Wavutaji wa sigara ni shida!

Wavutaji wa sigara ni shida!

Ant-cigarrete nanyie acheni uzinzi ukimwi upo na unauwa,imagine una marliboro light beach na upepo ule raha ilioje,dah: moral dont speak shit kwa kitu usichokijua
 
Raha yako basi usikere wenzio. Tunalokereka nalo ni lile la kuvuta cigarette hadharani na kuudhi wengine
 
------- kabisa hawa wavuta sigara,wengi ni mataahira yanadhani yanapunguza stress za maisha mijinga kabisa,yani kizazi chao kingefutiliwa mbali
 
ImageUploadedByJamiiForums1398966508.454133.jpg mkuu zawadi yako jiachie na kinana ya baridi mei mosi hii
 
Ili ujue mvuta sigara hana ustaarabu sikia mambo yake yalivyo yakijuha
1.Akinunua sigara atataka na kiberiti kwa muuza sigara
2.Akipata kiberiti atauwasha mwenge wake hapohapo dukani bila kujali kuna watu wengine
3.Kumuomba mtu sigara au kiberiti hata kama hamjui
4.Kumuomba mtu kiberiti au sigara bila hata salamu
5.Kuomba sigar ya mdomoni bila kujali anaweza kuambukizwa maradhi.
6.Kutupa kishungi cha sigara bila kukizima tena bila kujali wapi anatupia.
Hizi ndizo tabia za mvutaji sigara.
 
izo ni tabia za mvutaji sigara maskini do not generalize!
 
Napenda kimoshi cha cigarrete tena mupenzi akinipa busu huku katoka kuvuta mie burudani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom