Wazawa wa mkoa wa Lindi mko wapi kutumia fursa zilizomo mkoani kwenu?

chumanile

JF-Expert Member
May 20, 2018
282
500
Habari wakuu,

Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.

Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.

Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.

Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.

Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.

TATIZO LIKO WAPI?

VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?

AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?

UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.

EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,186
2,000
Naifahamu mikoa ya kusini vema ikiwepo Lindi na Mtwara.

Umasikini umekolezwa na mifumo mibovu ya ukosefu wa elimu bora hii imechangia kudumaza bongo za watu wa kusini.

Kusini kunahitaji mikakati thabiti kielimu na Kiutu ili kuondoa mifumo mibovu ya kiutamaduni ili kuwepo mtazamo chanya kwa raia wa kusini.

Vijana ni wavivu kupindukia. Kazi yao kubwa ni kuoana tu

Kusini inahitaji sera ya kimkakati bila serikali mathubuti yenye sera bora kusini kutaendelea kuwa sehemu ya ajabu.
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,982
2,000
Mtwara home origin,ila Bora saiz kuchele.Lindi shida ni mkoa wa kimwinyi Sana bado,yaani inafahamika Nani umuheshimu, usimzidi maendeleo, pia ushirikina mwingi mno na mifumo ya elimu mibovu sana. Watu wako kimila ni kuoana tu na kupiga soga vijiweni. Vijana pia wavivu mno, ndio maana hata wageni wakitaka kuwekeza wanafanyiwa fitina(sio kwote). Mwisho wa siku mkoa unabaki kama hivooo
 
Kibororoni

Member
Dec 19, 2019
63
150
Mtoa mada umenena vyema. Changamoto kubwa iliyopo Lindi ni mzunguko mdogo sana wa kibiashara usioweza kuleta hamsha hamsha kwa vijana kuchangamkia fursa. Ni mkoa kwenye wageni wachache wanaoingia na kutoka.
Biashara kwa kiasi kikubwa inaendeshwa na wenyeji mwenyewe kwa wenyewe. Watu wanafungua biashara huku kodi za mapango zikiwa juu wakati biashara inafanyika kwa shida finally MTU anafunga.

Lindi hapana mulundikano wa vyuo ,hakuna kiwanda wala mradi wowote mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa hapa. Kuwepo kwa hayo uchagiza population kubwa na kuchochea biashara na mzunguko wa fedha kuwa juu na hivyo watu kuchangamkia fursa mbalimbali kama ilivyo mikoa mingine.

Nenda kahama , Mz ,Moro. , Mbeya Arusha nk. Business ni 24h/7 wakati Lindi saa 12 hupati huduma yyte. na saa 3 asbh ndo biashara ufunguliwa. Nenda stand kuu uulizie vocha tu au supu au juice fresh uone kama utapata.

Pengine mkoa huu unahitaji kuwa engaged na mikakati mingi ya kiserikali mfano ujenzi wa viwanda , miradi mikubwa ofisi kuu za mashirika mbalimbali ngazi ya kanda badala ya kurundikana mtwara nyingine ziamie hapa. Tujenge matawi mbalimbali ya vyuo kadhaa hapa na lengo ni kuuchocheza mji kimaendeleo.

Nizungumzie suala la fursa za kilimo uvuvi na ufugaji bado pia fursa hizi watu hawajazitumia na ndio maana kutokea Kibiti/ Mohoro mpaka Mpapula mpakani na mtwara tunaona uwanda wa kijani wa misitu na mapori na hatuoni mashamba.

Ardhi yenye rutuba ipo maji ya kutosha kwa kilimo na mifugo kwa mazao yote tunayo huku tukishuhudia nyumba za tembe njia mzima. Utagundua pia kuna tatizo la jamii kutoengage vizuri nguvu kazi ili kujenga maisha bora ya mtu mmoja mmoja.

Kwa sasa wageni wengi waliopo na wengine wanakuja kuzikamata hizo fursa za kilimo uenda labda watachangia kuibadilisha jamii siku zinavyozidi kusogea.

Nawapongeza baadhi ya wazawa wanachapa kazi huko vijijini ukienda kanda za ndani utakubaliana na Mimi kuwa wanafanya kazi sana nyumba bora na mashamba makubwa ya korosho wanayo.
Yupo mzee mmoja anavuna tani 100 na wengine tano 40 za korosho kwa wastani kila mwaka. Hii ni fursa kubwa kwa uchumi wa wanalindi.

Kwa sasa mkombozi wa maisha ni Korosho na wapo waliofika mbali sana. Tatizo lipo bado kwa nguvu kazi inayokaa kando ya barabara wapo kwa kazi ya kuesabu gari za abiria zinazotoka na kuingia Dar.

Nawasilisha kwenu kwa ninayoyajua kuhusu Lindi.
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,770
2,000
Habari wakuu,

Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.

Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.

Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.

Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.

Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.

TATIZO LIKO WAPI?

VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?

AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?

UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.

EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
Oh Lindi iyo
 
sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,168
2,000
kwa sauti ya magufuli "hivi kwanini watu wa lindi wanashindwa kusoma viapo"

Ila lindi nachosikiaga japo sina uhakika ni kwamba kuna ushirikina sana aisee.
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,257
2,000
Lind na mtwara hii mikoa ya kpumbav sn, cjui kuna laana pale au.

nilipita uko unakuta hata vitu vya kawaida km samaki, maharagwe, ndizi na matunda kwa ujumla eti wanaviagiza kutoka mikoa mingine hlf bei yke ucpime!
 
Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,755
2,000
Habari wakuu,

Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.

Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.

Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.

Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.

Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.

TATIZO LIKO WAPI?

VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?

AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?

UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.

EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
Tatizo Kuu la wana Lindi siyo la Wao kutotumia vyema Fursa zilizopo ila hasa hasa ni kushindwa kutumia vyema Akili zao ambazo zimelala mno tu.
 
jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
3,768
2,000
Lindi kuna shid sana..wengi wanasema ni umwinyi sana..kutokuwepo kwa mzunguko wa fedha hii inatokana na vijana kutochangamkia fursa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
chumanile

JF-Expert Member
May 20, 2018
282
500
Naifahamu mikoa ya kusini vema ikiwepo Lindi na Mtwara.

Umasikini umekolezwa na mifumo mibovu ya ukosefu wa elimu bora hii imechangia kudumaza bongo za watu wa kusini.

Kusini kunahitaji mikakati thabiti kielimu na Kiutu ili kuondoa mifumo mibovu ya kiutamaduni ili kuwepo mtazamo chanya kwa raia wa kusini.

Vijana ni wavivu kupindukia. Kazi yao kubwa ni kuoana tu

Kusini inahitaji sera ya kimkakati bila serikali mathubuti yenye sera bora kusini kutaendelea kuwa sehemu ya ajabu.
Mkuu umenena.ongea zaidi kuna watu watapata faida kupitia wewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom