Wazanzibari wanyonge nao wanena

Wazanzibari wanyonge nao wanena

Mm naona ungemwandikia barua ukpelekea kwake utenzi kama huu sisi hautufai tunachotaka shein aondoke pishe seif
 
Sasa kama baba yako alifanya makosa MTU mwingine akifanya makosa hutakiwi kumkosoa? Sioni mantiki ya hoja yko zaidi ya umbea wa kufuatilia maisha ya ndani ya watu mbona mahusiano yako ya kimapenzi hukutujuza?
Toa hoja kujibu hoja sio vioja.
 
Angalau ungeandika jina lako, hayo makao makuu yenu ya Wanyonge yako wapi? Fatma kataja jina lake na sisi sote tunamjua . Na nyinyi jitajeni tuwajueni ili tujuwe Adress yenu tuwajibuni
 
Ulikuwa unatafuta sababu za kumtukana/kumdhalilisha Fatma kwa mambo yake binafsi, kumbe alikuwa na mwanaume mmoja tu kabla ya kumpata mumewe? Muulize dadako amewapa wanaume wangapi na bado haoni dalili za ndoa au kama wewe ni wa kike jiulize umewapa wanagapi na hata hao unaowaita walala hoi umetoka kuwavulia chupi ndio ukaja hapa na huu upuuzi. Shein yuko hapo kimabavu, uchaguzi ulikuwa na kasoro gani amabazo zilionekana baada ya kuanza kuhesabu kura? Wanyonge wa Zanzibar ndio waliomchagua Seif awe rais wao, sasa wewe umewakilisha mafisadi ya ccm unajishusha ukiomba huruma za nani?
 
Back
Top Bottom