Wayne Rooney is the Best Striker in FA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wayne Rooney is the Best Striker in FA!

Discussion in 'Sports' started by Rev. Kishoka, Feb 28, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  I have to admit, even though I am a pure blue, but Wayne the train Rooney is phenomenon!


  PS.
  Invisible my fellow Blue usifute hii thread bwana!
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Unampima kwa kufunga magoli mengi au quality ya magoli anayofunga?
   
 3. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Wacha,

  Achana na Drogba, Tevez au Fibreglass, ni both idadi na quality.

  Mfano kuna mechi moja kama wiki mbili au tatu zilizopita, mpira ulikuwa langoni mwa Manu, lakini ukahamishwa akatimka katikati ya uwanja na akisindikizwa na mabeki wawili, kwa slow motion vile zile mbio akazipunguza akifanyia timing mpira na kipa na chubwi akaingiza kitu kimiani.

  Nakuambia nilivunja bilauri iliyokuwa mezani kwa mdadi!
   
 4. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 6,157
  Likes Received: 5,722
  Trophy Points: 280
  He is alright...but not all that (si kihiivyo). Hawezi kuwekwa kwenye bracket moja na akina Christiano Ronaldo au Lionel Messi au even a fit Fernando Torres. Hawa wako kwenye bracket A. Rooney anaweza kuwekwa kwenye category B yenye Drogba, Tevez, David Villa, etc. Ili Rooney aweze ku-upgrade kuingia kwenye group A inabidi a-mantain consintent performance for at least a season and a half.
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,824
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  jamani kila striker ana skills zake - so you can'nt say Rooney is the best striker - best for what? kufunga, ku -create chances au kuhamasisha timu ishinde?

  and you cant compare - Drobga, Rooney, Teves, Torres, Adebayor, Anelka, Saha nk, kila mmoja ana skills zake.

  kwa afano huwezi Compare Ronaldo na Messi kila mmoja na skills zake na namna anavyochangia ushindi katika timu yake.

  Kwangu mimi sikubaliani kwamba Rooney ni complete striker England - No. Unless nipewe zigezo vingine zaidi alivyonavyo kulingalisha ha hao wengine niliowataja.
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Mar 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  jamani kila striker ana skills zake, nakubaliana na hiyii statement kwa asilimia mia moja.
  Rooney anamajukumu yake Uwanjani ambayo hata Messi hana, kama unamwangalia Rooney , unamtazama kama mshambuliaji anaetamba uwanja wote, mbele , nyuma , kushoto na kulia, anakaba, anapokonya mipira, anaweza kufunga.
  bado Rooney anaquality ambazo hata hao kina Teves hawana, ni waaina ya pekee.
  ni wakati wake kutamba, ila yuko juu siku nyingi
   
 7. G

  Gokona Member

  #7
  Mar 1, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  No comment about Rooney,Is a supetr star and real an inventor as well innovator.Unajua huyu jamaa hapo awali alikuwa hafanyi vitu vizuri na kikubwa kilichomjenga ni nidhamu,kama huna discpline kama kina chuji au boban usitegemee kama utakuwa striker mzuri maana unaona wewe ni bora kuliko mwalimu wako (coach),bora kuliko wachezaji wenzako na hat nidhamu ya uwanjani ukikatwa kidogo ngumi mkononi sasa yote hayo ya hasira Rooney kayaacha na sasa anafanya vitu ambavyo huwezi amini maana kila mechi anacheka na nyavu na magoli muhimu na ni ya akili,angalia na west ham,AC Milan na hata alilofunga kwa Aston Villa na lile lililogonga mwamba ilikuwa chuma kile hakika jamaa anatisha sio best striker FA tu ni world wide.kiboko asiyetaka kama nampotezea.RED devils kiboko ,hongera mashabiki wenzangu wote wa Man yaani jamaa huyu na Valencia ndio usiseme maana pair inatisha ,
   
 8. M

  Magehema JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 449
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  New role ndio imempa hayo mafanikio, nidhamu alikuwa nayo ila uwepo wa Ronaldo ulisababisha akapewa majukumu mengine hata Fergie alikiri kwamba alikuwa anamtumia vibaya!!!!!!
   
 9. G

  Gokona Member

  #9
  Mar 1, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajua Sir alishasema hamchezeshi kwenye fainali ya Carling Rooney lakini akaona kuna lack of experience,skills and ability na kifaa kipo nje kaingiza mashine na ikafanya kazi iliyotumwa huyo ndio mnyama hatari ROONEY
   
 10. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #10
  Mar 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  hicho ni sahihi, unajua Rooney anamajukumu ambayo anayo Uwanjani, kama ulitazama vyema jana baada ya kupata bao la pili, Aston Villa walikua wakija mbiombio, sasa Rooney akarudi nyuma, akawa ni kama kiungo mkabaji....alikua anauchukua mpira nyuma kabisa anakimbizana nao kwanguvu sana...., kwa kufanya hivyo akawa nisawa na mkabaji.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,486
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tukubali tu ukweli kua kijana ana vitu vingi vinavyohitajika kwa striker mzuri.
   
 12. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,824
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Rooney - Nitampa kura yangu baada ya WORLD CUP - Kwa sasa mapema sana - bado namtambua Torres ingawa mi si mpenzi wa Liverpool.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...