Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Wanandoa Regina Munyoki (41) na Mumewe Isaiah Gura (52) wanashikiliwa na Polisi nchini Kenya wakidaiwa kuwatumikisha watoto wao Kingono, kwa kuwatumia katika kuzalisha maudhui ya Kingono na baadaye kuyauza mtandaoni.
Kulingana na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini Kenya, amebainisha kuwa wanandoa hao raia wa Kenya walikamatwa Mjini Mombasa, ikidaiwa kuwa watoto wao watatu, mmoja akiwa na miaka 13, mwingine 7 na wa miaka minne (wasichana wawili na Mvulana mmoja) wamekuwa wakishirikishwa katika utengenezaji wa maudhui hayo, na hiyo imekuwa sehemu ya kipato kwa wanandoa hao wawili.
Katika hatua nyingine Mtuhumiwa Gura anashtakiwa pia kwa makosa ya kumuingilia Binti yame wa umri wa miaka 13, madai ambayo imeelezwa kuwa amekuwa akifanya hivyo tangu binti yake akiwa na miaka 11. Kulingana na Ofisi ya Mwendesha mashtaka, Bw. Gura anasubiri uamuzi wa dhamana yake hapo Kesho huku Mkewe akipata dhamana baada ya kukidhi masharti.