Waweza pambana na CHUI weye? Uliza PEMBA!

Waweza pambana na CHUI weye? Uliza PEMBA!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
attachment.php


Chezea wazee wa Kipemba weye!
 

Attachments

  • _71129607_cheetahwjr.jpg
    _71129607_cheetahwjr.jpg
    56.6 KB · Views: 1,066
Alikuwa chui mgonjwa huyo,yaani kweli chui mzima unaweza kupambana nae umevaa msuli hahahahahaha
Huyo walimsomea halbadiri kwanza ndio wakampiga na ufito hadi akafa
 
hii sio Kenya?? ooh kumbe tumeambiwa tusiseme........nafuta kauli hii wete hii
 
pemba wala zanzbar hakuna chui,simba,tembo,nyati wala mnyama mkubwa yeyote wa mwituni. Sanasana mwituni utawakuta nyani na kima wenye rangi-punju.Hiyo snap si pemba. Unajua kwa nini mwekapicha amefuta plate number ya hiyo gari kushoto!?
 
Ninavyomuona huyo si chui bali ni Cheetah.........unaweza kumpapasa kama paka......ndio maana hata kwa msuli wamfunga.......chui sidhani hata hizo nanii zao zingekuwepo saa hiyo.........
 
Back
Top Bottom