Kama wamepata hasara wafunge biashara waende kunako lipa wanatafuta sababu za kukwepa kodi au kubadili jina ili wapewe miaka mitano ya kuangalia biashara ndipo walipe kodi mara hii ni vema waondoke kama biashara haiwalipi wameisha tupiga sana
sema kweli hakuna alivyoua?Acha kukurupuka mkuu,sio kila kitu ni cha kupinga
Ongeza nyama. Kuna uhusiano gani kati ya kupata hasara na kuorodheshwa DSE?Wawekezaji wa kampuni ya simu za mkononi ya VodaCom Tanzania wapoteza mtaji wa Sh350 bilioni katika kipindi cha miezi mitano tangu kuorodheshwa kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE)
Chanzo: MWANANCHI
Ongeza nyama. Kuna uhusiano gani kati ya kupata hasara na kuorodheshwa DSE?
1. Vodacom hawajapata hasara, ni walionunua hisa
2. Hisa zimeshuka thamani
3. Wawekezaji wangefanya utafiti mdogo sana hili lilikuwa linaoneka wazi ndani ya prospectus yao
Kwenye prospectus ROI = 3% miaka mitatu mfululizo (bora kuweka pesa fixed deposit)
Hi industry imesha mature = Little or no growth (wateja wanaongezeka bila profit kuongezeka kwa sababu ya bei kushuka na gharama kupanda kutokanan na competition = reduced profit per customer and increased costs.
Serikali nayo inatwanga tu makodi mapya (e.g excise duty)
Pia Rostam Aziz aliuza 17% kwa $250 mil hapo awali alafu baadae VODA wanakuja na ku-float 25% ya shares kwa bei hiyo hiyo (approximately) ikiwa inamaana tayari trend ya kushuka kwa thamani inaonekana wazi
LAZIMA share price ishuke na watu waingie hasara.
Wewe ndiwe uulizwe akili umexiazima wapi, policy ya uchumi ni ya serikali, wawekezaji wanafanya uwekezaji being guided by the country economic policy. Uchumi wa Ujamaa ulifeli kwa sababu ya policy mbaya ya serikali kuhusu uchumi wa Kijamaa. Likewise, na policy za sasa zinadetermine mafanikio ya wawekeZaji.Akili zenu sijui hua mnaziazima wapi sometimes!!...Kupata hasara kwa voda kunahusika vip na Rais au awanunulie vocha?
Ongeza nyama. Kuna uhusiano gani kati ya kupata hasara na kuorodheshwa DSE?
Asante. Hapa sasa naelewa kinachoendelea1. Hawajapata hasara
2. Hisa zimeshuka thamani
3. Wawekezaji wangefanya utafiti mdogo sana hili lilikuwa linaoneka wazi ndani ya prospectus yao
Kwenye prospectus ROI = 3% miaka mitatu mfululizo (bora kuweka pesa fixed deposit)
Hi industry imesha mature = Little or no growth (wateja wanaongezeka bila profit kuongezeka kwa sababu ya bei kushuka na gharama kupanda kutokanan na competition = reduced profit per customer and increased costs.
Serikali nayo inatwanga tu makodi mapya (e.g excise duty)
Pia Rostam Aziz aliuza 17% kwa $250 mil hapo awali alafu baadae VODA wanakuja na ku-float 25% ya shares kwa bei hiyo hiyo (approximately) ikiwa inamaana tayari trend ya kushuka kwa thamani inaonekana wazi
LAZIMA share price ishuke na watu waingie hasara.
mheshimiwaaaaaaa!Sasa hapo umeandika kitu gani, rais na kushuka kwa mtaji kuna uhusiano gani, au kwa vile unalipwa kwa ajili ya kupinga kila kitu cha mheshimiwa rais ndio unaandika,.. emu mkue na mbadilike wabongo
Akili zenu sijui hua mnaziazima wapi sometimes!!...Kupata hasara kwa voda kunahusika vip na Rais au awanunulie vocha?
Umeambiwa chanzo mwanachi si utafute mwanchi?maelezo yameishia hapo?
niko misechela nitalipata wapi mwananchi?Umeambiwa chanzo mwanachi si utafute mwanchi?
km mtu siyo mfanyabiashara ni ngumu kukuelewa ila mm nimekuelewa 100%. Waende kariakoo wajionee wenyew, frem zimefungwa kwa sbb ya ushuru mkubwa. Huyu tuliyenaye ni tatizo kubwa sana. HELSB kutoka 8% mpaka 15% siyo mchezo, utakuta mtu anakata kiuno tu kwasbb yy siyo mdaiwa.Wanaripishwa kodi kubwa mno
Swissme
Mkuuu wawekezaji ni watz walionunua hisa za VodacomWanaonaje kuondoka mara moja na kwenda nchi zingine??
Sasa hivi magazeti yanauzwa online. Unalipia kwa njia ya mpesa au tigopesa. Usiwe mvivu wa kufikiriniko misechela nitalipata wapi mwananchi?