Wazazi/mzazi wa binti

kuzungumza jamani, wazazi tunapaswa kuzungumza na watoto, pili kupata muda wa kuspend na watoto angalau saa moja kujenga bond na kumfanya huru mtoto kukueleza lolote
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
..kiongozi we acha tu, mpaka nimeanzisha unyuzi huu, ujue kuna lililo nifika...
naugulia uchungu hapa wa mwana aisee....naweza ua bila kukusudia!

khaaa....nikiyafikiria magazeti ya shigongo ndio yanazidisha uchungu wangu...
Aisee..... Mungu aepushe mbali, pole sana kiongozi....... Leo umenistua mtima wangu..... Nkirudi home ntakaa na mabinti zangu tuongee mambo mazito. Haya mambo kweli huchelewi kuua.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
GOD FORBID!

Ngoja niikimbie hii sredi, kuna vijana naona shkamoo zimekuwa nyingi sana kwangu siku hizi..... Nisije nikatenda dhambi bure..... Mi naona mabinti wanahitaji kuwa karibu na wawazi zaidi kwa mama zao. Wababa wengine tunawaonea wivu mpaka mabinti zetu........

Babu unajua sometimes watoto wa kike wanakuwa karibu zaidi na wababa zao kuliko mama?

Mimi sinaa binti but I always wish to have one. So I have a lot of ideas ya nitafanya hili,lile n.k but inawezekana kabisa kwa kuwa sinae nikawa ninaelezea vitu vya kufikirika zaidi ya inavyowezekana kutendeka.
 
...kiongozi, hilo la kumjua boyfriend wa binti angalau kidogo kwa upande wangu naweza li accomodate...kidogo linanipa faraja anaye mmoja, na siku akichelewa kurudi, au akija ana ujauzito najua nikampe kibano nani...

lakini hilo la kumuachia mama yake malezi ya kukabiliana na vishawishi vya wanaume hapana bana, nahisi mimi naweza mfundisha vizuri gear wanazoingilia nao hawa mabaazazi....dahhhh...hii topik nimeanzisha lakini inanitia uchungu sana aisee...

mtoto wa kike anauma!
 
Mbu....kama tulivyosema, ishu ni kuwapatia elimu ya kidunia mapema, hapo pa MJ1 pa kuongea na byfrn wake ndio pagumu kwangu...MJ1 msaada pa kuanzia plz!
 
Hilo kwenye bold halina ubishi. Nawaona kina matesha wangu wanavyokuwa karibu na mimi kuliko mama yao. Wanakuwa karibu kwa mambo ya kawaida ila kwa mambo serious yanayohusu mambo ya kimapenzi, sidhani kama wako wawazi kivile kwa baba zao.

...kiongozi, hilo la kumjua boyfriend wa binti angalau kidogo kwa upande wangu naweza li accomodate...kidogo linanipa faraja anaye mmoja, na siku akichelewa kurudi, au akija ana ujauzito najua nikampe kibano nani...

lakini hilo la kumuachia mama yake malezi ya kukabiliana na vishawishi vya wanaume hapana bana, nahisi mimi naweza mfundisha vizuri gear wanazoingilia nao hawa mabaazazi....dahhhh...hii topik nimeanzisha lakini inanitia uchungu sana aisee...

mtoto wa kike anauma!
Mtoto wa kike anauma! Si utani....... Ila wa kiume naye bwana...... dah!... Kuna jirani yangu amekujagundua kijana wake yuko darasa la tano, anabanjuliwa kama hana akili nzuri...... Yaani kishakuwa mzoefu! Inauma zaidi bana!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Japo sina uzoefu sana lakini najua kuna gap muhimu sana ambayo wazazi wanaimiss. Mtoto anatakiwa aanze kufundwa na kuongeleshwa na wazazi wake atleast akiwa hata darasa la tatu. kuna watoto wanaanza mapenzi wakiwa darasa hata la kwanza (labda tu ni bahati kwa vile wengi siku hizi huanza shule wakiwa wadogo sana (4years). Lakini zamani kidogo wakati hakuna english medium darasa la kwanza miaka saba,mpaka tisa. parents wana assume ni watoto kumbe hapo ndo wanapoharibu. walimu wanaogopa kufundisha, wazazi wanaogopa kuongea mtoto anabaki njia panda anaomba ushauri kwa marafiki au anaamua mwenyewe biola kujua anachofanya.

