Ottician
Senior Member
- Jul 6, 2019
- 103
- 81
Ndugu zangu Habari za majukumu.
Katika pita pita zangu nimegundua kuna wawekeezaji wengi sana wakubwa (Wazawa na wageni) katika Sekta ya Mifugo (kuku, ng’ombe mbuzi n.k) lakini hatuwafahamu
Basi ningependa tuwaweke hapa kwa lengo la:
1. Kupata nafasi ya kujifunza kutoka kwao
2. Kununua mbegu bora kwao
3. Ku partner katika usambazaji wa bidhaa zao
Na faida nyingine nyingi.
Tuna mifano halisi ya ufugaji mkubwa na wa kisasa lazima tuutumie kujikwamua.
Karibuni