Oa umpendaye kwa roho yako mana we we ndo utaishi naye na sio wazazi. Mbona hata wameru ni wajeuri kuliko hata Wachaga.
Sio wajeuri ila wana misimamo isiyo yumba wala kutetereka.Kumbe Wachagga ni wajeuri eeh?
Sio wajeuri ila wana misimamo isiyo yumba wala kutetereka.
Oa Mpare.