Kaguo Willy
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 194
- 172
Habari za muda huu wanaJF.
Kama mada inavyojieleza nimekuwa nikijiuliza kuhusu wazazi wengi at least 90% huwa wanakula nyama nzuri zaid kuliko watoto wao na hii hujitokeza pale ambapo panapopikwa nyama let say nyama ya kuku au ya bata unaweza kukutana wazazi hasa wamama kupeleka nyama nzuri yaani mapaja na sehemu zenye minofu high table lakn watoto watakula nyama isiyo na kiwango na wakat mwingne watoto kuishia kupewa michuzi tu pasipo nyama.
Hivyo basi wazazi ni vyema tulifahamu hili kuwa kula nyama nzuri zaid kuliko watoto ni kuwadhulumu hak yao kwani watoto bado wanakua na wanahitaj protein kwa wingi kuliko wazazi ambao tayar wameshakua kimwili na kiakili tofaut na watoto ambao wanauhitaj zaid wa proteins na virutubisho mbalimbali kwa ajili ya kujenga miili yao na kuwasaidia kukua kimwili na kiakili kuliko hao wazee ambao hata cells zao zmezeeka