Wayahudi wa Ethiopia kurejea Israel

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
14,912
Points
2,000

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
14,912 2,000
Habari kutoka Israeli Agency of Ethiopia zinasema kuwa kundi la mwisho la Wayahudi wa Ethiopia linatarajiwa kuondoka ndani ya miezi 18 kuanzia January 2013. Tangu mwaka 1991 Wayahudi hao ambao wanafahamika kama Falash Mura (Lost kinsmen) wamekuwa wakirudi kidogo kidogo kadiri ya taratibu za utambuzi zikiendelea lkn sasa inaonekana msukumo mkubwa umefanywa kuhakikisha Falash Mura takriban 200,000 waliosalia wawe wamekwishaondoka Ethiopia ifikapo July 2014.

Wengi wa Wayahudi hao wameishi Ethiopia kama Wakristo wakiogopa kufuata Judaism kwa hofu ya mashambulizi toka kwa Waarabu. Kurejea kwao kumefungua milango ya uhuru wa kuabudu kwani wengi wao wameshaanza ku-practise Judaism wakiwa Ethiopia mara tu baada ya vibali vyao vya kuingia Israel vilipokamilika.
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Ukifata ukweli hao ndo mayahudu wa kweli, hao walioko huko Israel sio mayahudi ni wamarekani, warusi, na wazungu...Kama mnavyo jua the current state of Israel was set up by the US, Britain and United Nations in 1948.
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
wote ni wayahudi.
Wewe unajua nini mana ya wayahudi? YAHUDI NI TAIFA SIO DINI KAMA MNAVYO DHANI, hata warabu huwezi kusema wote ni Waislamu mana ni Taifa ndo mana wengi mkisikia Wayahudi mnadhani ni dini kumbe ni Taifa siku hizi ndo wanadai yahudi ni dini ... na Mkisikia warabu mnadhani wote ni Waislamu na msije keshio mkazua uwongo kuna dini ya kiarabu kama walivyo zua uwongo wayahudi eti kuna dini ya kiyahudi na ukitaka ukweli dini yao inajulikana kama Judaism ambayo ipo kwenye ma group haya Orthodox, Reform, and Conservative.....Afu ngoja nikumize kichwa zaidi kuna wayahudi ni waislamu wako wengi tu na mfano wao Jesus na kuna warabu ndo kama hao ma judasim-> Orthodox,Reform na Conservative ambao wanaitwa mayahudi wa kiarabu hata Iran pia wako.

FYI Taifa la kiyahadi ni Ethopia tu...Huko Israel walikuja tu kwa nguvu za USA na Muingereza :bounce:
 
Mkabera

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
267
Points
225

Mkabera

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
267 225
Habari kutoka Israeli Agency of Ethiopia zinasema kuwa kundi la mwisho la Wayahudi wa Ethiopia linatarajiwa kuondoka ndani ya miezi 18 kuanzia January 2013. Tangu mwaka 1991 Wayahudi hao ambao wanafahamika kama Falash Mura (Lost kinsmen) wamekuwa wakirudi kidogo kidogo kadiri ya taratibu za utambuzi zikiendelea lkn sasa inaonekana msukumo mkubwa umefanywa kuhakikisha Falash Mura takriban 200,000 waliosalia wawe wamekwishaondoka Ethiopia ifikapo July 2014.

Wengi wa Wayahudi hao wameishi Ethiopia kama Wakristo wakiogopa kufuata Judaism kwa hofu ya mashambulizi toka kwa Waarabu. Kurejea kwao kumefungua milango ya uhuru wa kuabudu kwani wengi wao wameshaanza ku-practise Judaism wakiwa Ethiopia mara tu baada ya vibali vyao vya kuingia Israel vilipokamilika.

