kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Feb 20, 2014 #21 aisee.....
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Feb 20, 2014 #22 Pemba kuna Wasomali kumbe! Halafu huyo sio CHUI bali DUMA.........Angalia tafauti zao hapa!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Feb 20, 2014 #23 Safari_ni_Safari said: Pemba kuna Wasomali kumbe! Halafu huyo sio CHUI bali DUMA.........Angalia tafauti zao hapa! Click to expand... Kinana ana mawakala wengi kumbe..!? I thought ana aleji na tembo tu..... kumbe..!!!!?
Safari_ni_Safari said: Pemba kuna Wasomali kumbe! Halafu huyo sio CHUI bali DUMA.........Angalia tafauti zao hapa! Click to expand... Kinana ana mawakala wengi kumbe..!? I thought ana aleji na tembo tu..... kumbe..!!!!?
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Feb 20, 2014 #24 huyo atakuwa duma na sijui walimkamataje maana hizo mbio zake balaa
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Feb 20, 2014 #25 huyo atakuwa paka mjane
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Feb 20, 2014 #26 Zinduna said: Huyo walimsomea halbadiri kwanza ndio wakampiga na ufito hadi akafa Click to expand... Hahahaha yaani nilikuwa hata sijaona vizuri kumbe wamevaa misuli na kandambili
Zinduna said: Huyo walimsomea halbadiri kwanza ndio wakampiga na ufito hadi akafa Click to expand... Hahahaha yaani nilikuwa hata sijaona vizuri kumbe wamevaa misuli na kandambili