Wazawa wa mkoa wa Lindi mko wapi kutumia fursa zilizomo mkoani kwenu?

Habari wakuu,

Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.

Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.

Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.

Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.

Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.

TATIZO LIKO WAPI?

VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?

AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?

UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.

EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
Mm nilikuwa huko Nachingwea kwakweli wanawake wa Lindi Wana sura mbaya ila wamejaaliwa kukata viuno langu ni hilo tu,
 
Lakini mbona takwimu hazioneshi kwamba hiyo Lindi ina tofauti kubwa sana na mikoa mingine Tanzania. Tusidanganyane, Tanzania mikoa mingi ni maskini wa kutupwa. Hata ile mikoa yenye miradi ya kitaifa kama vile vivutio vya utalii, machimbo na kadhalika, wananchi wengi wa huko ni maskini wa kutupwa sema ndo vile tena JF, kila mtu ni tajiri na anatoka mkoa tajiri wakati wengi wao hapa maisha yao hayana tofauti yoyote na maisha ya watu wa Lindi, Mtwara, Pwani na kwingineko. Sana sana hapa wengi wenu mmejaaliwa tu kukashifu vya wengine, kama vile mkoa fulani malaya sana, wakati kwao hata watoto wa darasa la saba bikra hawana. Utasikia kule wanaendekeza sana pombe wakati mwenyewe nae ni mlevi mbwa!! Hapa mikoa mingi kama sio yote utakayojaribu kuona inafanya vizuri basi ni ama serikali imewekeza au kuna maliasili inayovutia watu. Sasa huko Lindi na Mtwara kuna nini?!
 
Lind na mtwara hii mikoa ya kpumbav sn, cjui kuna laana pale au.

nilipita uko unakuta hata vitu vya kawaida km samaki, maharagwe, ndizi na matunda kwa ujumla eti wanaviagiza kutoka mikoa mingine hlf bei yke ucpime!
Dodoma, Arusha, Singida na mikoa mingine kama hiyo, wanakula nazi za kulima wenyewe?! Ina maana ukifika Lindi Mjini au Mtwara au eneo lolote la ukanda wa pwani wa hiyo mikoa, utakula samaki wa baharini kutoka Ferry, Tanga au Zanzibar?! Hivi kuna sehemu wanayolima maharage kwa mikoa ya pwani?! Hivi kilimanjaro au Kagera wanakolima sana ndizi, pia wanalima ufuta na korosho?
 
Mtoa mada umenena vyema. Changamoto kubwa iliyopo Lindi ni mzunguko mdogo sana wa kibiashara usioweza kuleta hamsha hamsha kwa vijana kuchangamkia fursa. Ni mkoa kwenye wageni wachache wanaoingia na kutoka.
Biashara kwa kiasi kikubwa inaendeshwa na wenyeji mwenyewe kwa wenyewe. Watu wanafungua biashara huku kodi za mapango zikiwa juu wakati biashara inafanyika kwa shida finally MTU anafunga.

Lindi hapana mulundikano wa vyuo ,hakuna kiwanda wala mradi wowote mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa hapa. Kuwepo kwa hayo uchagiza population kubwa na kuchochea biashara na mzunguko wa fedha kuwa juu na hivyo watu kuchangamkia fursa mbalimbali kama ilivyo mikoa mingine.

Nenda kahama , Mz ,Moro. , Mbeya Arusha nk. Business ni 24h/7 wakati Lindi saa 12 hupati huduma yyte. na saa 3 asbh ndo biashara ufunguliwa. Nenda stand kuu uulizie vocha tu au supu au juice fresh uone kama utapata.

Pengine mkoa huu unahitaji kuwa engaged na mikakati mingi ya kiserikali mfano ujenzi wa viwanda , miradi mikubwa ofisi kuu za mashirika mbalimbali ngazi ya kanda badala ya kurundikana mtwara nyingine ziamie hapa. Tujenge matawi mbalimbali ya vyuo kadhaa hapa na lengo ni kuuchocheza mji kimaendeleo.

Nizungumzie suala la fursa za kilimo uvuvi na ufugaji bado pia fursa hizi watu hawajazitumia na ndio maana kutokea Kibiti/ Mohoro mpaka Mpapula mpakani na mtwara tunaona uwanda wa kijani wa misitu na mapori na hatuoni mashamba.

Ardhi yenye rutuba ipo maji ya kutosha kwa kilimo na mifugo kwa mazao yote tunayo huku tukishuhudia nyumba za tembe njia mzima. Utagundua pia kuna tatizo la jamii kutoengage vizuri nguvu kazi ili kujenga maisha bora ya mtu mmoja mmoja.