Nahisi hii jamii forum ama iweke moderators au itapoteza "thamani"- maana kila upuuzi unaandikwa humu.
Hivi Ethiopia yenye wakazi wa Kihabeshi ni Waarabu na hiyo nchi yao ni nchi member ya 'Arab League' ? Ama kuna blind racialists tu humu wanataka ni kutarget Waarabu tu?
For your information 50% ya hao Wayahudi wako wetokea nchi za Kiarabu Iraq Yemen Morocco Misri nk . Wakikaa kwa vizuri na Amani wakiabudu wanachotaka. Waliowatimua ni Wafuasi wa Ukiristo wa Roma na waliowaua in Holocust ni wakiristo wa Kijerumani Wazungu. Tazama sasa wayahudi wanaua nani?!!
Hiyo ibada ya kuamini Mungu Mtu na kusaporti watu wateule na usipo unaingia motoni . Tunakuombeeni Mungu awaongoze mfuate Mungu mmoja wa Kweli asiye shirikishwa na Mungu Mtu na asiyebagua watu wa rangi au kabila na amuae haki! Bi maana kwa Mungu hakuna wateule na watu wanyama!
 
Safi sana ujuwe hapa kuna watu wanachukia warabu sababu wao ni wa islamu, afu mara nyingi sana mimi nashangaa sana kuona mkristo anamsifia myahudi na kusema wayahudi ni Taifa la Mungu.

Wangetumia tu akili zao kidogo, wangejua hao mayahudi don't believe in Jesus.

Sa hawa wakristo wanasema Jesus ni Mungu, na wanasema wayahudi ni taifa la Mungu, vipi taifa la Mungu halimtambui Mungu wa wawakristo ambaye ni Yesu, si bora hata Wa Islamu wanamheshimu Yesu kuliko wayahudi, sisi tuna mheshimu yeye kama Prophet Muhammad ni mtume tu kama Muhammad :biggrin1:
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Waislam na Wayahudi hawaamini Mungu mmoja. Ingelikuwa hivyo Muhamad asingewauwa Wayahudi wa kwa mamia kule Yatrib aka Madina.

Banu Qurayza - Wikipedia, the free encyclopedia

What really happened to the Banu Qurayza
We muslims only accept Bukhari, muslim, and the other four major collectors of hadith to be 100% [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]accurate when it comes to the life of Prophet Muhammad (peace be upon him)....Hayo mnayo manyo yakuta kwenye google ni siasa za Myahudi na wanao amini kama yesu ni Mungu ili kumchafulia Prophet Muhammad jina lake.

BTW let see the FACT here.

FACT: Moses is a Prophet recognized and respected in Islam.

FACT: The story of how Moses led his people away from the Pharaoh's oppression and into the land of Israel is one that is recognized and told in Islam.

FACT: Before the Kabba was cleansed of idols, Muslims prayed towards Jerusalem.

FACT: Based on the facts above, there is evidence that clearly indicates the inherent ties between the land of Israel and the Jewish people. However, there is no evidence indicating that the land is *exclusively* Jewish or *exclusively* meant for Jews.

God had favored the Children of Israel at those times, but the Jews killed all the Prophets before Mohammed (PBUH) (not counting Prophet Eissa [Jesus] PBUH)

They had their chance...and they screwed up over and over again kwa hio walie tu.

Hapo ndo mnapata picture kabisa Jerusalem ni nchi ya Ki Islam sio ya Mayahudi and as far as we know Jesus never left any kind of writing behind...Kwa hio vitabu vyenu ni kama magazeti kila mtu anaweza kusema anacho taka, ili ku uza magazeti...ndo mana kuna wa andishi wengi kama vile Moses, David, Matthew, Mark, Luke, John, Paul mhhhm Solomon, and maybe even Priscilla. :biggrin1:
[/FONT]
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
14,912
Points
2,000

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
14,912 2,000
Nahisi hii jamii forum ama iweke moderators au itapoteza "thamani"- maana kila upuuzi unaandikwa humu.
Hivi Ethiopia yenye wakazi wa Kihabeshi ni Waarabu na hiyo nchi yao ni nchi member ya 'Arab League' ? Ama kuna blind racialists tu humu wanataka ni kutarget Waarabu tu?
For your information 50% ya hao Wayahudi wako wetokea nchi za Kiarabu Iraq Yemen Morocco Misri nk . Wakikaa kwa vizuri na Amani wakiabudu wanachotaka. Waliowatimua ni Wafuasi wa Ukiristo wa Roma na waliowaua in Holocust ni wakiristo wa Kijerumani Wazungu. Tazama sasa wayahudi wanaua nani?!!
Hiyo ibada ya kuamini Mungu Mtu na kusaporti watu wateule na usipo unaingia motoni . Tunakuombeeni Mungu awaongoze mfuate Mungu mmoja wa Kweli asiye shirikishwa na Mungu Mtu na asiyebagua watu wa rangi au kabila na amuae haki! Bi maana kwa Mungu hakuna wateule na watu wanyama!
Wewe ni Mwarabu?