Ni vizuri kuongea na watoto wetu kwa stages katika kila hatua ya ukuaji, azijue mbichi na mbivu, na hii communication iwe right bila kumuacha mtoto kwenye mafumbo. Siku hizi kuna wasichana wengi wanakuwa lesbian kwa ajili ya namna ya uoga ambao wazazi waliuweka kwao kuhusu wanaume, utakuta mzazi anamwabia mtoto waogope wanaume watakupa mimba, magonjwa nk, so mtoito anapata feeling kwa mwanamke mwenzie kwa kuwa anajua huyo hawezi kumpa mimba nk,...

Tumieni hata cds instead ya kuongea, kama wazazi tafuteni cds zinazofundisha kaeni kama familia angalieni wote na baadae discussion ianzie hapo, watoto watafunguka tu. Na kama hiyo haiwezekani tafuta mtu wa karibu, rafiki wa familia unayemwamini na ambae yule binti au kijana anamwamini awe anakaa nae anaongea naye, anapata ushauri na we mzazi unapewa feedback. Na ikiwa ngumu tumieni professional people, wachungaji nk, watoto waende kwenye semina za maadili wapate maarifa, ikiwezekana mzazi mlipie mwanao youth camps aende. Zaidi ya yote kama mzazi huna budi kupiga goti na kuomba...haya yote ni jitihada lakini ni Mungu tu anaweza kumwepusha.
 
Babu unajua sometimes watoto wa kike wanakuwa karibu zaidi na wababa zao kuliko mama?

Mimi sinaa binti but I always wish to have one. So I have a lot of ideas ya nitafanya hili,lile n.k but inawezekana kabisa kwa kuwa sinae nikawa ninaelezea vitu vya kufikirika zaidi ya inavyowezekana kutendeka.

wengi wao inakuwa hivyo, mie binti zangu na baba yao huwaambii kitu, h/b wangu na mie humwambii kitu, hapo nikimaliza kuongea nae, 2mekubaliana na baba yake akae nae tena na kumuuliza kama alielewa maongezi aliyoongea na mama...dahh kweli Mbu mtoto wa kike anauma sio mchezo, mie nikikaangalia ka black beauty kangu nikifikiria atakumbana na mafataki nahic kama ndoto but ndio ukweli na kapo kwenye hatua za mwisho mwisho za kukua.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu....kama tulivyosema, ishu ni kuwapatia elimu ya kidunia mapema, hapo pa MJ1 pa kuongea na byfrn wake ndio pagumu kwangu...MJ1 msaada pa kuanzia plz!
nyamayao...mabinti wa siku hizi ni rahisi kuwaweka karibu. unaanza tu na so mkwe hajambo!! anaitwa nani? siku moja basi nimsalimie eh?

Baada ya mambo kukaa sawa unaongea tu na binti how deep she think is involved. Hii itakusaidia kujua unamshaurije maana kwa wenetu hawa wanaochipukia usishangae ukimwuliza swali hili akakujibu Mama huyu atanioa (na ana amini kabisa) wakati wewe kama nyamayao unaelewa fika hali halisi ya maisha ya mapenzi na mahusiano. So unamtayarisha bwana usijiwekee sana kwa boyfriend na wala usijiachie sana kwani huna uhakika, akipata msichana mwingine je? utafanyaje na wewe ulishaamini kuwa huyu ni wa kwako na atakuwa mume wako?

Na hata siku akigoma kula na kujifungia chumbani kisa Boyfriend kamdamp ni rahisi kumkumbushia kuwa ulimuonya na kumconsole na kumguide ule muda wa kumourn.
Sikatai ni ngumu lakini jaribu kukumbukia ujana wako nyamayao, yale yote uliyokuwa unayafanya at her age, na mbinu ulizokuwa unatumia kumzuga Mama na Baba nyamayao.
 
Nadhani kuongea na bf wa mtoto ni kujipatia presha ya kufichwa na kummaliza mtoto confidence.what shld really work ni kumpa mtoto jukumu na kuweka open way ya discussion.kua rafiki na mtoto wa kiume na wa kike abt umuhimu wa kujipa majukumu unayoyaweza.the earlier the better!tukiwafundisha watoto kuwa responsible for themselves when we ar nt watching them,na tukionesha kuwaamini nadhani watatii mafundisho kwa furaha.wth,tell them sex can wait,utaipata when u grow up hadi ukimbie ad it will be worth it then!
 
