WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa tunailegalise....ngonga ,washa vuta.roll in peace rasta.....
mida hii yajioni kijua kinaza ndio mida ya kuchill,pembeni mirinda nyeusi na tunakula kitu taratibu yani kama tupo wakanda,na pembeni tunapiga maplaylist ya hatari....
hakuna kama weed mazee,wazee wagambe hapa wakasome