Habari wana JF, nafurahi kuwa nanyi hapa Waxn waxn jaman wenzangu , unakuta mtu anaondoka anaenda saloon kufaya waxn, Ananyolewa nyele mikononi , miguuni na hata sehemu za siri. Mtu unavua nguo unaonesha sehemu zako za siri na zinashikwa shikwa eti ili unyolewe vizuri na kitaalamu zaidi. Kwanini tusinunue vifaa tufanye huduma hiyo nyumbani kwetu;mimi sijui. Nimeona nililete hapajamvini tulijadili hili suala la kufanyiwa waxn hasa shemu za siri jamani