Wazazi/mzazi wa binti

Boss....na wewe umenitisha sasa, nilikuwa cjafikiria huko kwa mtoto wa kiume...GOD FORBID!

sasa watoto wa wengine unafikiri wazazi wao walifikiri inawahusu..?
walishtuka tu tayari....kuna mitaa watu watu wazima wanapania kumharibu mtoto wa fulani kwa chuki tu....

maisha ni vita sometimes
 
tunatahadharisha/waelimisha/waongoza vipi na hilo? aisee, mbona hii ngumu/kali kuliko?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
teen-pregnancy.jpg
...ni mambo gani muhimu ya kuzingatiwa kuhakikisha unamvusha salama binti kwenye temptations za ujanani, ili hata huko mbele ya safari asije ijutia CV yake kwa idadi ya sexual partners, numbers of abortions, magonjwa ya zinaa na heartbreaks nyinginezo?

....hivi sijui ni mimi, au emotions zina overrul my reasoning?
wachangiaji nyooooote mmezungumzia umuhimu wa "bonding" kama kigezo muhimu
cha kujua muenendo wa binti...

mpaka sasa kuna wanaosema bonding ni pamoja na kumjua boyfriend,
wengine wanapinga.
kwa experiences zenu wenyewe, mnadhani wazazi walipaswa kuwaongoza vipi, au
mliongozwa vipi kiasi kwamba hata leo hii unasema mchango wa wazazi umekufikisha salama
hapo ulipo,... kisha tulinganishe kwenye mazingira ya kisasa, utamvushaje binti na vishawishi hivi vya
distractions za boyfriends/girlfriends, fashionistas, facebook, twitter, sms chatting etc...

...tuingie deep kidogo...

mfano; is it right to access her online accounts? accessing her phonebook calls and sms? au?
kumtumia watu wamchunguze?...
 
yote mliyosema wadau ni mema lakini pia tusisahau kuwakabidhi watoto kwa Mungu tangu wakiwa tumboni, na tujitahidi kuwalea ktk misingi ya kidini, neno la Mungu linasema mlee mtoto katika njia ipasayo kulelewa, Mungu ni muweza wa yote
 
tunatahadharisha/waelimisha/waongoza vipi na hilo? aisee, mbona hii ngumu/kali kuliko?

unaomba mungu na kuwa karibu na mwanao
but muhimu kuliko zote ni kuhama neighborhood mbovu aisee

inachangia saana hiyo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
sasa watoto wa wengine unafikiri wazazi wao walifikiri inawahusu..?
walishtuka tu tayari....kuna mitaa watu watu wazima wanapania kumharibu mtoto wa fulani kwa chuki tu....

maisha ni vita sometimes

...hili nalo ni tatizo, si wa mtaani tu, hata prefects na walimu wake shuleni, wakufunzi wa chuo wakati wa grades, na hata kazini...hawa ni 'bullies' predators wataotumia mfumo dume kujitafutia 'ujiko' na wao walimpitia binti fulani...

aspirin upo kamanda? ...watoto wa kike wana taabika sana aisee...tutawalinda vipi?
teamo, kabinti kanakua hako,...tupeane maujuzi wa 'mageti!'
 
ninachojua ni kuwa wazazi hawana tena muda wa kuongea na mabinti zao, mama yuko bize masaa yote, mama ni mkali kama simba hawezi hata kukaa akaongea na binti yake, matokeo yake ndo hayo, mabinti wanakuwa kabla ya umri wao.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
katika dunia ya leo hata wavulana wanahitaji kulindwa

kuna mapenzi ya jinsia moja kwa mfano.....

itakuwaje mvulana wako anakuletea boyfriend?
umewahi kujiuliza hiyo.....na hasa kama ni msiri unajuaje?????/

Boss umenena
wakati nasoma comment za watu nikawa nafikira je hao watoto wakiume hawapaswi nao kulindwa
je mijimama inayokumbatia watoto wa kiume wenye umri hata 20yrs hawana
kuwa karibu na watoto wa jinsia zote ni muhimu
mitandao inawaharibu wote
tunapotoa malezi kwa wote inasaidia wanapokutana wanakuwa katika malezi sio ya kupotoshana bali ya kuelimishana wenyewe
naendelea kupata point nipate mbinu za kuendelea kuelimisha
vijana wangu
 
