Wazaire wakoje kwenye mahusiano ya kimahaba?

Wazaire wakoje kwenye mahusiano ya kimahaba?

Huna lolote unajidanganya nafsi yako tu mwenyewe, kwanza ulivyoniambia unakaa Kinondoni wala siwezi kukushangaa macho yako hayaoni nje ya Wacongo waliojaa hapo.

Swala la kitandaani ni hoja za watu wapuuzi inawezekana wewe ukawa ni miongoni mwao, Game ya Kitandani ni Colaboration ya Mwanamke na Mwanaume na si jukumu la Mwanaume kumfurahisha tu Mwanamke, Mapenzi ya kweli ni zaidi ya Kitanda na si kujifunza kunyonya uchi tu, huo ni ufundi wa watu walioshindwa Maisha wanaotaka kuishi kwa kutumia akili fupi na nyepesi za baadhi ya Wanawake.

Sasa Ndo nshaamua Kuishi na Mzaire wangu.
LIWALO NA LIWE.
Nawe ni Miongoni mwa Wapuuzi kama mimi.
Povu litakutokaje thatha!!
Mkiona Mnawajadili mjue Mmewakubali.

Na siwezi kuishi na Mzaramo wewe wa Mbagala wakati Wakongo wa Masaki wapo.
 
Who cares? hiyo ni hasara yako na familia yako, umeshalala macho juu na imekula kwako, Time will tell.

Waulize waliokwenda kwenye msiba wa B 52 ndio watakueleza vyema kwamba hawa Wacongo ni sawa na manyani tu, watu wanaomboleza wao msibani wameweka DVD ya Concert ya Koffi Olomide wako bize kuangalia show.
 
Niko mbali na Tanzania kwa muda.

Nimebahatika kkukutana na huyu mzaire, kijana ametuma maombi. najihisi kumpenda! Ila yeye sio wale wazaire wanaojichubua na kupenda vipodozi.

haha majina kama cherie nshaanza kuitwa, nkichukia anasema eti natomboka lol.(kuongea) basi mie nachekaaa japo kukopi nae naona pana ugumu kidogo. Je hawa watu wakoje kitabia na mengineyo?? Nisaidieni wanajamii
Wanapenda sana bwerere,akipata jimamaa lenye uwezo wa kumnunulia hadi vipodozi ujue atakutelekeza huko huko,
 
Who cares? hiyo ni hasara yako na familia yako, umeshalala macho juu na imekula kwako, Time will tell.

Waulize waliokwenda kwenye msiba wa B 52 ndio watakueleza vyema kwamba hawa Wacongo ni sawa na manyani tu, watu wanaomboleza wao msibani wameweka DVD ya Concert ya Koffi Olomide wako bize kuangalia show.

Ni wao, si wa kwangu.
Wa kwangu anajua nini afanyacho.

Miaka 9 bado sijaona dosari.
Ilishaandikwa Kitambo, Aisifuye mvua.....
Familia yangu na yao, hazijapata hasara yoyote kwa muunganiko wangu na wake.
Ila kwa nini muwaponde?
Jibu: kuna kitu wamewazidi.
 
Akili yako imeshafungwa kwenye chupa huwezi kusikia la muhazini wala mpiga swala, The fact is umebugi.

Nakuongezea na orodha ya watu wasiofaa kabisa ili ujuwe hapa hatuhubiri chuki bali fact, siwezi kukubali kamwe Dada yangu ajichanganye na Wanigeria, tena hawa wana pesa na Exposure kubwa lakini hawafai. wewe endelea tu na Mcongo wako sikurishi wala sikuvishi the choice is yours but time will tell.
 
Well noted.
 
ninavyosikia ni watu huwa wanapenda kukutumia kwa mapemzi, baada ya muda wanakumisplace! Japo mwanzo, penzi lao huwa ni motomoto.
 
hahahaha mbona kaaaz kweli kweli, lakini haiwezekani jamii yooote wawe hivyo, kutakuwepo tu na wachache walio tofauti......wa madame x anaweza kuwa mmojawapo na huyu wa nakadori, hata wabongo siku hizi mbona kuna mijambazi mingi tu, wanaume hasa wa dsm wamechanganyikiwa, kutwa kuchwa kutafuta wa kuwalea na kuwachuna! yupo mkaka yuko makongo anaitwa Eneza Kitilya anashinda shoprite, huyo ni tapeli la mwaka, linadanganyia wanawake kwamba litawaoa alafu linawachuna na kuwatapeli.......huyu ni mpare na wala sio mkongo,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom