kwani ulifikiri
ladyfurahia na
Smile ni wapiganaji wa aina gani ni kama mike tyson, au muhamed allii, basi kama unadhani ni kama hao umepotoka sie wapiganaji wa kutetea haki za wanawake wa humu jf wanaonyonywa na kuonewa nanyinyi mababa na makaka wa humu mjengoni
watu8