MkuuMkuu hebu tujuze vizuri wameandamana sawa, ujumbe wao ni nini na wameandamana ujumbe wamempa nani ili kuwasiliana kwa Mhe Rais?
Nauliza maana attachments hazifunguki.
Nionavyo mimi wewe ndiyo wamekuchaguavkufikisha ujumbe kwa rais, yaani wewe ni mmoja wao. Sisi tumepata ujumbe sasa tunajitayarisha kwenda Mogadishu tuungane nao tulete haki na amani nchini mwetu.Mkuu
Nimeshindwa kupata more information, lakini hawa wameandamana hapo Mogadishu, video zipo pia nimepokea, sijajua wapi wamepeleka ujumbe wao official ila umefika kila kona.
Hizo ndo akili zako za mwisho zilipofika ww kweli ni gaidi tena wa kukamatwaHizi ndio sababu kwa namna yoyote muungano lazima uwepo kwa sababu ya watu kama hawa kwanza lazima washakuwa magaidi hawa
Ww tulia hvyo hvyo utaelewa tu,wanacho maanisha hawa makamandaHe kumbe Somalia kuna amani, hadi watu wanaandamana kudai amani ya nchi nyingine. !
Hizo ndo akili zako za mwisho zilipofika ww kweli ni gaidi tena wa kukamatwa
Ww tulia hvyo hvyo utaelewa tu,wanacho maanisha hawa makamanda
Ni mijitu mizuzu isiyojitambua na kutaka kuichafua zanzibar kana kwamba imejaa watu wachovu kama wao; halafu hawa wapewe sehemu ya kuongoza Tanzania kweli this is a joke; nimetoka kuona video yao yaani mpaka wanasikitisha sio kwa zanzibar kwa yeyote anaejitambua kama ana asili ya utanzania na kujitambulisha kama raia watazania regarldless of their race or colour.
Ku support watu kama hawa wanaojitambulisha kama watumwa wanaokataa uhuru sio swala la kufikiria kidini it is matter of principle tunajitambua vipi sisi wenyewe wote kama watanzania sisi ni nani; useless people eti somalia ndio substitute ya Oman huko awatakiwi wanajua.
Kama jamii si sawa kabisa kukubali watumwa wanaotaka kutuchafua wote tunaojitambua si waende Oman mbona sultan alikimbilia huko zanzibar wanataka nini.
Hata aibu kuwaangalia hao wasomali wenyewe ubantu awautaki halafu unakutana na wapumbavu kama hawa nao wasiojitambua I guarantee you huko waliko wanamake huge efforts kukubalika kwenye jamii wakati nchi yenyewe maskini hivi kuishi somalia na zanzibar wapi bora yaani watu wengine duuh
Hivi wewe unazungumzia amani gani? Zanzibar hakuna amani toka enzi ya mapinduzi, wamekufa wengi sana, mwaka 2001 maandamo ya CUF walikufa watu wasipungua 30 kule pemba, wengine vilema hadi leo hii, wengine ni waathirika wa ukimwi kwa kubakwa na vyombo vya dola, yaani ule ufirauni wa mapinduzi ndio ulio fanywa, wazanzibari wa kisiwa cha pemba wakakimbilia mombasa kuomba ukimbizi, kwa kuwa wengi ni vijana baada ya kufungwa kambi ile hapo shimoni, wazanzibari hawa hawakurudu nyuma na kwenda somalia ku seek asylum.Ni wakati sasa wa serikari ya Tanzania kusema aijadiliani na vikundi vinavyochochea ugaidi kulinda maslahi ya taifa mbona wazungu na mataifa mengine wakiona kuna vyama vya siasa vina taka kuwatenganisha awataki kuvitambua kwanini Tanzania tuwe wavumilivu kupita; Somalia inajulikana kuwa ni moja ya nchi inayofuga magaidi na dunia nzima inatambua al-shabab hakuna mtu atakae kimbia amani akaishi kwenye vita lazima kaenda kujifunza ugaidi tu.
Jussa anajulikana kwa kutaka kuvunja Muungano wenye uhalali wa kindugu na mahusiano ya kihistoria kati ya Zanzibar na bara yeye awezi kuwa na machungu kwanza hana asili na wala ataki kuwa good adaptoed child wa nchi yenye upendo umoja na inayotaka raia watambulike kama binadamu sio rangi zao, kabila zao background zao wala dini zao kusidi tujenge mshikamano kwa sasa tanzania inatambua raia wote wana haki despite their background lakini kuna wengine awataki Jussa akiwa kinara.