Asante sana kwa hii thread .
Nimepata shule hapa na ntaendelea kujifunza.Nimekuwa naumiza kichwa ni nini cha kufanya niwalinde au niwaongoze hawa mabinti zangu.Ninahofia kila kitu,mahusiano yao,sijui watakutana na mabazazi wa aina gani,mashuga dady.Kwangu mimi bora hata hiyo mimba najua ninaweza kusaidia kumlea mjukuu,moment ninayoihofia na kuiogopa kuliko zote ni pale atakayokuwa heartbroken na asiniambiae aishie kujizuru.
Hii kitu inanichanganya sana.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
MBu, first thing first...

from your chart... it is clear that peer/rika ndio most influencial, kwahiyo fanya ufanyayo ila ujue mwanao yupo na kundi gani na ni kwanini anapenda zaidi kuwa na kundi hilo, that will definitely lead to know where your son/daugher leans (au anavutiwa zaidi napo). there could be alot of factors but rest assured kwamba parents contribute. fo an effective intervention, you being a parent and only 24% influential, you must accept kwamba you can only succeed iwapo utapenya kwenye peer za vijana au watoto wako na kuwa part of it ili to influence changes

Pia ni vyema kukumbuka kwamba kama ndio unaaza sasa kuandaa mwanao na foolish age, basi kuna issues... preps for the follish age care start when the kid is as little as 3 years old mkuu

positively, the best way ni active engagement, communication and openness

Show them what a dream teenager is and how that can be achieved without belittling their current lifestyle
 
kwahiyo waliooa/kuolewa wakawakuta wenza wao na watoto hawana nafac ya kuwafundisha/elimisha hao watoto?...hii fyongo!

Ni laana tayari iko ndani ya nyumba yako, omba sana kwa mungu itoke, vinginevyo itaendelea kuwepo na fyongo inachezeka tu.
 
...hili nalo ni tatizo, si wa mtaani tu, hata prefects na walimu wake shuleni, wakufunzi wa chuo wakati wa grades, na hata kazini...hawa ni 'bullies' predators wataotumia mfumo dume kujitafutia 'ujiko' na wao walimpitia binti fulani...

aspirin upo kamanda? ...watoto wa kike wana taabika sana aisee...tutawalinda vipi?
teamo, kabinti kanakua hako,...tupeane maujuzi wa 'mageti!'
Hahhahahahahahhahh mie hapa naomba nicheke tu maana nikikumbuka mdingi alivyokuwa anataabika loh.......... eti hataki nitumwe sokoni na nikitumwa nisiende bila tenge au jikhanga la kiunoni, kumbe ndo alikuwa anaharibu kabisa sema tu ashukuru MUNGU amejaliwa. Nakumbuka kuna siku nlitumwa nikanunue mboga, akamwamuru mdogo wangu wa tatu kuzaliwa anisindikize (tena mie bila kujua) kufika maeneo ya sokoni zile xiixii nashangaa tu kusikia kibesi kichanga .'usigeuke, usigeuke' lol nlijikuta nacheka tu mwenyewe.

Kweli malezi tabu.
Aksante Mbu kwa kunikumbusha mbali siku ya leo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ni laana tayari iko ndani ya nyumba yako, omba sana kwa mungu itoke, vinginevyo itaendelea kuwepo na fyongo inachezeka tu.

Da Caro please mbona unatutisha wenzio?! hebu toa basi na solution namna ya kuivunja hiyo 'laana' kama unavyoiita mpenzi!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Boss umenena
wakati nasoma comment za watu nikawa nafikira je hao watoto wakiume hawapaswi nao kulindwa
je mijimama inayokumbatia watoto wa kiume wenye umri hata 20yrs hawana
kuwa karibu na watoto wa jinsia zote ni muhimu
mitandao inawaharibu wote
tunapotoa malezi kwa wote inasaidia wanapokutana wanakuwa katika malezi sio ya kupotoshana bali ya kuelimishana wenyewe
naendelea kupata point nipate mbinu za kuendelea kuelimisha
vijana wangu

Ni kweli ni muhimu sana ila nadhani wachangiaji wengi tumeongozwa na kichwa cha mada ........Wazazi/Mzazi wa BINTI. tukaona bora tuchuje kumlenga binti lakini ni kweli kabisa Blaki Woman na The Boss watoto wote wanastahili kulindwa
 
....hivi sijui ni mimi, au emotions zina overrul my reasoning?
wachangiaji nyooooote mmezungumzia umuhimu wa "bonding" kama kigezo muhimu
cha kujua muenendo wa binti...

mpaka sasa kuna wanaosema bonding ni pamoja na kumjua boyfriend,
wengine wanapinga.
kwa experiences zenu wenyewe, mnadhani wazazi walipaswa kuwaongoza vipi, au
mliongozwa vipi kiasi kwamba hata leo hii unasema mchango wa wazazi umekufikisha salama
hapo ulipo,... kisha tulinganishe kwenye mazingira ya kisasa, utamvushaje binti na vishawishi hivi vya
distractions za boyfriends/girlfriends, fashionistas, facebook, twitter, sms chatting etc...