Kwa sasa wageni wengi waliopo na wengine wanakuja kuzikamata hizo fursa za kilimo uenda labda watachangia kuibadilisha jamii siku zinavyozidi kusogea.

Nawapongeza baadhi ya wazawa wanachapa kazi huko vijijini ukienda kanda za ndani utakubaliana na Mimi kuwa wanafanya kazi sana nyumba bora na mashamba makubwa ya korosho wanayo.
Yupo mzee mmoja anavuna tani 100 na wengine tano 40 za korosho kwa wastani kila mwaka. Hii ni fursa kubwa kwa uchumi wa wanalindi.

Kwa sasa mkombozi wa maisha ni Korosho na wapo waliofika mbali sana. Tatizo lipo bado kwa nguvu kazi inayokaa kando ya barabara wapo kwa kazi ya kuesabu gari za abiria zinazotoka na kuingia Dar.

Nawasilisha kwenu kwa ninayoyajua kuhusu Lindi.
Ingawaje sijawahi kufika kwenye hiyo mikoa lakini kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe. Kingine kilichodumaza sana kule ni hali ya kutopitika kwa miongo nenda rudi na matokeo yake raia wakajenga tabia ya kufanya kilimo cha kujitosheleza wenyewe tu kwa sababu huwezi kulima in excess wakati unajua hakuna mnunuzi kutoka mikoa mingine atakayeenda kununua huko, na wala wakulima wenyewe hawawezi kusafirisha kutokana na ubovu wa barabara.

Mbona hao hao tunaoambiwa wapumbavu kabisa na wavivu ndio hao hao wanaoongoza kuliingizia taifa pesa za kigeni kwa mazao ya biashara!!! Ni hao hao ndio wakulima wakubwa wa ufuta na korosho! Ni hao hao ndio tunaambiwa mwaka juzi mbaazi ziliwaozea. Sasa kama hawa watu ni wavivu kiasi hicho wanaweza vipi kulima ufuta na korosho na washindwe vingine?!

Ukifikiria sana utaona tatizo la msingi ni tija ya kile ambacho Watanzania tunadhani ni fursa! Watu wanashangaa Lindi kutotumia fursa ya uvuvi badala ya kushangaa Dar es salaam kula samaki kutoka China na Japan!!! Hivi tunaposema Dar es salaamu kula samaki kutoka China na Japan tafsiri yake si Tanzania kula samaki kutoka China na Japan!! Tuseme Watu wa Lindi na Mtwara ni wavivu wanaopenda kuoa hovyo hovyo kama walivyodai wengine na ndo maana wanashindwa hata kuitumia bahari! Je, taifa linafanya nini kuneemeka na ukanda mwingine wa bahari?!
 
Mleta uzi naona umeamua kuwatukana watu wa kusini pasipo kufanya uchunguzi na kujiridhisha nn kimepelekea mkoa kupooza unakuja na hitimisho kwambq watu wa Lindi ni wavivu ,ushirikina na porojo kibao.

Hoja kama hizi ni dhaifu sana,haziwezi zikawa zinaletwa na mtu msomi inaonyesha upeo wako wa kifikiri bado sana.

Japo mm sio mtu wa Lindi lakini ili mkoa uchangamke lazima kuwe na uwekezaji mkubwa au miradi mikubwa itakayo wavutia watu na kufanya mzunguko wa pesa kuwa mkubwa.Kuchelewa kwa miundombinu ya madaraja na barabara ndio chanzo kikuu cha kuchelewa kwa maendeleo mikoa ya kusini.Watu wa kusini walingoja kusubiri mpaka miaka ya 2000 baada ya Hyati Mkapa kupata uraisi na kuwajengea daraja lililounganisha DsM na mikoa ya kusini kabla ya hapo mikoa ya kusini ilikuwa kama kisiwa kisichoingilika ilibidi utumie meli kusafiri kwenda kusini au kulazimika kutulia wiki nzima njiani.

Kwa mantiki hiyo maendeleo yalichelewa sana kusini mpaka alipoingia mzee Mkapa,Majaliwa, na viongozi wengine wamejitahidi sana kuipigania mikoa ya kusini angalau ipate maendeleo.Viongozi na mawaziri wengi waliopita walikuwa wabinafsi wanajenga makwao hususa wachaga na wahaya walijipendelea umeme mpaka migombani na barabara.

Kamwe usilinganishe Kahama,Geita na Lindi kule kuna uwekezaji mkubwa wa migodi mingi inayofanya mkoa uchangamke.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mleta uzi ni mpuuuzi mmoja hasiye na shule kichwani,mwenye itikadi za kikanda na kikabila😂😂😂
 
Habari wakuu,

Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.

Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.

Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.

Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.

Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.

TATIZO LIKO WAPI?

VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?

AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?

UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.

EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
Kwani Kachelo mbobezi ansdemaje ?
 
Umenena vyema mkuu watu wanajifanya hawayaoni hayo kaz kulaumu tuu ili hali kusin kwenyew kama kulisuswa kuanzia afya, miundombinu mpk elimu
 
Lakini mbona takwimu hazioneshi kwamba hiyo Lindi ina tofauti kubwa sana na mikoa mingine Tanzania. Tusidanganyane, Tanzania mikoa mingi ni maskini wa kutupwa. Hata ile mikoa yenye miradi ya kitaifa kama vile vivutio vya utalii, machimbo na kadhalika, wananchi wengi wa huko ni maskini wa kutupwa sema ndo vile tena JF, kila mtu ni tajiri na anatoka mkoa tajiri wakati wengi wao hapa maisha yao hayana tofauti yoyote na maisha ya watu wa Lindi, Mtwara, Pwani na kwingineko. Sana sana hapa wengi wenu mmejaaliwa tu kukashifu vya wengine, kama vile mkoa fulani malaya sana, wakati kwao hata watoto wa darasa la saba bikra hawana. Utasikia kule wanaendekeza sana pombe wakati mwenyewe nae ni mlevi mbwa!! Hapa mikoa mingi kama sio yote utakayojaribu kuona inafanya vizuri basi ni ama serikali imewekeza au kuna maliasili inayovutia watu. Sasa huko Lindi na Mtwara kuna nini?!
Ata kitakwim mzee Lindi ikochini chini. Lengo sio kukashifu.utakuwa umeelewa vibaya MJUMBE.
 
Mleta uzi naona umeamua kuwatukana watu wa kusini pasipo kufanya uchunguzi na kujiridhisha nn kimepelekea mkoa kupooza unakuja na hitimisho kwambq watu wa Lindi ni wavivu ,ushirikina na porojo kibao.

Hoja kama hizi ni dhaifu sana,haziwezi zikawa zinaletwa na mtu msomi inaonyesha upeo wako wa kifikiri bado sana.

Japo mm sio mtu wa Lindi lakini ili mkoa uchangamke lazima kuwe na uwekezaji mkubwa au miradi mikubwa itakayo wavutia watu na kufanya mzunguko wa pesa kuwa mkubwa.Kuchelewa kwa miundombinu ya madaraja na barabara ndio chanzo kikuu cha kuchelewa kwa maendeleo mikoa ya kusini.Watu wa kusini walingoja kusubiri mpaka miaka ya 2000 baada ya Hyati Mkapa kupata uraisi na kuwajengea daraja lililounganisha DsM na mikoa ya kusini kabla ya hapo mikoa ya kusini ilikuwa kama kisiwa kisichoingilika ilibidi utumie meli kusafiri kwenda kusini au kulazimika kutulia wiki nzima njiani.

Kwa mantiki hiyo maendeleo yalichelewa sana kusini mpaka alipoingia mzee Mkapa,Majaliwa, na viongozi wengine wamejitahidi sana kuipigania mikoa ya kusini angalau ipate maendeleo.Viongozi na mawaziri wengi waliopita walikuwa wabinafsi wanajenga makwao hususa wachaga na wahaya walijipendelea umeme mpaka migombani na barabara.

Kamwe usilinganishe Kahama,Geita na Lindi kule kuna uwekezaji mkubwa wa migodi mingi inayofanya mkoa uchangamke.
LINDI KUNA BAHARI,KOROSHO,UFUTA,MISITU,MITO NK.UNATAKA KUNIAMBIA S/KALI WALIOANZA KUVIONA MWALAMI na2000?
 
kuna siku nimekwenda sokoni nikataka kununua samaki wote kwenye beseni...yule mama aligoma kwa sababu aliniuliza nikichukua wote yeye atauza nini wakati muda wa kurudi nyumbani bado haujafika...Dah Mtwara yetu bhana
 
Upo utalii wa fukwe bora kabisa eneo/pango maarufu la mjusi mkubwa wa kale ambaye mifupa yake ilipelekwa Ujerumani eneo hilo lipo kijiji cha Mnyangara. Pia upo msitu maarufu wa hifadhi ya Rondo wenye wanyama adimu lakini zaidi misitu ya mikoko na mandhali safi ya bahari.
hivyo unavyozungumzia haviwezi kuendelezwa kwa Sababu Watu wa hugo ni wabinafsi mon. hawataki wawekezaji ambao sio wazawa
 