Sasa inajulikana kuna mawakala wa shetani kpitia dini bara na visiwani na dini zote za kinafiki wasiotaka na wasiopendezewa umoja wetu. Hapa hakuna mjadala kwa sababu Tanzania hiko tayari kulinda mipaka yake na namna zake kama sehemu ya tunu ya taifa kuna ushahidi tosha wa CUF kushirikiana na makundi ya kiuni kama uamsho pengine waliopelea watu somalia na wasiotaka amani kwa kuchoma makanisa huko ZnZ kutaka kuvunja amani na watu kama akina Gwajina serikari aina sababu ya ku negotiate na watu kama hao.
Nendeni Somalia hapa ni serikari mbili tu in other words serikari ya Tanzania inatambua Zanzibar kama ni nchi huru kutokana na matukio ya historia ya kikoloni kama China inavyotambua Hong Kong lakini aindoi uhalali wa kuwa ni sehemu ni mipaka yake ya awali na kuna ushahidi tosha wa mahusiano ya undugu.
Sasa wanaotaka vingine wanataka kuingilia mipaka ya Tanzania kinachofuata ni kichapo tu Sharifu Hamand akiendelea inabidi atambulike kama gaidi kwani gaidi si raia tu anayebadilika kuwa na mtazamo tofauti na maslahi mapana ya taifa (ingawa yeye mwenywe ukimsikiliza unaona mtu ambaye anajua kakosea ni aibu tu kujirudi) whatever it is tunahaki ya kusimamia ulinzi, value zetu ya nchi isiyobagua na kulinda mipaka yetu Jussa ni gaidi ili halina ubushi sasa.
Hapa wala hakuna mjadala CUF inataka kumega mipaka ya nchi kuna kila sababu ya Tanzania kutaka kulinda mipaka yake si muende Somalia mntaka nini muwachukue na ndugu zenu wa bara muwapeleke kwenye nchi zenye namna zao za kidini wanazotaka Tanzania itabaki nchi isiyo dini, rangi, kuendekeza ukabila wala siasa za ubaguzi wowote hizo ndio value zetu na serikari italinda hilo Sharif Hamad afai na wengine wote yes kuna wengine wako bara na wanachekewa ni magaidi tu.
Mkuu
Naona unaongea utumbo kabisa, hawa ni wazanzibari na wataendelea kuwa wazanzibar, hawakutaka kuondoka zanzibar zaidi ya madhila uzalishaji, mauwaji ya 2001 kama unakumbuka, wazanzibari hawa walikimbilia Kenya kwenye kambi ya wakimbizi, baada ya muda fulani ile kambi ikafungwa na wakawa hawana pa kukimbilia zaidi nchi jirani Somalia, wengi ya wazanzibari hawa walikuwa ni wanaume, kufika huko wengine wakaamua kuowa na wana family huko Somalia.
Mtu kwao na mkataa kwao mtumwa hujakosea, ndio maana wameamua kuungana na wazanzibari wenzao kupaza sauti haki itendeke kama wazanzibar wengine walivyo fanya ughaibuni.
Hivyo acha kuwahukumu wazanzibari, hujui what's happened in zanzibar toka kuanza mfumo wa vyama vingi.
Kwanini hawakurudi nyuma? Walifanya makosa yepi? Wazanzibari amani mmeichoka na mnachokitafuta ipo siku mtakipata. Wallah nawambiaHivi wewe unazungumzia amani gani? Zanzibar hakuna amani toka enzi ya mapinduzi, wamekufa wengi sana, mwaka 2001 maandamo ya CUF walikufa watu wasipungua 30 kule pemba, wengine vilema hadi leo hii, wengine ni waathirika wa ukimwi kwa kubakwa na vyombo vya dola, yaani ule ufirauni wa mapinduzi ndio ulio fanywa, wazanzibari wa kisiwa cha pemba wakakimbilia mombasa kuomba ukimbizi, kwa kuwa wengi ni vijana baada ya kufungwa kambi ile hapo shimoni, wazanzibari hawa hawakurudu nyuma na kwenda somalia ku seek asylum.