johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,039
Waziri gani huyo ?Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wamemshukia kama mwewe waziri asiye na wizara maalumu kwa kumkashifu mtume.
Wawakilishi hao wamesema mbunge huyo wa kuteuliwa na Rais kutoka chama cha upinzani amekuwa fedhuli na mwenye tabia ya kishenzi hivyo wao kama waislamu na siyo wawakilishi wanamtaka kwa lazima awaombe radhi waislamu wote wa Zanzibar.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Wewe wasema.Mbona habari yako imekaa kama taarabu?
Sumu haionjwi bwashee!
JANA ZBC nlishangaa sana kuona yule Mzee Muislam akikomalia neno lake bila kujali anamkashfu Mtume wa Dini YakeWajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wamemshukia kama mwewe waziri asiye na wizara maalumu kwa kumkashifu mtume.
Wawakilishi hao wamesema mbunge huyo wa kuteuliwa na Rais kutoka chama cha upinzani amekuwa fedhuli na mwenye tabia ya kishenzi hivyo wao kama waislamu na siyo wawakilishi wanamtaka kwa lazima awaombe radhi waislamu wote wa Zanzibar.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ingekuwa enzi zileeee, hii habari ingekuwa ilishafutwa. Enzi hizo mods walikuwa wanachelewa kulala. Enzi hizo huwezi kukuta habari isiyo na shingo wala kichwa, habari ikiingia hapa imesheheni.Mbona habari yako imekaa kama taarabu?
Haaaaaa kumbe Nina title kubwa ndani ya miezi saba tu Ni expert member nilimuona humu jamaa mmoja miaka 12 bado sinia memberjohnthebaptist,
Ukiwa JF-expert member wengi tunakuangalia kwa hiyo nafasi yako kama expert ktk matumizi na viwango vya kupashana habari