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.

Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.

Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.

Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.

Nawakilisha.
 
Mosqwito,usiseme mtoto wa kike anauma, ulishawahi kumfikiria ur 20 yrs old boy ama 17 anakuambua amemimba katoto kenzie? Ukiwaza majukumu ya ubaba yanavyokukimbiza mbio,unaweza kulia machozi na mtoto akapigwa na butwaa
 
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.

Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.

Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.

Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.

Nawakilisha.

kwahiyo waliooa/kuolewa wakawakuta wenza wao na watoto hawana nafac ya kuwafundisha/elimisha hao watoto?...hii fyongo!
 
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.

Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.

Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.

Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.

Nawakilisha.

umewakilisha nini ndugu, lawama au mbinu kama mleta mada alivyoomba.
 
Khaaaa! Naona leo umeamkia upande wa kushoto........... We mwanajamii hapa hatuzungumzii kuwakataza wasifanye, bali wasifanye wakiwa bado watoto. ukimsoma mheshimiwa Mbu amesisitiza "watoto" tena akaweka na umri, below 21 yrs..... Sasa kama sisi tunafanya si tunafanya kwa utashi wetu? Sie tunazungumzia kuwasaidia wasiingie kwenye mikono ya walaghai katika umri wao mdogo ambao wangepaswa kuzingatia masomo ili kujitegemea hapo baadaye. Wakishakuwa maguberi kama sisi, hata wakiamua kugawa kama dozi ya Aspirin kutwa mbili mara tatu, hakuna atakayewauliza.

Hapa Tunazungumzia watoto mamii. Watoto wa kike.
 
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.

Dah Caro umenifanya nitabasamu mwenyewe. Ni kweli kabisa ukisemacho lakini ninaomba kukuuliza so kama mimi mzazi niliyemleta binti yangu duniani kimakosa (kwa njia haramu) kwa kuwa sikulelewa vema na au sikuwasikiliza wazazi wangu, nimwache tu mwanangu naye afuate mkondo??! si unaelewa kuwa kuna kujifunza kutokana na makosa?? Mama mimi nimejifunza kutokana na makosa yangu ya ujanani, je sistahili kumkanya mwanangu kwa kuwa tu mie nilimpata nikiwa na 15 au 16 years? sidhani!

Sidhani kama ni vema kumwacha mtoto aangamie kwa kuwa tu mimi niliteleza mpenzi!. Cha kutushauri hapa ni kuwa tujitahidi huku tukitegemea msaada na mwongozo wa MUNGU. Ukisema hivi ni kama vile unawahukumu wale walioteleza (kutokana na sababu mbali mbali nyingine si lazima ziwe za kujitakia) kulinganisha na wewe ambaye ulibahatika kuwa mwerevu au kulelewa na wazazi wenye maadili mamii.

Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.

Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.

Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.

Nawakilisha.

Mh hata kama unahubiri dini dada yangu, kwa staili hii hata waumini watakukimbia lol (am just joking) But uliyoyasema yana ujazo wake katika hii mada ya Mbu. Si rahisi kumkanya mtoto ilihali wewe mzazi una maisha yaso mfano mwema.
 
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.

Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.

Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.

Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.

Nawakilisha.

hata kama hapo nyuma mtoto ulimzaa kabla ya kuoa /kuolewa nadhani ni vyema zaidi mtoto kumfundisha misingi iliyo bora ili asijefuata nyayo za mzazi ,sidhani kama kuna mzazi anayependa kuona mwanae anapata matatizo
 
Aisee..... Mungu aepushe mbali, pole sana kiongozi....... Leo umenistua mtima wangu..... Nkirudi home ntakaa na mabinti zangu tuongee mambo mazito. Haya mambo kweli huchelewi kuua.

ki western zaidi....mhhh ngumu sana aise, hapo unaongea na bfnd wake kama ulivyosema cku mnakutana nae kwenye mihangaiko binti anaku introduce"mum huyu ndio Mbu unaeongeaga nae kwenye phone" unakuta ni wa kuitwa babu...pwehhh, na pia MJ1 tunaweza kuongea/kuwa fnds/free nao bado wakaona kama ndio chance ya kuitumia hiyo (kwa wale wepec wa kushawishika)....Mbu nae thread zake bwana khaaa...nimefanya kumfikiria binti yangu mara mbili mbili kwa jinc alivyo kwa sasa!