Kuna sehemu yeyote kwenye hii thread nimeandika juu ya Waarabu?

JF inapoteza maana kwa sababu ya uwepo wa watu inferior kama wewe. Mimi sioni uhusiano wowote wa nilichopresent na wewe kulialia kama mtoto mjinga. Kama una hoja weka. Mimi sijasema Wayahudi hawapo Uarabuni wala kitu chochote kinachofanana na hicho, vipi wewe mbona unapwaya kihoja?

Huu ulioandika wewe ndio hasa upuuzi
 
Fugwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
1,679
Points
1,250

Fugwe

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
1,679 1,250
Wewe unajua nini mana ya wayahudi? YAHUDI NI TAIFA SIO DINI KAMA MNAVYO DHANI, hata warabu huwezi kusema wote ni Waislamu mana ni Taifa ndo mana wengi mkisikia Wayahudi mnadhani ni dini kumbe ni Taifa siku hizi ndo wanadai yahudi ni dini ... na Mkisikia warabu mnadhani wote ni Waislamu na msije keshio mkazua uwongo kuna dini ya kiarabu kama walivyo zua uwongo wayahudi eti kuna dini ya kiyahudi na ukitaka ukweli dini yao inajulikana kama Judaism ambayo ipo kwenye ma group haya Orthodox, Reform, and Conservative.....Afu ngoja nikumize kichwa zaidi kuna wayahudi ni waislamu wako wengi tu na mfano wao Jesus na kuna warabu ndo kama hao ma judasim-> Orthodox,Reform na Conservative ambao wanaitwa mayahudi wa kiarabu hata Iran pia wako.

FYI Taifa la kiyahadi ni Ethopia tu...Huko Israel walikuja tu kwa nguvu za USA na Muingereza :bounce:
FAZAA
Nkubaliana na wewe kabisa kwamba
JESUS ni mwislam na MUHAMAD ni Mkristo
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
14,912
Points
2,000

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
14,912 2,000
We muslims only accept Bukhari, muslim, and the other four major collectors of hadith to be 100% accurate when it comes to the life of Prophet Muhammad (peace be upon him)....Hayo mnayo manyo yakuta kwenye google ni siasa za Myahudi na wanao amini kama yesu ni Mungu ili kumchafulia Prophet Muhammad jina lake.

BTW let see the FACT here.

FACT: Moses is a Prophet recognized and respected in Islam.

FACT: The story of how Moses led his people away from the Pharaoh's oppression and into the land of Israel is one that is recognized and told in Islam.

FACT: Before the Kabba was cleansed of idols, Muslims prayed towards Jerusalem.

FACT: Based on the facts above, there is evidence that clearly indicates the inherent ties between the land of Israel and the Jewish people. However, there is no evidence indicating that the land is *exclusively* Jewish or *exclusively* meant for Jews.

God had favored the Children of Israel at those times, but the Jews killed all the Prophets before Mohammed (PBUH) (not counting Prophet Eissa [Jesus] PBUH)

They had their chance...and they screwed up over and over again kwa hio walie tu.

Hapo ndo mnapata picture kabisa Jerusalem ni nchi ya Ki Islam sio ya Mayahudi and as far as we know Jesus never left any kind of writing behind...Kwa hio vitabu vyenu ni kama magazeti kila mtu anaweza kusema anacho taka, ili ku uza magazeti...ndo mana kuna wa andishi wengi kama vile Moses, David, Matthew, Mark, Luke, John, Paul mhhhm Solomon, and maybe even Priscilla. :biggrin1:
Wewe bora uende kwenye mada za kuoa wake wengi, hapa kwenye maandiko utasubiri sana. Hizo unazoandika na kuziita facts ni facts kwa msingi upi, kwa kuwa umeziandika wewe? Kumbe mnaamini Bukhari peke yake, na mbona ni nyie nyie mnakanusha kuwa Mohammad hakuoa mtoto wa miaka 6 na kumuingilia akiwa na miaka 9?

