Ni wakati sasa wa serikari ya Tanzania kusema aijadiliani na vikundi vinavyochochea ugaidi kulinda maslahi ya taifa mbona wazungu na mataifa mengine wakiona kuna vyama vya siasa vina taka kuwatenganisha awataki kuvitambua kwanini Tanzania tuwe wavumilivu kupita; Somalia inajulikana kuwa ni moja ya nchi inayofuga magaidi na dunia nzima inatambua al-shabab hakuna mtu atakae kimbia amani akaishi kwenye vita lazima kaenda kujifunza ugaidi tu.
Jussa anajulikana kwa kutaka kuvunja Muungano wenye uhalali wa kindugu na mahusiano ya kihistoria kati ya Zanzibar na bara yeye awezi kuwa na machungu kwanza hana asili na wala ataki kuwa good adaptoed child wa nchi yenye upendo umoja na inayotaka raia watambulike kama binadamu sio rangi zao, kabila zao background zao wala dini zao kusidi tujenge mshikamano kwa sasa tanzania inatambua raia wote wana haki despite their background lakini kuna wengine awataki Jussa akiwa kinara.
Sasa inajulikana kuna mawakala wa shetani kpitia dini bara na visiwani na dini zote za kinafiki wasiotaka na wasiopendezewa umoja wetu. Hapa hakuna mjadala kwa sababu Tanzania hiko tayari kulinda mipaka yake na namna zake kama sehemu ya tunu ya taifa kuna ushahidi tosha wa CUF kushirikiana na makundi ya kiuni kama uamsho pengine waliopelea watu somalia na wasiotaka amani kwa kuchoma makanisa huko ZnZ kutaka kuvunja amani na watu kama akina Gwajina serikari aina sababu ya ku negotiate na watu kama hao.
Nendeni Somalia hapa ni serikari mbili tu in other words serikari ya Tanzania inatambua Zanzibar kama ni nchi huru kutokana na matukio ya historia ya kikoloni kama China inavyotambua Hong Kong lakini aindoi uhalali wa kuwa ni sehemu ni mipaka yake ya awali na kuna ushahidi tosha wa mahusiano ya undugu.
Sasa wanaotaka vingine wanataka kuingilia mipaka ya Tanzania kinachofuata ni kichapo tu Sharifu Hamand akiendelea inabidi atambulike kama gaidi kwani gaidi si raia tu anayebadilika kuwa na mtazamo tofauti na maslahi mapana ya taifa (ingawa yeye mwenywe ukimsikiliza unaona mtu ambaye anajua kakosea ni aibu tu kujirudi) whatever it is tunahaki ya kusimamia ulinzi, value zetu ya nchi isiyobagua na kulinda mipaka yetu Jussa ni gaidi ili halina ubushi sasa.
Hapa wala hakuna mjadala CUF inataka kumega mipaka ya nchi kuna kila sababu ya Tanzania kutaka kulinda mipaka yake si muende Somalia mntaka nini muwachukue na ndugu zenu wa bara muwapeleke kwenye nchi zenye namna zao za kidini wanazotaka Tanzania itabaki nchi isiyo dini, rangi, kuendekeza ukabila wala siasa za ubaguzi wowote hizo ndio value zetu na serikari italinda hilo Sharif Hamad afai na wengine wote yes kuna wengine wako bara na wanachekewa ni magaidi tu.