...pheeeewwww, afadhali nimesaidia ku raise awareness kwa wazazi wenzangu,...maana mwenzenu usiku wa leo umepita nikihesabu boriti...

kiongozi aspirin, usijekurupuka tu ukawaweka kiti moto jioni ya leo kwakuwa una presha ya post ya mbu bana...anza na mama matesha kwanza ujue naye ameshaongea nao nini...usijeharibu mambo kabisa na vitisho vya kufukuza atayekuja na mimba!

nyamayao pole dear, unanjua tena mbu nikishazidiwa sioni taabu kusambaza 'malaria' hapa...

Nadhani kuongea na bf wa mtoto ni kujipatia presha ya kufichwa na kummaliza mtoto confidence.what shld really work ni kumpa mtoto jukumu na kuweka open way ya discussion.kua rafiki na mtoto wa kiume na wa kike abt umuhimu wa kujipa majukumu unayoyaweza.the earlier the better!tukiwafundisha watoto kuwa responsible for themselves when we ar nt watching them,na tukionesha kuwaamini nadhani watatii mafundisho kwa furaha.wth,tell them sex can wait,utaipata when u grow up hadi ukimbie ad it will be worth it then!

...dahhh, king'asti umenipa ukumbusho na funzo zuri sana kwakweli,....
shukran sana...hili suala la kumfanya mtoto ajiamini ni muhimu sana.
kujiamini yeye mwenyewe na kuamini kuongea na wewe mzazi bila 'kuhukumiwa' vibaya.

ahsante sana.
 
ni vizuri pia kuwaambia sex sio kitu kibaya....
ubaya ni to do it at the wrong time with the wrong people
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
CD, kama kuna kitu mtoto anaweza kujifunza kwa mzazi wake ni kutorudia makosa ya wazazi. Na hiyo watoto wangu,inshaallah, watajua from the horse's mouth. i will insist that they dont have to repeat my mistakes, tena kwa kuwapa mifano hai kuwa mimi nilichagua njia hii na nikaishia hapa. lakini CD, she was my friend na akachagua njia ile na unamuona alipo sasa! one thing i am really striving on ni kujifunza kutokana na mambo ambayo for one reason or another sikuvutiwa nayo kwa wazazi wangu and my role models t large! ndo maana ni vema kuwa wazi na mtot,wakati muafaka share hata skeletons from ur closet. as long as vitamponya mwanao na maumivu ya mbeleni,who cares! hakuna swali mwanangu ataniuliza nishindwe kumjibu,na ku-admitt kosa na ku-enlarge gharama ambayo niliibeba kwa kukosea!
Kuna kitu hamjui hapa; wazazi wenyewe mlikuwa kiruka njia, labda hata huyo mtoto wako ulimzaa kabla ya kuolewa au na mume mwingine baadae baba mkaachana ukaoelwa na mtu mwingine. Sasa wewe mzazi unayetaka leo mtoto wako awe SAINT inatoka wapi? Siku hizi wazazi wanashindana kusoma, huyo akienda masters UD mwingine anaenda Tumaini. Mkitoka asubuhi mnarudi saa nne usiku na kulala fofo. Leo hii mama una vidumu nje zaidi ya 2 na baba ndo usiseme anao mpaka wengine anasahau majina.

Hakuna uwepo wa Mungu kwenye nyumba yenu wala kwa majirani wanaowazunguka. Kanisani hampajui wala mafundisho ya dini mnayasikia kwa majirani.

Hakuna shortcut, maji hufata mkondo. Angalia wapi mlicheza fyongo, laani madudu yote yaliyofanywa na wazazi wenu, koo zenu then urudi ubariiki kizazi chako.

Kwa style zenu za ki sharobaro eti unamuita mtoto umwambie acha hiki na kile wakati wewe na utu uzima wako hujawahi kuacha, wala kuona athari zitakazowapata watoto wako baadae.

Nawakilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom