GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
- Thread starter
- #21
MkuuMkuu
Kwa hivyo unataka kutuambia what happened in Zanzibar is worse than what has happened and still happening in Somalia over the years. Leo hii Zanzibar kuna shida gani kwa watu hawa in terms of persecution au usalama wao.
Umewahi kukaa na wasomali ukawajua culture zao, kama ujawaji ngoja ni kwambie tofauti Tanzania ni moja ya tolerate countries in the world ukija una ruhusa ya kufanya na kuabudu, culture wise ndio hakuna mipaka. Wasomali wewe unawajua tamaduni zao sasa mtu gani yuko tayari kupoteza utamaduni kuishi kwenye vita wakati kwao kuna amana na ikibidi apoteze culture huyo ni mtu ambaye lazima azitambui value zetu za tiafa in the first place.
Swali kwako ebu nipe tunu za taifa letu na unazithamini vipi na huko tayari kuzilinda kwa kiasi gani kuanzia nyumbani kwako na mpaka jamii yako kama raia au hata tunu za zanzibar unazozithamini wewe? Mtu akikuuliza nini maana ya kujitambulisha Ukiwa nje ya Zanzibar au mtanzania utamjibu nini in relation to values unazoziamini na culture yako?
Unapo kuwa mkimbizi unakuwa desperate, na hii baadae hutoa athari kubwa hufika wakati mwengine mtu kujitoa hata muhanga au kujiuwa kwa mawazo or kuchanganyikiwa, wewe mauwaji ya pemba hukuwepo, na ule udhalilishaji hukuuwona ndio maana unaandika haya, hakuna kitu ambacho mkuu kama kinacho umaa kudhalilishwa nchi kwako au kuuliwa na watu wako na serikali yako.
Usishangae hilo, kuna wakimbizi wanatoka Egypt wanakwenda Libya kutafuta hifadhi na wengine kukimbilia lia nchi nyengine, kila mtu anaona wapi salama kwake.
Better be shut up, you don't know what happened down there.