Hii inahusiana vipi na umasikini wa kusini wakati mwingine tuwe serious kwenye mambo muhimuHuko wamekumbatia machadema akili zao zimedumaa kama makao makuu ya Ufipa.
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Oh Lindi iyoHabari wakuu,
Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.
Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.
Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.
Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.
Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.
TATIZO LIKO WAPI?
VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?
AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?
UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.
EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
Upo utalii wa fukwe bora kabisa eneo/pango maarufu la mjusi mkubwa wa kale ambaye mifupa yake ilipelekwa Ujerumani eneo hilo lipo kijiji cha Mnyangara. Pia upo msitu maarufu wa hifadhi ya Rondo wenye wanyama adimu lakini zaidi misitu ya mikoko na mandhali safi ya bahari.vp khs utalii huko Lindi?
Tatizo Kuu la wana Lindi siyo la Wao kutotumia vyema Fursa zilizopo ila hasa hasa ni kushindwa kutumia vyema Akili zao ambazo zimelala mno tu.Habari wakuu,
Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.
Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.
Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.
Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.
Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.
TATIZO LIKO WAPI?
VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?
AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?
UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.
EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
Mkuu umenena.ongea zaidi kuna watu watapata faida kupitia wewe.Naifahamu mikoa ya kusini vema ikiwepo Lindi na Mtwara.
Umasikini umekolezwa na mifumo mibovu ya ukosefu wa elimu bora hii imechangia kudumaza bongo za watu wa kusini.
Kusini kunahitaji mikakati thabiti kielimu na Kiutu ili kuondoa mifumo mibovu ya kiutamaduni ili kuwepo mtazamo chanya kwa raia wa kusini.
Vijana ni wavivu kupindukia. Kazi yao kubwa ni kuoana tu
Kusini inahitaji sera ya kimkakati bila serikali mathubuti yenye sera bora kusini kutaendelea kuwa sehemu ya ajabu.