Acha Mwinyi awanyooshe maana huwa hamkubali watu wa bara wanunue ardhi Zanzibar ila wazungu, waarab na wahindi mnawapa ardhi kama vile mnagawa njugu bila hata kuhojiTangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Njooni bara ardhi tele mje mlime huku hakuna ubivu kushinda barazani mfanye kazi.....ifakara huko mkalime mpungam...na biashara kibao bara mje acheni zbar iwe ya utaliiiTangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Sasa si wahamie Sehemu ambayo hakuna Kiwanja chengine 🤒🤒kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?.
Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Tanganyika je? Botswana wameweza hatujui huku kwa chama dume.Wazazibari bila kuiondosha CCM madarakaani mtapata tabu sana, CCM wataendela kuwawekeeni mapandikizi yao toka Dodoma.
subirini uchaguzi mkuu mumuondoe ni vizuri kuheshimu taratibu tulizojiwekea.Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Tulieni kwanza nyie wazenji bomu la mungano linakaribia kuripukaTangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Nyie Mwinyi sisi huyu mama yenu hatumtaki huku baraTangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Hata sisi tuna pandikizi kutoka Zanzibar ngoma ni draw mzee babaWazazibari bila kuiondosha CCM madarakaani mtapata tabu sana, CCM wataendela kuwawekeeni mapandikizi yao toka Dodoma.
tuamke aseeVi
Tanganyika je? Botswana wameweza hatujui huku kwa chama dume.
Mpaka mseme, bado saaaanaaaaTangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Na sisi ma Samia kakimbiza wa Masai na nyinyi onjeni joto la jiweTangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa na wanachi wameondoshwa makwao kupisha ujenzi wa Mwinyi na watu wake. Sisi tuna uwanja wa ndege kisauni sasa kuna taarifa ya kujenga kiwanja cha ndege chengine. Hiyo nafasi iko wapi?. Hizi ardhi zetu munasema ni za serikali mbona munawapa watu wasiokuwa na hisia ya ardhi zetu. Mwinyi kweli ametimiza ambayo wenzake walishindwa kutekeleza.
Tunawaomba CCM muje muchukuwa pandikizi lenu. Sisi tumechoka nae. Yeye anajuwa kuwa hapati kura kwa hiyo CCM itambeba kwa hali yoyote ile.
Uwanja wa ndege huu anautaka kuujenga wapi kisauni au?Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.