasema nimrudishe binti kwao akatibiwe na wazazi. Na wazazi wa binti wanasema nikimrudisha nimpe na talaka.

Naombeni ushauri wenu hapa hadi kazini nashindwa kuwa na furaha.
Achana na waganga, nenda HOSPITALI ...
Huyo ni raha, shida, karaha, mwenzako, rafiki, mpenzi wako, HAKUNA KUACHA MTU, ACHANA NAWO..
 
Duh hivi kumbe haya mambo huwa yapo kweli?
 
Kuna vitu vinakera sana ujue, sasa wewe mtu mamaake mzazi hana huruma nae. Wewe nani kujikuta wa kumsaidia!?
Ila wachawi ni watu wabinafsi sana. Imagine mtu ambae yeye anafamilia na watoto, ila anawafunga wanae wasiweze kuwa na familia au watoto.
 
Wazazi wa huyu jamaa sio wajinga kama anavyofikiria, siku akija kuzibuka masikio ataelewa.
 
Back
Top Bottom