The Prophet asked Abu Bakr for 'Aisha's hand in marriage. Abu Bakr said "But I am your brother." The Prophet said, "You are my brother in Allah's religion and His Book, but she (Aisha) is lawful for me to marry." Sahih Bukhari 7:18
 
FAZAA,
Threa yako uliianza vizuri lakini umeharibu kwa kumalizia na udini uliokugubika.
 
Andrew Nyerere

Verified Member
Joined
Nov 10, 2008
Messages
3,011
Points
2,000

Andrew Nyerere

Verified Member
Joined Nov 10, 2008
3,011 2,000
Siyo Wayahudi,ile ni slave trade,watu wanatekwa nyara [captured by Mossad]wanauzwa Uarabuni,watu kutoka nchi nyingi za Africa. In fact,hata Watanzania wapo Uarabuni,in modern day slave trading.
Tafadhali usiniaambie nifafanue,which I can do in very great detail;kwa vile sitaki kubanduliwa kucha.
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Wewe bora uende kwenye mada za kuoa wake wengi, hapa kwenye maandiko utasubiri sana. Hizo unazoandika na kuziita facts ni facts kwa msingi upi, kwa kuwa umeziandika wewe? Kumbe mnaamini Bukhari peke yake, na mbona ni nyie nyie mnakanusha kuwa Mohammad hakuoa mtoto wa miaka 6 na kumuingilia akiwa na miaka 9?

The Prophet asked Abu Bakr for 'Aisha's hand in marriage. Abu Bakr said "But I am your brother." The Prophet said, "You are my brother in Allah's religion and His Book, but she (Aisha) is lawful for me to marry." Sahih Bukhari 7:18
We mbona unakimbilia kusema tumekataa, hakuna sehemu Prophet Muhammad kafanya kitu tuka kataa.

Tunajua alimuoa Aisha akiwa bikra na hakuna anaye kataa, mbona hamsemi yule mke wake wa kwanza Khadija aliye mzidi Prophet Muhammad miaka 15, na ali ishi naye mpaa alipo kufa ndo akaenda owa wengine.

Na sio wote alio owa walikuwa wadogo kumbuka wako walikuwa na umri kuliko yule mke wake wa kwanza, na sio wote aliwao kwa ajaili ya kusex kama mnavyo dai, mbona hamfatilii hizo point na kuzisema.

Afu mbona mama yangu aliolewa na baba yangu wakati ana umri wa miaka 13, leo unaweza kuoa mtoto ana miaka 13 si itakuwa kosa, kila wakati na wakati wake....Zamani mtoto mwenye miaka 9 ni sawa sawa na wa leo ana miaka 20 au zaidi.

Usije kushangaa kuona baadaye watu wanao owa mabikra wakiwa na miaka 50 siku zinazo kuja, kumbuka kila siku zinavyo enda kasi ndo kiama kina karibia, unaweza ukashangaa hao wanao sema wameishi miaka hamsini siku zijazo kama miaka 20 tunayo ishi sisi kwa sasa :biggrin1:
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
FAZAA,
Threa yako uliianza vizuri lakini umeharibu kwa kumalizia na udini uliokugubika.
Fungwe , tuwache u dini mana tawashinda tu, bora turudi kwenye thread inavyo sema Wayahudi wa Ethopia wanapelekwa kule, sababu wawe kitoweo wakati Israel ananza vita na warabu, mana wengi wanawekwa front line :biggrin1:
 
Last edited by a moderator:

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
14,912
Points
2,000

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
14,912 2,000
Safi sana ujuwe hapa kuna watu wanachukia warabu sababu wao ni wa islamu, afu mara nyingi sana mimi nashangaa sana kuona mkristo anamsifia myahudi na kusema wayahudi ni Taifa la Mungu.

Wangetumia tu akili zao kidogo, wangejua hao mayahudi don't believe in Jesus.