...tuingie deep kidogo...

mfano; is it right to access her online accounts? accessing her phonebook calls and sms? au?
kumtumia watu wamchunguze?...

hapa naona itamjengea mtoto hofu na kuzidi kuogapa na kuona wazazi badala ya kuwa rafiki unakuwa adui...............isitoshe watoto wanajua kutumia password kila kona zinabadilishwa kila dakika.............inabidi wazazi kujenga urafiki wa hali ya juu na watoto kuona anakuwa na uhuru wa kueleza chochote anachofikiri na zaidi unapokuwa karibu nao unakuwa na utani na mazoea ya kuwaeleza ulimwengu unavyokwenda haswa sala la mahusiano
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
tunatahadharisha/waelimisha/waongoza vipi na hilo? aisee, mbona hii ngumu/kali kuliko?

Asante sana kwa hii thread .
Nimepata shule hapa na ntaendelea kujifunza.Nimekuwa naumiza kichwa ni nini cha kufanya niwalinde au niwaongoze hawa mabinti zangu.Ninahofia kila kitu,mahusiano yao,sijui watakutana na mabazazi wa aina gani,mashuga dady.Kwangu mimi bora hata hiyo mimba najua ninaweza kusaidia kumlea mjukuu,moment ninayoihofia na kuiogopa kuliko zote ni pale atakayokuwa heartbroken na asiniambiae aishie kujizuru.
Hii kitu inanichanganya sana.

...kuwalinda au kuwaongoza,.mmmnnh nimeipenda hiyo...
tupo ukurasa mmoja wazazi wenzangu...

Boss umenena
wakati nasoma comment za watu nikawa nafikira je hao watoto wakiume hawapaswi nao kulindwa
je mijimama inayokumbatia watoto wa kiume wenye umri hata 20yrs hawana
kuwa karibu na watoto wa jinsia zote ni muhimu
mitandao inawaharibu wote
tunapotoa malezi kwa wote inasaidia wanapokutana wanakuwa katika malezi sio ya kupotoshana bali ya kuelimishana wenyewe
naendelea kupata point nipate mbinu za kuendelea kuelimisha
vijana wangu

blaki woman karibu kwenye mdahalo....hii mada ni mahsusi kwa ajili ya binti chini ya miaka ishirini na moja,
lengo, nia na madhumuni yangu ni kutaka kujua upande huo ulio dhaifu kwangu, jambo ambalo kumbe pia
limeamsha hisia kwa wazazi wengine waliokuwa na maswali sawa na haya...
 
Someni Biblia, muongozo jinsi ya kulea watoto wenu iko mule imetulia, hizo mbwembwe za kizungu ni kizungumkuti tu hazina msaada. Punguzeni uzungu, mtoto wa miaka 12 unamnunulia blackberry aingie facebook, tv mnaweka DSTV watoto wanaangalia makorokocha yasiyokuwa na msingi kisa mna hela za kuwawekea.
 
MBu, first thing first...

from your chart... it is clear that peer/rika ndio most influencial, kwahiyo fanya ufanyayo ila ujue mwanao yupo na kundi gani na ni kwanini anapenda zaidi kuwa na kundi hilo, that will definitely lead to know where your son/daugher leans (au anavutiwa zaidi napo). there could be alot of factors but rest assured kwamba parents contribute. fo an effective intervention, you being a parent and only 24% influential, you must accept kwamba you can only succeed iwapo utapenya kwenye peer za vijana au watoto wako na kuwa part of it ili to influence changes

Pia ni vyema kukumbuka kwamba kama ndio unaaza sasa kuandaa mwanao na foolish age, basi kuna issues... preps for the follish age care start when the kid is as little as 3 years old mkuu

positively, the best way ni active engagement, communication and openness

Show them what a dream teenager is and how that can be achieved without belittling their current lifestyle

kamanda, much respect sir for this maturity input...
i take onboard kila ulichoshauri aisee, big up!...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom