johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wamemshukia kama mwewe waziri asiye na wizara maalumu kwa kumkashifu mtume.
Wawakilishi hao wamesema mbunge huyo wa kuteuliwa na Rais kutoka chama cha upinzani amekuwa fedhuli na mwenye tabia ya kishenzi hivyo wao kama waislamu na siyo wawakilishi wanamtaka kwa lazima awaombe radhi waislamu wote wa Zanzibar.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!