Upo utalii wa fukwe bora kabisa eneo/pango maarufu la mjusi mkubwa wa kale ambaye mifupa yake ilipelekwa Ujerumani eneo hilo lipo kijiji cha Mnyangara. Pia upo msitu maarufu wa hifadhi ya Rondo wenye wanyama adimu lakini zaidi misitu ya mikoko na mandhali safi ya bahari.
hivyo unavyozungumzia haviwezi kuendelezwa kwa Sababu Watu wa hugo ni wabinafsi mon. hawataki wawekezaji ambao sio wazawa
 
Lakini mbona takwimu hazioneshi kwamba hiyo Lindi ina tofauti kubwa sana na mikoa mingine Tanzania. Tusidanganyane, Tanzania mikoa mingi ni maskini wa kutupwa. Hata ile mikoa yenye miradi ya kitaifa kama vile vivutio vya utalii, machimbo na kadhalika, wananchi wengi wa huko ni maskini wa kutupwa sema ndo vile tena JF, kila mtu ni tajiri na anatoka mkoa tajiri wakati wengi wao hapa maisha yao hayana tofauti yoyote na maisha ya watu wa Lindi, Mtwara, Pwani na kwingineko. Sana sana hapa wengi wenu mmejaaliwa tu kukashifu vya wengine, kama vile mkoa fulani malaya sana, wakati kwao hata watoto wa darasa la saba bikra hawana. Utasikia kule wanaendekeza sana pombe wakati mwenyewe nae ni mlevi mbwa!! Hapa mikoa mingi kama sio yote utakayojaribu kuona inafanya vizuri basi ni ama serikali imewekeza au kuna maliasili inayovutia watu. Sasa huko Lindi na Mtwara kuna nini?!
Naona unachangia kihisia sana. hivi umeshafika wilaya za Kilwa ukaona Maisha wanayoishi? kuna mdau hapo juu amesema viu ni bei ghali sana.
kwa mfano, Kilwa bei ya samaki haishikiki takati wamepakana na baharı. ukija kwenye Chakula Ndio usiseme kabisa.
 
Habari wakuu,

Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi.

Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi.

Mkoa wa Lindi ni mkoa mzuri kuishi kwa sababu. Kwanza hari ya kijiografia yake mzuri, miinuko kidogo, tambarare, hari ya hewa, misitu, ardhi yenye rutuba. Kwa ufupi ni mkoa ambao una kila sababu ya kuwa mkoa ambao unavutia na wenye maendeleo kama mikoa mingine lakini cha kushangaza mkoa wa Lindi umepoa sana.

Upo kimya kana kwamba wapo katika maombolezo. Ukienda apo stendi na viunga vyake utashangaa kuona mitaa ipo kimya mno, hukuti muvumenti amabazo zinakufanya uone **** watu wanatafuta maisha au wanakiu ya kimaisha. Vijana hawaja changamka kabisa sijui kwa sababu ya rafidhi yao inawafanya wasichangamke, mi sijui.

Ukitembela wilayani, katani hata vijijini ndo kimya kabisa. UKIJA KWENYE FURSA ni nyingi mno. Kuna BAHARI, MISITU, MAZAO lakini sioni kama wanatolea macho ima viongozi au wananchi wenye. Ukiingia porini miti ya kutosha, matunda kama vile EMBE, boga zakutosha lakini zinaharibika tu aisee.

TATIZO LIKO WAPI?

VIONGOZI WETU WAMESHINDWA KUTUWEKEA NJIA ZA KUENDEA FURSA TULIZO NAZO?

AU NI SISI WENYEWE TUMESHINDWA KUZITUMIA NEEMA TULIZO PEWA NA MUNGU WETU?

UBINAFSI NA CHOYO NDIO INAYO DUMAZA MAENDELEO YETU.

EMU TUAMBIE UMEONA NINI LINDI?NA KIPI KIFANYIKE LINDI ILI KULETA MAENDELEO?
Tatizo viongozi wakuu wa nchi sio rafiki kwa sekta binafsi, nakuhakikishia wakipunguza kodi, na kuondoa mlundikano wa kodi na kuondoa sheria mbaya za uwekezaji na fedha, na kutowasumbua wafanyabiashara, wakakaribisha company kubwa 20 kuwekeza Sehemu mbali mbali nchini. ndani ya mwaka 1, nchi hii uchumi wake utakua kuliko nchi nyingine Africa.
 
Back
Top Bottom