Wawekezaji wa Tanzania

Wawekezaji wa Tanzania

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,539
mchinaaa.jpg

Mitaa ya Buguruni Mchina Akiuza Mahindi ya Kuchoma
 
Hahaaaa sasa si akachomee nchini kwao
 
Shida haipo kwa wawekezazi bali ni huko uhamiaji walikompa kibali cha kuganya kazi nchini
 
Hyo sio tanzania hata mazingira tu yanaonesha..
 
mchinaaa.jpg

Mitaa ya Buguruni Mchina Akiuza Mahindi ya Kuchoma

Hii buguruni ya wapi jamani? ya uchina? mbona hapaelekei kama ni buguruni? kuna mtu pembeni kavaa koti la baridi, muuza mahindi mwenyewe kavaa koti la baridi, gari nyuma namba nyeupe. Sign post nyuma ni nene sana na siyo kama za kwetu.

Huu utakuwa ni uongo.
 
Back
Top Bottom