Wa zanzibar wanaoingia bara ni wengi kuliko mikoa yoote ya Bara.
Ebu angalieni kama
kama kwenye meli moja wako wa zanzibara 200 wanaotoka bara kwenda znz je? Ni meli ngapi huenda znz kwa siku?
Hii inamaanisha kwamba wa zanzibar wanaingia bara zaidi kuliko wabara wanavyokwenda znz
Je wanaotaka tuvunje muungano hawa ndg zao watakuwa wanaenda wapi?
Ktk mikoa yoote ya bara 26 hakuna wanaokuja dar kama wazanzibari.
Utabaki kuhesabu tu kuna almasi lulu zaabu ,nyumbani huna hata TV ,nyumbani huna hata redio ,nyumbani nyumba dongo juu nyasi ,wewe umebaki tuna zaabu ,lulu na almac ,Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.Dar-es-salaam pekee kuna Wazanzibari 300,000 - Dar kuna Maarashi ya Karafuu...
Kuna Gas, Uranium, Coal, Iron, GOLD, Diamond... Kunapendeka...
Hakuna CHUKI ni Mapendano tu...
Kumbe!!!Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.
Ngoja nipite kimya!
Nisubiri twende wote mi nilisimama kidogo kushangaa
Mnakula mnashiba, na umeme bwerere bado unasema muungano umewafikisha pabaya? Mtu wa ajabu sana wewe.Utabaki kuhesabu tu kuna almasi lulu zaabu ,nyumbani huna hata TV ,nyumbani huna hata redio ,nyumbani nyumba dongo juu nyasi ,wewe umebaki tuna zaabu ,lulu na almac ,Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.
Wa zanzibar wanaoingia bara ni wengi kuliko mikoa yoote ya Bara.
Ebu angalieni kama
kama kwenye meli moja wako wa zanzibara 200 wanaotoka bara kwenda znz je? Ni meli ngapi huenda znz kwa siku?
Hii inamaanisha kwamba wa zanzibar wanaingia bara zaidi kuliko wabara wanavyokwenda znz
Je wanaotaka tuvunje muungano hawa ndg zao watakuwa wanaenda wapi?
Ktk mikoa yoote ya bara 26 hakuna wanaokuja dar kama wazanzibari.
Hivi kumbe hujasikia/soma hotuba ya Dr. Shein hapo juzi alipokutana na wazee wastaafu wa huko Zanzibar. Alisema yeye ndio Rais wa visiwa hataki kusikia habari ya Uamsho, atahakikisha anaulinda Muungano kwa nguvu zake zote kwani hiyo ndio sera ya chama chake....:hat:
Habari nyingine iliyotia fora ni pale tume ya Warioba/Katiba ilipokwenda kule Makunduchi asilimia kubwa ya wananchi waliokuwa wanachangia maoni yao walikuwa wanataka muungano wa serikali MOJA....kabisaaa yani wanasema hizi mbili ndio tatizo...:hat:
" duh! usidanganye, ungefuatilia hizo habari vizuri ndio useme"
Utabaki kuhesabu tu kuna almasi lulu zaabu ,nyumbani huna hata TV ,nyumbani huna hata redio ,nyumbani nyumba dongo juu nyasi ,wewe umebaki tuna zaabu ,lulu na almac ,Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.
Kumbe!!!
Hio inaonesha wanavochapa kazi nyie lalamikeni tuuu!!!! Hata ije passport tutakata hio passport na tutakuja haijalishi