saidoo25 JF-Expert Member Jul 4, 2022 602 1,407 May 12, 2023 #1 Your browser is not able to display this video.
raraa reree JF-Expert Member Jul 11, 2015 9,264 26,942 May 12, 2023 #3 Duh watu wanatandika kila mahali 😃
T Trable JF-Expert Member Jan 3, 2023 1,783 3,281 May 12, 2023 #4 Tukiwa na wakulima wengi kama huyu jamaa, tutapona kama nchi
A antimatter JF-Expert Member Feb 26, 2017 44,895 121,044 May 12, 2023 #5 saidoo25 said: View attachment 2619228 Click to expand... Kulikuwa na wanunuzi?! Halafu huyu mkulima yupo vizuri, kama settlers
saidoo25 said: View attachment 2619228 Click to expand... Kulikuwa na wanunuzi?! Halafu huyu mkulima yupo vizuri, kama settlers
M Mtanke JF-Expert Member Nov 19, 2011 726 1,800 May 12, 2023 #6 saidoo25 said: View attachment 2619228 Click to expand... Huyu anataka kuwaokoa na moto wa Bungeni wakati mjadala utakafika. Utasikia Wabunge tusiwajadili hawa kwasababu kesi iko mahakamani
saidoo25 said: View attachment 2619228 Click to expand... Huyu anataka kuwaokoa na moto wa Bungeni wakati mjadala utakafika. Utasikia Wabunge tusiwajadili hawa kwasababu kesi iko mahakamani
denooJ JF-Expert Member Mar 31, 2020 18,511 68,152 May 12, 2023 #9 Hiyo kesi nilishaisahau, kumbe ipo, hakuna MMM mwingine akatuletee updates mahakamani? Kesi ina public interest kubwa sana hiyo.
Hiyo kesi nilishaisahau, kumbe ipo, hakuna MMM mwingine akatuletee updates mahakamani? Kesi ina public interest kubwa sana hiyo.
ILISACHA JF-Expert Member Oct 29, 2019 2,007 3,558 May 12, 2023 #10 Mtanke said: Huyu anataka kuwaokoa na moto wa Bungeni wakati mjadala utakafika. Utasikia Wabunge tusiwajadili hawa kwasababu kesi iko mahakamani Click to expand... Kweli mkuu hilo la kesi ipo mahakamani laweza tokea
Mtanke said: Huyu anataka kuwaokoa na moto wa Bungeni wakati mjadala utakafika. Utasikia Wabunge tusiwajadili hawa kwasababu kesi iko mahakamani Click to expand... Kweli mkuu hilo la kesi ipo mahakamani laweza tokea