King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,083
- 98,352
Jiandae kusogezwa kizazi hao jamaa wengi wana miguu ya watoto, kule kwao wana dawa za kuingeza maumbile so wengi wana miguu mitatu.
Hivi unadhani hapa unadamdanganya nani? ningependa hii thread kama ingechangiwa zaidi na wana JF wanaoishi Kinondoni ndio wanawajuwa vizuri Wazaire.Ndoa ni ndoa,
Nitambadilisha ndoani.
Niko mbali na Tanzania kwa muda.
Nimebahatika kkukutana na huyu mzaire, kijana ametuma maombi. najihisi kumpenda! Ila yeye sio wale wazaire wanaojichubua na kupenda vipodozi.
haha majina kama cherie nshaanza kuitwa, nkichukia anasema eti natomboka lol.(kuongea) basi mie nachekaaa japo kukopi nae naona pana ugumu kidogo. Je hawa watu wakoje kitabia na mengineyo?? Nisaidieni wanajamii
teh!teh!vp nchi 14?Huyo Mzaire kwanza hiyo suruali yake alikuwa anaifunga na Mkanda wa kike.eeh mwanamke ukiwa mfupi Mzaire achana nae
Hivi unadhani hapa unadamdanganya nani? ningependa hii thread kama ingechangiwa zaidi na wana JF wanaoishi Kinondoni ndio wanawajuwa vizuri Wazaire.
Mimi binafsi Dada yangu kama akikosa mchumba ni bora nimuoe mimi mwenyewe na siyo Mzaire hawa watu ni nyoko kabisa. na kama kuna Mdada humu kajichanganya nao basi nampa ujumbe mmoja tu time will tell.
Niko mbali na Tanzania kwa muda.
Nimebahatika kkukutana na huyu mzaire, kijana ametuma maombi. najihisi kumpenda! Ila yeye sio wale wazaire wanaojichubua na kupenda vipodozi.
haha majina kama cherie nshaanza kuitwa, nkichukia anasema eti natomboka lol.(kuongea) basi mie nachekaaa japo kukopi nae naona pana ugumu kidogo. Je hawa watu wakoje kitabia na mengineyo?? Nisaidieni wanajamii

Ba tanzanie banapenda fasi ya kuyamba
Wadada wa Kitanzania wengi ni pumbavu sana, kuna mdada mmoja ana kazi yake bomba kabisa ni Dada wa Kimarangu, amelichukuwa Limarioo la Kikongo basi yeye kazi yake ni kumlipia madeni mumewe tu kutokana na utapeli, na mbaya zaidi akipata pesa kwenye magumashi yake break ya kwanza ni Kinondoni kwenda kupeana sifa za kijinga.Siishi kinondoni lakini wazaire BIG NO
Hawafai kwa ndoa labda kama unataka ku-pass tym tu
Kuna mdada mmoja alidate na mzaire, ilikuwa tabu tupu
Kila mwisho wa mwezi lazima ampe bajeti ya vitu kama pafyumu, krim, losheni na nguo
Walifungua biashara ya saluni ya kike akataka kumdhulumu afu ammwage
Yaani mifano yote ya wazaire naowajua wako na wanakwake kwa ajili ya pesa tu, haujalishi umri wao
Wadada wa Kitanzania wengi ni pumbavu sana, kuna mdada mmoja ana kazi yake bomba kabisa ni Dada wa Kimarangu, amelichukuwa Limarioo la Kikongo basi yeye kazi yake ni kumlipia madeni mumewe tu kutokana na utapeli, na mbaya zaidi akipata pesa kwenye magumashi yake break ya kwanza ni Kinondoni kwenda kupeana sifa za kijinga.
Kuna kipindi hata huyu King Dodo La Bouche alichoka mbaya, jamaa ikabidi ampe hifadhi kwenye nyumba ya mkewe, sasa Dada wa watu ikabidi aanze kulisha mume na rafiki wa Mumewe, mimi am serious kama Dada yangu analeta uchuo huu kwenye Familia yetu i will shoot the Guy or i will send some Gangstars to kill him. am not joking.
Nyie Batu bana mnasimulia sana mambo ya fasi hii...Ha ha ha fasi ya kunyamba...ndio mtindo wa kisasa..
Mmmh, hapo red ni nini?
Hivi unadhani hapa unadamdanganya nani? ningependa hii thread kama ingechangiwa zaidi na wana JF wanaoishi Kinondoni ndio wanawajuwa vizuri Wazaire.
Mimi binafsi Dada yangu kama akikosa mchumba ni bora nimuoe mimi mwenyewe na siyo Mzaire hawa watu ni nyoko kabisa. na kama kuna Mdada humu kajichanganya nao basi nampa ujumbe mmoja tu time will tell.
Huna lolote unajidanganya nafsi yako tu mwenyewe, kwanza ulivyoniambia unakaa Kinondoni wala siwezi kukushangaa macho yako hayaoni nje ya Wacongo waliojaa hapo.We Matola,
Mimi naishi Kinondoni Manyanya na nina kidumu Mzaire huu mwaka wa 9.
Hanichuni wala hanipigi mizinga.
Bali yeye ndio hunigharamia.
Sema kuna baadhi yao ndio wenye tabia hyo mnayosema.
Mbona nyie wabongo hamna tofauti na hawa Wakongo?
Sema hv wanawazidi nyie wanaume wa Kibongo kitandani ndio maana mnawaponda.