Sa hawa wakristo wanasema Jesus ni Mungu, na wanasema wayahudi ni taifa la Mungu, vipi taifa la Mungu halimtambui Mungu wa wawakristo ambaye ni Yesu, si bora hata Wa Islamu wanamheshimu Yesu kuliko wayahudi, sisi tuna mheshimu yeye kama Prophet Muhammad ni mtume tu kama Muhammad :biggrin1:
Kwanza acha udhaifu, hamna aliyesema Waarabu hapa, hiyo moja. Mbili, uzi huu haukuanzishwa kuwasifia Wayahudi (go thriugh its contents lady) na tatu suala la Wayahudi kuwa Taifa la Mungu si la mimi na wewe kuchagua.

Hakuna haja ya kutumia akili kujua kuwa Wayahudi hawamuamini Yesu. Kama walivyo waislamu, Wayahudi nao hawamwamini Yesu hilo si la wewe kutufundisha ikiwa tayari lipo kwenye vitabu vyetu. Kinachokusumbua wewe ni kwa nini hatusapoti upande wako. Si kazi yetu kukusapoti imani yako ya mauaji wala ya Myahudi, but facts remain.

Yesu si mtume tu na hafanani na marehemu muhammad. Yesu yu hai na muhammad ni marehemu. Na kama unadhani ni ufahari kumuheshimu Yesu bila kumfuata, kula maandiko;
Akawaambia, "Isaya alitabiri vyema juu yenu nyinyi wanafiki, kama ilivyoandikwa:

Watu hawa huniheshimu kwa midomo
ila mioyo yao iko mbali nami
nao waniabudu bure
wakifuata mafundisho yaliyo maagizo ya binadamu

We endelea na marehemu muhammad, kumfuata Yesu akuambatani na kuingia chooni kwa kutanguliza mguu wa kulia au kushoto. Hayo hayampi mtu uhalali wa kuingia mbinguni bali imani yake kwa Mwokozi
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
14,912
Points
2,000

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
14,912 2,000
We mbona unakimbilia kusema tumekataa, hakuna sehemu Prophet Muhammad kafanya kitu tuka kataa.

Tunajua alimuoa Aisha akiwa bikra na hakuna anaye kataa, mbona hamsemi yule mke wake wa kwanza Khadija aliye mzidi Prophet Muhammad miaka 15, na ali ishi naye mpaa alipo kufa ndo akaenda owa wengine.

Na sio wote alio owa walikuwa wadogo kumbuka wako walikuwa na umri kuliko yule mke wake wa kwanza, na sio wote aliwao kwa ajaili ya kusex kama mnavyo dai, mbona hamfatilii hizo point na kuzisema.

Afu mbona mama yangu aliolewa na baba yangu wakati ana umri wa miaka 13, leo unaweza kuoa mtoto ana miaka 13 si itakuwa kosa, kila wakati na wakati wake....Zamani mtoto mwenye miaka 9 ni sawa sawa na wa leo ana miaka 20 au zaidi.

Usije kushangaa kuona baadaye watu wanao owa mabikra wakiwa na miaka 50 siku zinazo kuja, kumbuka kila siku zinavyo enda kasi ndo kiama kina karibia, unaweza ukashangaa hao wanao sema wameishi miaka hamsini siku zijazo kama miaka 20 tunayo ishi sisi kwa sasa :biggrin1:
You must be insane. Wewe unaweza kuvua nguo mbele ya mtoto wa miaka 9?

Ohoo, kumbe alianza ndoa kwa sugar mummy?

Kwenye imani yenu si kosa, hata leo mnaoa watoto. Sema hapa Tanzania ndio huwezi kwa kuwa civilized societies hazitakuacha

Haya hiyo hapo picha ya harusi ya wazazi wako. Je, mamaako alikuwa mke wa ngapi?
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Kwanza acha udhaifu, hamna aliyesema Waarabu hapa, hiyo moja. Mbili, uzi huu haukuanzishwa kuwasifia Wayahudi (go thriugh its contents lady) na tatu suala la Wayahudi kuwa Taifa la Mungu si la mimi na wewe kuchagua.

