Ndugu wawekezaji wanaozungumziwa hapa ni watanzania walionunua hisa mwaka jana.km mtu siyo mfanyabiashara ni ngumu kukuelewa ila mm nimekuelewa 100%. Waende kariakoo wajionee wenyew, frem zimefungwa kwa sbb ya ushuru mkubwa. Huyu tuliyenaye ni tatizo kubwa sana. HELSB kutoka 8% mpaka 15% siyo mchezo, utakuta mtu anakata kiuno tu kwasbb yy siyo mdaiwa.
Sasa tujiandae kunyooshwa kweny bando na muda wa maongezi.
MB 100 unasoma text 10 za whatsapp tu bando linakata.
sera na maamuzi ya kipuuzi katika masuala ya uchumi ndio asili ya haya yote.Akili zenu sijui hua mnaziazima wapi sometimes!!...Kupata hasara kwa voda kunahusika vip na Rais au awanunulie vocha?