Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
- Thread starter
- #21
Asante sana. Ngoja nmshauri hili rafiki yanguTatizo ni moja tuu...Kimwe hajafundishwa kuwa yeye ni mwanaume na anatakiwa ajiunge na mwanaume waenzake kuongea akina baba Jack ...baba yake na yeye mwenyewe ...Mwanaume ndo mwamuzi awaache akina mama Kimwe na Mama Jack wagombane watachoka ...Jack hatakiwi kuongea yeye ni victim
carnte himself