Hakuna haja ya kutumia akili kujua kuwa Wayahudi hawamuamini Yesu. Kama walivyo waislamu, Wayahudi nao hawamwamini Yesu hilo si la wewe kutufundisha ikiwa tayari lipo kwenye vitabu vyetu. Kinachokusumbua wewe ni kwa nini hatusapoti upande wako. Si kazi yetu kukusapoti imani yako ya mauaji wala ya Myahudi, but facts remain.

Yesu si mtume tu na hafanani na marehemu muhammad. Yesu yu hai na muhammad ni marehemu. Na kama unadhani ni ufahari kumuheshimu Yesu bila kumfuata, kula maandiko;
Akawaambia, "Isaya alitabiri vyema juu yenu nyinyi wanafiki, kama ilivyoandikwa:

Watu hawa huniheshimu kwa midomo
ila mioyo yao iko mbali nami
nao waniabudu bure
wakifuata mafundisho yaliyo maagizo ya binadamu

We endelea na marehemu muhammad, kumfuata Yesu akuambatani na kuingia chooni kwa kutanguliza mguu wa kulia au kushoto. Hayo hayampi mtu uhalali wa kuingia mbinguni bali imani yake kwa Mwokozi
Kwanza mimi na fazaa sio faiza hahaha yani lazima uweke heshima ukiwa unaongea na wanaume.

Pili; Wewe unasema Yesu kafa msalabani kutokana na dini yako, mlipo ona Prophet Muhammad kakanusha mkaona mtajulikana ukweli wenu sasa mnasema yuko hai...Nyie wakristo si mnasema Yesu kafa kwa ajli yenu kumbe bado hajafaa sa mnato wapi hayo mafunzo kwamba Yesu alikufa kwa ajli yenu, na vipi ule msalaba una mana gani.

Tatu; Bible nani kandika? Je walio andika walimuona Yesu, na Yesu alisali kwa kusujudi chini, nyie mnafanya vile au wa Islamu?

Nne; Nani anaye chinja kondoo wakristo au Wa islamu> hahaha nanani anaye katwa Jando, yani mkienda hata kwa Prophet Ibrahim wacha Prophet Muhammad hamjafanana naye.

Tano; Wapi Yesu kasema fateni Ukristo?? na Ukristo nani kauleta kama sio watunga magazeti kina Paul na kina John na na na....hahaha.

Sita;
} وَإِذْ قَالَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ يَابِنِي إِسْرآئِيلَ إِنِّي رَسُولُ اللهِ إِلَيْكُمْ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْراةِ {

"And [remember] when Jesus, son of Mary, said: ‘O Children of Israel, I am the messenger of Allaah sent to you, confirming the Torah [which came] before me."
There are many verses in the New Testament supporting the messengership.

Nilisahau ile point ya saba; Unasema Prophet Muhammad kafa kisha kuwa marehemu usisahau hata Yesu atakuwa tu marehemu, ikifika mda wake, sasa hivi kapaishwa mbinguni mpaa siku akija vunja misalaba ya kina John, Paul, Matthews na Luke hahaha.

Yani kufa ni lazima tu hakuna atakaye kwepa, afu pale tutakapo fufuliwa ndo kazi, and BTW waislamu tuna amini binadamu wote wakisha kufa duniani wanakuwa hai mbele ya Mungu, hata Prophet Muhammad yuko hai kwa Mungu anakula life kama kawaida.

Nilisha sema ruduni kwenye thread mkileta udini tutawashinda tu, Uislam si dini ya kutungwa na kina John, Paul, Luke, Matthews na wenzake:biggrin1:
 
Mkomamanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Messages
816
Points
225

Mkomamanga

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2011
816 225
Mnanikera kwa kuacha mambo ya ki-tz na kuongelea ya kiyahudi, kiarabu, kiethiopia? Halafu ubishi haya yangetusaidia kama tungekuwa tunataka kufanya nao mkataba wa kutuuzia umeme, vinginevyo naona mods afadhali piga 'ban' ya nguvu masuala yasiyo na mashiko.
 
Forum statistics

Threads 1,392,383
Members 528,604
Posts 34,107,575
Top